Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

The MoNA RHS maana yake nini ?
 
Whoever stood by Slot name wakat wa vetting has done us wonders can't ask anything better point wise and approach wise we are on the laiti trak.

In Slot i trust and FSG need to sytle up the sooner the better wampe anachokitaka usajili na wachezaji wanaopewa mikataba wapewe.

YNWA
 

Kuna robo imegawanywa, kati ya nusu ya LFC ambapo move ya mpira ipo.

Angalia our last line ipo mbali na defensive third na kuna four defenders hapo,
maana yake inapigwa min highline kwa sababu opponents yupo kwenye nusu yako, kisha kwenye nusu yako hiyo hiyo na wewe unambania hapo hapo. Hapo unamlazimisha achezee eneo hili huku mki apply offiside trick zaidi, huku mkiwa kwenye shape ya 4-2-3-1, Salah yupo free, incase Gravern or Macca or any defender ata intercept or any poor pass Salah na Nunez tayari wamejiweka kwenye channels for counter.

Hii ni kwa mujibu wa hiyo picha.

Ynwa’
 

Ili tutulie vilivyo,

Watoe mikataba kwa Trent, Vvd and Salah in January just Loan Morton & buy quality DM. Sioni ni namna Gani Morton atapata game time nzuri mpka cups pekee itamchelewesha just loan him to get more game time.

Ynwa’
 
Ili tutulie vilivyo,

Watoe mikataba kwa Trent, Vvd and Salah in January just Loan Morton & buy quality DM. Sioni ni namna Gani Morton atapata game time nzuri mpka cups pekee itamchelewesha just loan him to get more game time.

Ynwa’
Endo na Morton ndio wachezaji pekee kwa sasa ni DMs, huyu Gravenberch amevamia namba za watu kwa ustadi mkubwa sana japo akiwa Ajax alicheza kiungo wa kuzuia na wkati mwingine alicheza namba 8 au 10 na wakati mwingine alicheza DM chini ya Tenhag na na kwa mafanikio makubwa tu n enzi hizo Liverpool walimtazama sana na ilipofika anauzwa Liverpool ilikua kwenye mazungumzo mwishowe akachagua Bavarian.. Kwa bahati mbaya pale Bavarian hakueleweka na aliomba mapema kama haodoki wamuuze kipindi kile Manchester United wakipewa nafasi ya kumpata lakini Bayern wakagoma mpaka pale inatoeka kwamba hawamtaki ndii chap Klopp kumnasa kwa bei chee sana £34m na sasa kazi yake inaonekana na kwa umri wake huyu dogo tutegemee makubwa kwake, hana makuu ni kazi kazi....
Morton alitakiwa na Alonso kwa mkopo pale Leverkusen sina uhakika kama hio ofa bado ipo...
Endo yupo sokoni ni bei tu hawajatoa nzuri na i guess hata kucheza kwake wanamdhiti asije umia ili January wachukue ela.

YNWA
 

Morton wampe loan season iliyobaki, tu hatopata mechi nyingi kwa sababu:-

Gravern, Jones, and Macca wote wapo kwenye plan ya Slot as 6. Then you have Endo… it will be difficult kwake kucheza kwa kusubiri injuries zitokee au suspensions.

Gravern as 8, itakuwa nzuri sana akipatikana technical DM like Zubimendi, Ederson, Valera. Ngoja tuone mpaka dec 27 tutajua what next.

Ynwa
 
[emoji599][emoji836]️ Real Madrid remain CONVINCED that Trent Alexander-Arnold will NOT sign new contract at Liverpool… reports Marca today.

Sasa hivi kuna battle inaendeshwa

FSG camp
Trent camp
Madrid camp
Medias,

Hasa kwenye Saga ya Trent.

Ynwa’
 
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: PL referee David Coote, 𝐬𝐮𝐬𝐩𝐞𝐧𝐝𝐞𝐝 with immediate effect after appearing in a video calling Liverpool ‘sh**’ and Jurgen Klopp ‘c*nt’ ⛔️

Decision made pending a full investigation as PGMOL will be making no further comment until process over.
 






David Coote refa aliyetuumiza sana.

Hilo tukio la Rodri, ilikuwa mechi vs Everton City alishinda kwa 1-0 should them get penalty ambayo ingeamua hatma ya ubingwa. Ndio season tuliyokoja ubingwa kwa point moja, imagine angetoa penalty, story would be otherwise.

Ila kwa PGMOL hakuna kitu watamfanya ni mbwembwe tu hizi, i expect nothing.

Ynwa’
 
Liverpool’s record with David Coote refereeing or on VAR for our matches:

Games - 20
Wins - 11
Draws - 4
Losses - 5

55% Win record since he started officiating us from 2020. These horrific decisions were also down to him
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…