kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Keita was greatHapa klop alisajili, ninemsamehe kwa kutuletea tapeli keita huku tuki sacrifice msimu mzima kumsubiri tapeli
hii timu inaruhusu mnoo magoli aisee
Mbona ndio timu iliyoruhusu magoli machache hapo epl mpaka sasahii timu inaruhusu mnoo magoli aisee
💪🙏Heri ya Christmas redds wenzangu nimekuja kuhesabiwa huku buana.
YupiGolikipa wa Dunia
Magoli kibao anaruhusu
HahahahaFulham nawatakia Heri ya Sikukuu Xmass Boxing day
Mmetuheshimisha leo kumkanda Chelsea
Kusema ukweli ni kama confidence ya AB golini imepungua. Kelleher haya magoli aliyofungwa Allison recently ange save most of them.Golikipa wa Dunia
Magoli kibao anaruhusu
Tatizo lipo kwenye mfumo wa ulinzi!Golikipa wa Dunia
Magoli kibao anaruhusu
Magoli anayofungwa Allison sio ya kumlaumu moja kwa moja huwa ni makosa ya safu ya ulinzi kujichanganya ni mashambulizi ya haraka bila kutegemea rudi uangalie one against one ni magoli mangapi amefungwa bado anafanya kazi kubwa sana,bado itoshe kusema tumpe heshima yake pia magoli aliofungwa kelleher hawezi fungwa allison kwa kuwa kelleher hufanya makosa ila becker mabeki hufanya makosa!Kusema ukweli ni kama confidence ya AB golini imepungua. Kelleher haya magoli aliyofungwa Allison recently ange save most of them.
Japo tuna lapse of concentration pale nyuma tukiwa under pressure. Defence yetu inakuwa very unexpectedly porous at times.
I hope Konate atarudi mapema labda ile solidity tuliyokuwa nayo itarejea na cleansheets zitarejea.