Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kuna mech moja ugenini kwao wapo hovyo majeruhi kama yote na Henderson akanuna balaa kupewa sub kiasi wale ma pundit fuata upepo wakasema Henderson future is over at Liverpool lakini Klopp wala akakausha kama sio ishu aafu akaja akamtoa kimya kimya 🤣🤣Saudi.

YNWA
 
😂😂😂

Usisahau pia tylishawishiwa hapa kuwa Amorim ni kama Klopp aje Liverpool
Nipo hapa bila Slot naamini tungekua nae Amorim. Manchester United 'imeoza' wanataka quick fix... Nilivyoona wanamnunua Casmiro almost £70m na kumpa over 300k wages kwa wiki same na Sancho nikajua hawa ni wagumu wa kuelewa wanatembelea past glory... Wakat Klopp anasema apewe angalau miaka minne ndio adelive kombe mwanzoni hakueleweka lakin baadae akaanza usajili ambao uliendana na kipato cha timu ukitazama mishahara wakati wana join ya akina Fabby, Mane, Gini, Salah, Robbo, Allison nk ilikua ya kawaida sana kwa kua walikua well scouted impact yao watakayoleta wakiwa na kiu ya mafanikio sanaaa.
Bila kubadili mfumo kwa kweli Manjesta mateso yataedelea kuwepo hata atue Klopp au Pep pale shinda itakua hivi hivi.
They are rotten beyond quick fix.

YNWA
 
Captain umemu-underrate Legendary Ian Rash
Mkuu huyu MBE enzi hizo alikua ndio Gerrard wa sasa akiwa one man club ... Made over 600 appearances for Liverpool winning 8 'EPL' etc...

Ian bhana alitukimbia mara akarudi🤓🤓huyu hata Manjesta angetua.
Kwenye Kop favourite of all time wenye timu yao hukoo wanakwenda hivi....
Gerrard
Dalglish
Ian
....

YNWA
 
Arsenal ni fungu la kukosa
 

Kweli sio hivi? 👇
1. Ian Rush
2. Kenny Daglish
3. Steven Gerrard

Hao wazee wawili wa mwanzo ni kama Damu ya Liverpool na wamefanya makubwa kuliko Gerrard.

Kila alichokifanya Gerrard na wao wamekifanya, ila kuna vitu wao wamefanya Gerrard hakuwahi kuvifanya.

Kuna mmoja angekuepo hapo ila aliamua kuitosa Timu ni yule Mzee wetu Kevin Keegan aliamua kutukimbia wakati tunamuhitaji.
 
Nadhani issue ya Jota ni kama imekuwa mmeiongelea baada ya kumiss vs Villa lakini angalau tunaweza kuangalia conversion rate ya mchezaji na kufanya comparisons. Pia huwa tunaangalia idadi ya big chances player ana miss compared to whoever you are making comparisons with.

Jota anaweza kuwa anakosa magoli lakini who often does he miss and how often does he miss big chances?

Hayo ndio maswali ya kujiuliza.
 
Lets play a game.

RANK THESE LFC FORWARDS

Fernando Torres
Luis Suarez
Mo Salah
Sadio Mane
Roberto Firmino
For me raking them depends with a lot of variables including individual statistics like goals and assists, team achievements (trophies won), consistency across seasons, technical ability, tactical awareness, impact on the game, discipline etc

In terms of technical ability and tactical awareness.
-Firmino
-Salah
-suarez
-Mane
-Torres

In terms of individual stats and trophies won
-Salah
-Mane
-Firmino
-Suarez
-Torres

Consistency and impact on the game (ukitoa salaha hao wengine ni kama the same tu)
-Salah
-Suarez
-Torres
-Mane
-Firmino

Discipline wise
-Salah
-Torres
  • Firmino
  • Mane
-Suarez
 

Jota sasahivi ndiyo haongelewi na hata baada ya game ya Aston Villa sikumbuki kuwa Jota aliwahi kuwa Topic hapa.

Msimu wa kwanza Jota kuja Liverpool ndiyo tulimuongelea Jota kuwa hata kule Wolves hakuwa Regular Stater kwasababu Jota ni most Inconsistency Player.

Jota anaweza kukufurahisha game 4 mfululizo then akapotea game 8 mfululizo na huo ndiyo uchezaji wake wala hauwezi kubadilika.

Ni kama aina fulani ya Gabriel Jesus alipokuwa Man City alikuwa anaweza kufunga goli 7 kwa michezo miwili tu (Mchezo mmoja Hat Trick na mchezo mmoja goli 4) then anapotea kwenye michezo 10 inayofuata Pep akaamua kumuuza.

Hivyo Inconsistency ni uchezaji wa Jota tokea yupo Wolves na hilo tunalijua ndiyomana hatumjadili.

So, haupo sahihi kusema kusema tumemuongelea Jota kwasababu ya game yake against Villa.

Jota ndani ya Liverpool hajawahi kuwa tegemeo tokea Klopp mpaka sasa Slot wala hajawahi kuwa World Class Striker wala hajawahi kuwa Clinical Finisher.

Ni average player tu ambaye kuna siku anaamka vizuri akafunga then anapotea.
 
Gerrard nadhani kwa kua ndio last standing real Kop ambae wengi kwa hiv karibuni tumeshuhudia maajabu yake mengi uwanjani na pia ile kukomaa atastafia Liverpool bila kua na tamaa ya ela ukumbuke walileta ofa nono Chelsea na Real Madrid lakin alitulia tuli kuodoka just for the love of the badge...
Kingine Gerrard alicheza na mediocre players ambao leo hii hata benchi ya wachezaji wa akiba hawagusi lakin hakuangalia hayo mbali alipambana akiamini one day yes.. Hakuweza kua serial winner lakin naamini mchango wake pia ulivutia hata hawa FSG kuja kuwekeza Liverpool kwa kujenga baseline makini....

YNWA
 
Mimi binafsi sidhani kama inconsistency ya Jota inasababishwa na form bali ni injuries. Jota amekuwa injury prone sana kiasi kwamba these days ni adhimu kumuona akicheza games kumi mfululizo bila injury.

So speaking of a clinical finisher nakupa article ya opta hapa uisome then utajiuliza tena. Is Ruthless Diogo Jota Liverpool's Most Clinical Forward?

Nakukumbusha pia msimu wa 2021/22 Jota alifunga goals 21 kwenye games 55 which is not bad for a striker in the Premier League (the goals are in all comps though) mwenye record mbaya ya injuries.

I never said Jota is world class.
 

Mkuu article uliyoweka ujumbe wake umebeba Mantiki ya kuwa Je, Dogo Jota ni most Clinical forward wa Liverpool?

Sasa Mkuu pale Liverpool kwani Striker si ni Jota na Nunez tu? Sasa huoni kama hii Liverpool's most clinical finisher inatidanganya hapa kwasababu anayeshindana naye ni Nunez?

Liverpool Striker wa Mwisho wa maana ni Luis Suarez baada ya hapo hatujawahi kuwa na Striker wa maana hivyo Jota ni sahihi kuwa our most clinical finisher lakini siyo kwamba ni bora kiasi hicho ila kwa Timu yetu hana mpinzani kwasababu hatuna bora kuliko yeye.
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…