Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Klopp the messiah cleansed the curse, kilichobaki hapa ni Slotball kumaliza haya mamboz ya kua wasdikizaji aisee.Liverpool $ Arsenal are cursed, sitashangaa chelsea akachukua ndoo hata City may rise from nowhere na kuchukua
Even the bookies walituweka mbali sana na ubingwa aisee.Liverpool wamejitahidi wana kuwepo hapo walipo
Ni beyond expectation
YesssssssEven the bookies walituweka mbali sana na ubingwa aisee.
The so called favourite wapo wanajisachiiiii
YNWA
Mkuu kama umeangalia mpira vijana wamepambana sana, na tulikuwa tunashinda kwa upambanaji ule sina chakuwadai aisee.
Me nilitegemea pale angetolewa mtu lakini kikosi kile kile KIKA badilika kwenye uchezaji tu.
Vijana wana mapafu aisee maana Fulham walikuwa wanatuzungusha uwanja mzima lakini vijana wanakaba tu.
Mechi imeisha tumewazidi kila kitu shot on target tumepiga nyingi na umiliki pia wa mpira tumewazidi tumemiliki 61%
Ngoja mapambano yazidi kupamba moto ni furaha kwa mashabiki..Yesssssss
Mimi sijasema bingwa anajulikana nimekupa tu pole kwa kudrop pointDuh kwamba mpaka sasa mzunguko wa kwanza bingwa anajulikana ama.
Uwe na maneno ya akiba ndugu safari bado ndefu... Ikifika Machi au mapema Aprili hapo tuanze mjadala ubingwa unakokwenda wapiiii. Kwa sasa tuenjoi kutazama hizi mbio aisee zinafurahisha.
YNWA
Bado naamini kwamba konate na Alexis make vvd and graven better
Hello The MoNA nakumbuka vyema sana ulinijuza with fact kwa nini tunahitaji kusajili LB na bila shaka kwa haya yanayoedelea asajiliwe tu hakuna namna...
Robbo has been rock n roll tangu apokee kijiti kutoka kwa Moreno, ameshinda vikombe vyote ngazi ya klabu ni Liverpool legend in out pengine the best ever LB kwa Liverpool since EPL inception, pamoja na yote umefika wakati development yake ishafika kikomo na hana jipya tena analotuletea klabuni zaidi ya majanga...
Defence wise Trent na Robbo hawajai kua brutal tangu enzi ya Klopp hivyo ni wakati sasa Mwalimu na ma scout waangaze darubini mbali na karibu kusaka mbadala, huku Owen Beck akizidi kujiweka sawa alipo kuja kuridhi mikoba ya hii LB slot.
Wa kwanza ku highlight mapungufu ya Robertson alikua MosDef alielezea kwamba ni wakati huyu mwamba aondoke akiwa na heshima kuliko kukomaa na kuzidi kuharibu.
Slot sio emotional kama Klopp hivyo naamini mapema sana hilo linatazamwa.
YNWA
TUNAWAPUMULIA 😭😭😭Klopp the messiah cleansed the curse, kilichobaki hapa ni Slotball kumaliza haya mamboz ya kua wasdikizaji aisee.
Have faith comrade...,hard work kama ya jana itakua rewarded with a trophy iwe EPL, UCL etc...
YNWA
TUNAWAPUMULIA 😭😭😭😭Wapo wanaopoteza kabisa
Including wale wa till next episode
Wewe waache wajishikeshike sisi TUNAWAPUMULIA 😭😭😭Liver kapata chance ya kuwapiga gap wengine anaanza zipanga draw za hapa na pale ni hatari kwenu mkuu, kumbuka 2019 nadhani ile. Mpaka city akaja kua mbele na kubeba ndoo yenyewe, draw ni hatari sana
Kushinda tumechi tuwili tutatu tayari ni mabingwa😭😭😭😭Oooo eti tunachukua ubingwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acheni kujitetea, TUNAWAPUMULIA😭😭😭😭playing a man down for so long and still managing to grind out a result shows the team’s spirit. It wasn’t perfect, but the fight we showed was commendable.
Hard work inakuwepo ila anajitokezaga mmoja tuu kuharibu kila kitu, tumepoteza 4pts kwa indivudual errors not systermKlopp the messiah cleansed the curse, kilichobaki hapa ni Slotball kumaliza haya mamboz ya kua wasdikizaji aisee.
Have faith comrade...,hard work kama ya jana itakua rewarded with a trophy iwe EPL, UCL etc...
YNWA
Fair play, Chelsea does look solid right now, but let's not get ahead of ourselves. Liverpool’s been through these crunch periods before and come out strong. December and January are tricky, but we’ve got the mentality to handle it. Let’s see where everyone stands come February—don’t write us off just yet. YNWA! 🔴Looks like Chelsea is real threat
Let's wait and see till February but this December and January can be a hell to us if we're not smart enough
SanaLooks like Chelsea is real threat
Let's wait and see till February but this December and January can be a hell to us if we're not smart enough