kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ukiangalia matokeo ya mechi za wengine hasusani washindani wetu hapa top kama yanatufeva huu mwaka msimu kuwa ni wetu.
Mungu atuepushe mbali na majeraha!
Tuchukue point tatu tuendelee kusalia kileleni na 2025 tuendeleze moto!
YNWA.
Mungu atuepushe mbali na majeraha!
Tuchukue point tatu tuendelee kusalia kileleni na 2025 tuendeleze moto!
YNWA.