Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool $ Arsenal are cursed, sitashangaa chelsea akachukua ndoo hata City may rise from nowhere na kuchukua
Klopp the messiah cleansed the curse, kilichobaki hapa ni Slotball kumaliza haya mamboz ya kua wasdikizaji aisee.
Have faith comrade...,hard work kama ya jana itakua rewarded with a trophy iwe EPL, UCL etc...

YNWA
 
Mkuu kama umeangalia mpira vijana wamepambana sana, na tulikuwa tunashinda kwa upambanaji ule sina chakuwadai aisee.

Me nilitegemea pale angetolewa mtu lakini kikosi kile kile KIKA badilika kwenye uchezaji tu.

Vijana wana mapafu aisee maana Fulham walikuwa wanatuzungusha uwanja mzima lakini vijana wanakaba tu.

Mechi imeisha tumewazidi kila kitu shot on target tumepiga nyingi na umiliki pia wa mpira tumewazidi tumemiliki 61%

Not easy, watu wengi wanaona rahisu ila ile energy iliyotumika jana ni kubwa sana

Szobo, Gravern tried alot alot, doesnt mean wengine hawakufanya ila hawa ukiangalia hit map yao utaona kazi waliyoipiga jana.

Big contract, draw a fear result.

Timu nyingi moment zile, umefungwa plus Red card, inawatoa mchezoni.

Monster Mentality.

Wednesday
Wote wacheze ila not “Gravern” jamaa kacheza dk nyingi sana za PL bila kupumzika.

Give Endo, Morton their mins,

Ynwa’
 
Duh kwamba mpaka sasa mzunguko wa kwanza bingwa anajulikana ama.
Uwe na maneno ya akiba ndugu safari bado ndefu... Ikifika Machi au mapema Aprili hapo tuanze mjadala ubingwa unakokwenda wapiiii. Kwa sasa tuenjoi kutazama hizi mbio aisee zinafurahisha.

YNWA
Mimi sijasema bingwa anajulikana nimekupa tu pole kwa kudrop point
 
Bado naamini kwamba konate na Alexis make vvd and graven better

Naweza kukubalia kwa VVD (but it is a debatable), ila Gravern nakukatalia.

Did Macca played yesterday?? How many mins did Macca started on the bench?? Je mechi ngapi Macca alimuacha Gravern kwenye dimba still Macca akashine??

Gravern is a one man army regardless nani ata partner kwenye double pivot, kwenye Single pivot huwezi kumuona sio Gravern wala Macca wote tuliwaona last season under single pivot.

Kuna mechi Macca alianza bila Gravern?? Au Gravern alimuacha Macca uwanjani?? Yes mechi moja ya msimu Gravern alimuacha Macca uwanjani vs Newcastle alitolewa 67th mins, the rest Macca ataanzia bench au atamuacha Gravern uwanjani.

Hii debate ni kama ile ya “Mane makes(made) Salah better”,.

But we can agree to disagree, hapo kwa Macca make Gravern better.

Ynwa
 
Hello The MoNA nakumbuka vyema sana ulinijuza with fact kwa nini tunahitaji kusajili LB na bila shaka kwa haya yanayoedelea asajiliwe tu hakuna namna...
Robbo has been rock n roll tangu apokee kijiti kutoka kwa Moreno, ameshinda vikombe vyote ngazi ya klabu ni Liverpool legend in out pengine the best ever LB kwa Liverpool since EPL inception, pamoja na yote umefika wakati development yake ishafika kikomo na hana jipya tena analotuletea klabuni zaidi ya majanga...
Defence wise Trent na Robbo hawajai kua brutal tangu enzi ya Klopp hivyo ni wakati sasa Mwalimu na ma scout waangaze darubini mbali na karibu kusaka mbadala, huku Owen Beck akizidi kujiweka sawa alipo kuja kuridhi mikoba ya hii LB slot.
Wa kwanza ku highlight mapungufu ya Robertson alikua MosDef alielezea kwamba ni wakati huyu mwamba aondoke akiwa na heshima kuliko kukomaa na kuzidi kuharibu.
Slot sio emotional kama Klopp hivyo naamini mapema sana hilo linatazamwa.

YNWA

Naam.

Now you can see even with a DM only tuta suffer bado, kwa sababu LB & RB defensive wise ni challange sana,. We need to jump quickly before it bite us, january, Leta DM & LCB (player who can play LCB & LB), plus DM.

Him (Robbo) & his agent need to think otherwise.

Ynwa’
 
Liver kapata chance ya kuwapiga gap wengine anaanza zipanga draw za hapa na pale ni hatari kwenu mkuu, kumbuka 2019 nadhani ile. Mpaka city akaja kua mbele na kubeba ndoo yenyewe, draw ni hatari sana
Wewe waache wajishikeshike sisi TUNAWAPUMULIA 😭😭😭
 
Klopp the messiah cleansed the curse, kilichobaki hapa ni Slotball kumaliza haya mamboz ya kua wasdikizaji aisee.
Have faith comrade...,hard work kama ya jana itakua rewarded with a trophy iwe EPL, UCL etc...

YNWA
Hard work inakuwepo ila anajitokezaga mmoja tuu kuharibu kila kitu, tumepoteza 4pts kwa indivudual errors not systerm

Imagine mechi na NCU kipa akaamua tuu kuuacha mpira

Robbo naye useles foul ili tuwe tuu pungufu
 
Looks like Chelsea is real threat

Let's wait and see till February but this December and January can be a hell to us if we're not smart enough
Fair play, Chelsea does look solid right now, but let's not get ahead of ourselves. Liverpool’s been through these crunch periods before and come out strong. December and January are tricky, but we’ve got the mentality to handle it. Let’s see where everyone stands come February—don’t write us off just yet. YNWA! 🔴
 
Only City ndio walikuwa wapinzani wetu. Mpaka sasa hawezi kutupita kwa point hata kama hatutapata ubingwa yaani kwa kifupi city hawezi kumaliza juu ya liverpool msimu huu.
Arsenal nao ni homa za mara kwa mara. Wanacheche, ila moto hawawashi. Watapoteza pointi nyingi kuliko sisi kwenye game zilizobakia. Maana yake hawawezi kuwa juu yetu.
Chelsea. Hawa ndio kidogo watatusumbua.
Kwa hiyo title race ni kati ya Majogoo na chelsea.
Hao wengine ni wasindikizaji.
 
Back
Top Bottom