Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Most fans hawaujui mpira vizuri bado, wao huwa hawajui aspects nyingine za mchezo bali ni matokeo ya ushindi tu. Hawajui ni namna gani kupoteza mechi kunaweza kuathiri momentum ya team, hawajui kupoteza mechi kunavyoweza kuathiri morale ya squad.Kwahiyo kwa maoni yako ungetamani matokeo ya jana tupoteze kabisa ili mechi ijayo tushinde? π,
Kiukweli mimi nasema ushindi kwanza ndo kipaumbele, ikishindikana basi hata sare ni bora zaidi kuliko kupoteza kabisa, haijalishi mechi ngapi.
Hawajui kushinda mechi kunavyoweza ku build morale na momentum ya team. Team inaweza kuwa underdog lakini kwamfano ikishinda game mbili mfululizo huwa wanapata morale na ku build momentum unashangaa wanashinda games mfululizo.
Mfano Nottingham na Bournemouth hawa jamaa recently wamekuwa form sana kwasababu ya kuweza kubuld momentum, winning streaks zinaletwa na morale baada ya ushindi. Everton wenyewe form yao ya hivi karibuni ni hivyo hivyo.
Vice versa sasa, angalia Arseal walipoanza ku drop points walikuwa tia maji tia maji mpaka sasa hawaeleweki. Angalia team kama Man city baada ya kupoteza game mbili tu aliendelea kupigwa na mpaka sasa hajajipata. So guys you should know the difference between and winning or earning a point.
Mjue pia impact ya kupoteza mechi na inavyoweza kuiwia team ngumu ku bounce back. So namshangaa sana mtu anaesema bora kufungwa kuliko draw, sometimes hizo maths hali apply kwenye real footballing world.
Tujifunze kuangalia mpira na kuelewa kila spect ya football in general, nje na ndani ya uwanja.
Halafu hii match ni derby na tena sio derby tu ni MERSEYSIDE DERBY ambayo katika games 10 zilizopita za hii derby Draw ni 4, Everton kashinda 2, Liverpool tumeshinda 4 na katika hizo 4 tatu tumeshinda Anfield moja tu ndio tumeshinda away.
Saint Anne kipara kipya choza choza