Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mmoja wenu ataita hizo ni major trophies.

Mwingine unakuja mbio kumquote mtu anayekubali Arsenal in trophies.

Kisha wewe unaniquote mimi ambaye nimesema Arsenal haijafanya cha maana upande wa trophies halafu unaniambia nikuonyeshe trophies.

Hua unadandia vitu bila kujua vilipoanzia ili iweje sasa?
 

Hizi fixtures zilizobaki zinatufavour sisi Liverpool.
Hivyo Slot hapaswi kufanya bottling kwa njia yoyote kwenye hili kwasababu kila nikiangalia kuanzia January mpaka sasa tumepoteza points nyingi sana (6) kwa Manure, Forest, Everton.

Pia nimegundua weakness kubwa sana kwa Slot kuhusu matches za AWAY Timu ina struggle kushinda tofauti na kipindi cha Klopp.
 
Ubingwa wetu upo London tukiwafunga Tottenham, arsenal, Chelsea tutakua tumemaliza kazi
 
Ubingwa wetu upo London tukiwafunga Tottenham, arsenal, Chelsea tutakua tumemaliza kazi

Lakini mpira haupo hivyo kuwa tukiwafunga nani na nani ....... ambao huna uhakika wa kuwafunga.

Hapo mbele tuna mechi 2 ngumu sana versus Aston villa & Man City away na kila nikiangalia performance yetu ya Away tokea tuanze 2025 inatia mashaka sana.
 
Wachezaji wabovu ambao Klopp aliwataka ila thanks God tumewakosa
1. Camavinga
2. Tchuamen
3. Lavia
4. Caicedo
Ivyo vitasa ni hatar sana asee vinakupa option zaid ya moja kwenye timu,ni majeruhi tu ndo yanawasumbua,na wote hao kwenye timu zao namba uakika na na bei yao sokon bado ugusi kirahisi.nawataman wote hao ata mmoja aje liverpool ata kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…