Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

...............EUROPA Vs Basiktas,
Demba Ba anawasubiri.
😛ray2:
 
Nitarudi tena nkiwa free au siku kocha atakapofukuzwa pale melwood,anfield na liverpool kwa ujumla.
Naipenda sana liverpool,navumilia tukifungwa ila nafikiri muda huu tunatakiwa tumpate kocha mwenye jina kubwa katika timu yetu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Ni kocha gani anayetufaaa pale Liverpool...

Weka jina... na wasifu wake kwa kifupi...
 
ha ah aha ha kiburi cha Malafyale kimemtokea....?

hali si hali ..

Sikuwepo Dar nilienda shamba Ikwiriri kuvuna mpunga wangu,na jana mara 3 nimeirudia kuiangalia mechi hii na nawapongeza wachezaji wangu walicheza vyema mno zaidi ya Man U na walitengeneza nafasi nyingi mno!Kwa nn basi tumefungwa?

1,Keeper De Gea hii inaweza ikawa ndiyo perfomance yake bora kupata kutokea hadi anaacha soka,alikuwa kwenye kiwango ambacho hata Emanuel Neuar wa Munich hawezi mshinda kwa sasa

2.Rooney na RVP wao hawakosi nafasi kama zile za kumzunguka tu keeper za RS

3.Bad lucky,kwenye soka kuna bahati mbaya pia

Najipanga kwa mechi na Arsenal na hakuna haja ya ku panic Majogoo wenzangu!Tutarudi Jumapili kwa Arsenal na tutashinda kiurahisi tu sababu Arsenal hawana De Gea wala Rooney wala RVP wala Valencia
 


kinachonisikitisha ni kuwa....sisi bado wabovu lakini tunawapiga tatu sasa siku tukiwa wazuri si tutawapiga 9-0 na kiwango chenu hiki??!! msisahau mnatakiwa mfunge sio mtengeneze nafasi tu na imefikia wakati msiseme bahati mseme sisi tunajua...arsenal walipata shots on target kibao wakaishia kupigwa 2-1 na kama sio di maria kuzembea ilikuwa 3-0...southampton shots kibao na wakalambwa 2-1 finally nyinyi shots kibao mmepigwa tatu mtungi...labda hii ndio style yetu na si bahati
 
Hatariii sana hii

Brendan Rodgers is walking alone at Anfield.

Msimu uliopita media impigia debe na timu yake weeeee.

Msimu huu ndo kwaanza media zinachochea moto.

Hata Waswisi wa Basel wanaosifika kwa kuwa neutral yamewashinda.

 
Jordon Ibe what a gem, naona anachofanya dhidi ya beki za chelsea kwenye capital one kwa derby county
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…