mkuu,
what's your take on Amorin to Utd,?
huwa najaribu kufikiria, nini kilimshinda Erick ambacho yeye ataweza? bado namwona Eric kama kocha mzuri, sijui kwanini amefeli pale
Brother, they have got it right, finally.
Dont get me wrong, bado naamini kuwa Erik ni very good coach, but kwasada his reputation has been damaged
.
The ocassion & pressure ya kufundisha Utd ambayo ilikuwa inahitajika kurudi katika its best level & shape, got to him na aka-fail ku-cope na standards/demands za kuwa Utd manager, its not kuwa he was not good enough kuwa Utd coach, NO, HE WAS MORE THAN GOOD ENOUGH, he had better stats & trajectoy kuliko Slot wakati anaenda Utd kutokea Ajax, BUT alivyofika Utd, aliruhusu pressure & ocassion to get the best out of him, unakumbuka kuna baadhi ya games alipata results mbovu mfululizo, & akaamua ku-abandon kabla his style of play ambayo ilimpa mafanikio makubwa sana all over ulaya, na baada ikawa tabu kwake ku-print new style of play kwa his players, katika kutafuta new commandible style of play, akajikuta anazama kwenye dimbwi la tactical-frailties, na ukifika kwenye hii hatua, unakuwa huelewi unachokitafuta kwenye market, especially kwa scouts, na pia unaanza kukataliwa kwa vitendo na senior players, na kwa Erik ambaye he's not a good talker, motivator & man to man manager, inakuwa mgumu kui-control dressing room, at the end he lost the players, bar Martinez, Garnacho, Mainoo, Dalot and his recent additions window iliyopita, sidhani kama senior players kina Fernandes, Rashford, Casemiro, Etc were playing for him, na hii ina-affect the whole dressing room.
Hii ilimtokea Brendan Rodgers, baada ya msimu wa 2013/14, tulivyoanza msimu wa 2014/15 na series ya bad results, the pressure got to him, and decided to abandon style of play iliyompa mafanikio makubwa at LFC and Swansea, na baada ya hapo ikawa ni downhill kwa Rodgers.
Ukweli ni kuwa, kilimchomtokea Erik, kingeweza kumtokea Slot kama angekuja msimu wa 22/23, sometimes no matter how good you're, ukija kwenye team ambayo imeachwa katika bad shape, ni rahisi sana kupotea, maana fans & world wanakuwa wanakubebesha mzigo wa matarajio, so series ndogo ya bad results inaweza kukutoa kabisa mchezoni, especially kama siyo good speaker & motivator.
Kitakachomsaidia, Amorim, ni good man-management gaffer, good talker, good motivator, ana traits zote za Klopp or Slot, hence we interviewed him pia, & Utd kuna group la young players ambao wanaweza kumpa good results kama akifanikuwa kuwapa belief kuwa wanaweza kufikia level yeyote wanayotaka, (angalia Slot alichofanya kwa Grav, Gakpo, Diaz & Nunez) Amorim anaweza kufanya the same kwa kina Mainoo, Hojlund, Garnacho, Yoro, Ugarte, etc, na anahitaji time, na ni si chini ya 3 years, Utd are a mess brother, Amorim will need a lot of time.
But, i think he will do good at OT, tuache muda uzungumze, aki-flop Amorim at Utd, nadhani ndiyo utakuwa mwisho wa Utd at the top level.
&, its time owners wa Utd, wakubali kutoa ile tag ya "big club" na kukubali kuwa Utd should be a "project" now, ni kama walivyofanya FSG wakati Klopp anakuja, Arsenal kwa Arteta, and now Chelsea kwa Maresca, na zaidi Barcelona kwa Hansi Flick, na pia Bayern kwa Kompany. Teams/Clubs kuna kipindi lazima i-evolve, na kipindi hiki huwa unatakiwa ukubali maumivu na dharau, but ukuaji wake unakuwa ni wa muda mrefu sana, LFC tunakula matunda now ya Evolvement procedure iliyofanyika 9 years ago, dharau & painful moments tulizopitia kutengeneza a sustainable team/club structure, matunda yake ndiyo haya.