Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] King Ngwaba katoka kuongelea hili la miaka 30 hapo juu dhidi ya mashabiki wa Everton waliokua wanawabeza.

"Ni namna ya kujifariji tu kwasababu kwenye hiyo miaka 30 bila ya EPL ndani yake muna 2 Champion League, 2 Supercup, 1 Europa Cup, 1 Club World Cup na 1 EPL achana na FA na Carabao sasa sijui wanapata wapi ujasiri wa kujiona wao Zero Trophy kuwa ni bora?"

Haya nyinyi Arsenyo nje ya Carabao na FA tuonesheni kombe lolote la maana mlilonalo kwa kipindi cha miongo miwili iliyopita.
Mmoja wenu ataita hizo ni major trophies.

Mwingine unakuja mbio kumquote mtu anayekubali Arsenal in trophies.

Kisha wewe unaniquote mimi ambaye nimesema Arsenal haijafanya cha maana upande wa trophies halafu unaniambia nikuonyeshe trophies.

Hua unadandia vitu bila kujua vilipoanzia ili iweje sasa?
 
FB_IMG_1739626149271.jpg
 

Hizi fixtures zilizobaki zinatufavour sisi Liverpool.
Hivyo Slot hapaswi kufanya bottling kwa njia yoyote kwenye hili kwasababu kila nikiangalia kuanzia January mpaka sasa tumepoteza points nyingi sana (6) kwa Manure, Forest, Everton.

Pia nimegundua weakness kubwa sana kwa Slot kuhusu matches za AWAY Timu ina struggle kushinda tofauti na kipindi cha Klopp.
 
Ubingwa wetu upo London tukiwafunga Tottenham, arsenal, Chelsea tutakua tumemaliza kazi
Hizi fixtures zilizobaki zinatufavour sisi Liverpool.
Hivyo Slot hapaswi kufanya bottling kwa njia yoyote kwenye hili kwasababu kila nikiangalia kuanzia January mpaka sasa tumepoteza points nyingi sana kwa Manure, Forest, Bournemouth, Everton.

Pia nimegundua weakness kubwa sana kwa Slot kuhusu matches za AWAY Timu ina struggle kushinda tofauti na kipindi cha Klopp.
 
Ubingwa wetu upo London tukiwafunga Tottenham, arsenal, Chelsea tutakua tumemaliza kazi

Lakini mpira haupo hivyo kuwa tukiwafunga nani na nani ....... ambao huna uhakika wa kuwafunga.

Hapo mbele tuna mechi 2 ngumu sana versus Aston villa & Man City away na kila nikiangalia performance yetu ya Away tokea tuanze 2025 inatia mashaka sana.
 
Wachezaji wabovu ambao Klopp aliwataka ila thanks God tumewakosa
1. Camavinga
2. Tchuamen
3. Lavia
4. Caicedo
Ivyo vitasa ni hatar sana asee vinakupa option zaid ya moja kwenye timu,ni majeruhi tu ndo yanawasumbua,na wote hao kwenye timu zao namba uakika na na bei yao sokon bado ugusi kirahisi.nawataman wote hao ata mmoja aje liverpool ata kesho
 
Back
Top Bottom