Hello
The MoNA nakumbuka vyema sana ulinijuza with fact kwa nini tunahitaji kusajili LB na bila shaka kwa haya yanayoedelea asajiliwe tu hakuna namna...
Robbo has been rock n roll tangu apokee kijiti kutoka kwa Moreno, ameshinda vikombe vyote ngazi ya klabu ni Liverpool legend in out pengine the best ever LB kwa Liverpool since EPL inception, pamoja na yote umefika wakati development yake ishafika kikomo na hana jipya tena analotuletea klabuni zaidi ya majanga...
Defence wise Trent na Robbo hawajai kua brutal tangu enzi ya Klopp hivyo ni wakati sasa Mwalimu na ma scout waangaze darubini mbali na karibu kusaka mbadala, huku Owen Beck akizidi kujiweka sawa alipo kuja kuridhi mikoba ya hii LB slot.
Wa kwanza ku highlight mapungufu ya Robertson alikua MosDef alielezea kwamba ni wakati huyu mwamba aondoke akiwa na heshima kuliko kukomaa na kuzidi kuharibu.
Slot sio emotional kama Klopp hivyo naamini mapema sana hilo linatazamwa.
YNWA