Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Naam.

Klopp anataka watu wa kazi kazi, uwe na mapafu kweli kweli, kukimbia dk 90 iwe sehemu yako ya mchezo.

Gravern na Macca kwenye pivot hawajafungwa kwa misumari, kwamba wewe mwisho ni hapa, wapo huru sana, kiasi unaona goli analofunga Macca, lilipaswa kuwa la Wing au ST au no. 10 it was a move ile, lkn move inamkuta ndani ya sita. Lile goli it was a Gravern move ikaenda hadi kwa Salah the. Boom.

Ynwa
 
Hujambo dogo?
Huyu VVD msimu jana kama si juzi walimtukana humu, wakasema aondoke.
 
Hujambo dogo?
Huyu VVD msimu jana kama si juzi walimtukana humu, wakasema aondoke.

Heheh watoto wa alfu mbili bana,

Haya sijambo Shikamoo dada.

Baada ya ACL 2020 aliyotokana na rough ya pickford, ilimchukua muda kurejea, plus whole team ilikuwa ina shake karibu kila mechi. Standard aliyojiwekea ndio ilikuwa inamuhukumu same to Salah, na Diaz.

Standard unayojiwekea at the first place, watu watakuhukumu nayo au they will praise you with it, Diaz mwenye jersey 23 mgongoni was a monster, kama wa msimu huu.

Ndicho kilimkuta Vvd, vvd wa msimu huu tunamrefer na Vvd yule kabla ya 2020 ACL injury, world class defending IQ, quality long and short passes. Beki anayecheza LCB huku anatumia right foot bila shida yoyote wala mashaka yoyote, wapo wachache wa muundo huu na wakakupa ubora wa muda mrefu. Mwingine ni kama Milner Righ footer ila anacheza mpaka LCB na ana deliver vizuri.

Huwezi walaumu waliosema ameisha hamna kitu,
β€˜Ynwa’
 
Still naamini Klopp angelitwist kidogo from his badic style of play angeendelea kusumbua sana.

Angetumia just double pivot, na kuslowe tempo pale timu inapopata magoli na kuituliza timu.

Hii ingepunguza injuries na fatigue.

Jana nimemsikia Mac Mannaman akisema Liverpool ina kikosi kizuri, hata bench lao lina young top talent players. Bradley, Quansah, Jones. Yeah haya ni mazao ya Klopp na jopo lake, alipaswa kubadilika kidogo kwendana na matakwa ya sasa.

Unaona timu zinakuja kucheza na LFC kwa mentality ile ile ya Klopp yupo, but mambo yamebadilika kidogo kidogo, unaona hata kwenye bad day in a office,

Ynwa
 
Mi nikimuona tu VVD najua tupo mikono salama regardless atachezaje


Marahaba πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚We ni chizi...
Huo mwandiko dokta unautolea wapi sasa?
Mmmh I write good I have a good handwriting
I do everything beautiful
I love playing beautiful football with my teammates
I love cooking good for my family members for my brother and sister

On my work I do good scientific works beautiful one

It's beautiful to be alive saint Anne
 
Nunez

Keep going boy, jamaa anazidi kutulia miguuni. Darwin miguu yake ipo mbele ya akili yake, anapaswa kutafuta balance. Miguu ikiwa mbele ya akili huwezi kuwa na output nzuri. Utulivu umeanza kuonekana kwake.

Goli la kwanza jana, chance created from Darwin. Within the 18 yard as ST, utawaza mambo mawili kushoot after receive the ball or kutafuta nafasi zaidi ya kufunga kwa chenga or 1,2. Alichofanya Darwin jana hakufanya papara ya ku shot zaidi ya kutafuta aliye kwenye better position (Salah) akampa pande lililozaa goli. Kudos to Darwin.

More of that to come, (Chances created, assists and goals).

Ynwa’
 
Mi mambo ya double pivot,pressing
Sijui four three nini sijui
Nachojua nikimuona Salah na VVD basi nimemaliza

Ni vitu unavyoviangalia ila majina tu ndio tofauti.

Pressing - ni uwezo wa mchezaji kukimbia kufuata mpira kwa wapinzani pale ambapo timu yake haina mpira. Kwa kifupi ni kukaba kwa juhudi za kukimbia muda wote mkiwa hauna mpira. Good example Szobo and Jota plus Gakpo. Ukisikia good presser ni wale wasio wavivu uwanjani ni mbio mbip kuufuata mpira ulipo.

Ishi na hili kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…