Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Alisson Becker won us the game & probs the tie.

BUT, without Darwin Nunez, we dont score that goal, that goal was all on him, he made & created that goal OUT OF NOTHING.

But, guess what? he gets the most abuse.

siku ambayo our MOST IMPORTANT ATTACKER, amepotea kabisa, NUNEZ came on the pitch and saved the day.

This might be his last season at the Club, i wont remember him as a ST that flopped at LFC, nitamkumbuka kwa MOMENTS kama hizi, na luckly anazo nyingi at the Club.

View attachment 3260622
Fair play to Nunyezzz
 
Mechi ya leo na ile CL final 2022. Utofauti ni timu leo ni PSG vs Liverpool. Na ile ilikuwa,
Liverpool vs Madrid

One Chance na wakalibeba. Knockout Stage it's not a big deal, what matter the most is a progression.

World Class goal keeping from AB1.
Nunez Nunez Nunez, he bullied Macquinhos and give us a rhythm.

Endo Japanese Samurai Wataru.

Ynwa'
 
Kweli sio hivi? 👇
1. Ian Rush
2. Kenny Daglish
3. Steven Gerrard

Hao wazee wawili wa mwanzo ni kama Damu ya Liverpool na wamefanya makubwa kuliko Gerrard.

Kila alichokifanya Gerrard na wao wamekifanya, ila kuna vitu wao wamefanya Gerrard hakuwahi kuvifanya.

Kuna mmoja angekuepo hapo ila aliamua kuitosa Timu ni yule Mzee wetu Kevin Keegan aliamua kutukimbia wakati tunamuhitaji.

Ngwaba.

Hakuna player ambaye amefanya zaidi ya SG at LFC.

He's the greatest LFC player of all time.

Nipo tayari kwa huu mjadala.
 
Ngwaba.

Hakuna player ambaye amefanya zaidi ya SG at LFC.

He's the greatest LFC player of all time.

Nipo tayari kwa huu mjadala.

Huo mjadala unatupa changamoto kwasababu Daglish sikuwahi kumuona akicheza.
Ian Rush sikumuona katika his prime bali nilimuona akiwa anamalizia mpira wake mwishoni kabisa.
 
Huo mjadala unatupa changamoto kwasababu Daglish sikuwahi kumuona akicheza.
Ian Rush sikumuona katika his prime bali nilimuona akiwa anamalizia mpira wake mwishoni kabisa.
History inaonesha Ian & Dalglish walicheza kwenye best & most dominant LFC sides in our Club's history.

Kwenye his LFC career, best & dominant side aliyocheza SG at LFC, ni ile ya 2007-09, & that was it, apart from that, history inaonesha, SG alianza kuibeba hii team akiwa na 23 years, because hakuwa na bahati ya kucheza kwenye LFC dominant sides kama za wakati wa Rush & Dalglish au hii modern LFC, so wajibu wake mkubwa kwenye his PRIME years ilikuwa ni KUTUBAKIZA kwenye League & make us competitive, na alifanikiwa on his own.

Akiwa na miaka 24, kipindi ambacho tulikuwa tupo on the verge ya kuenguliwa kwenye CL, na kwenda europa league, na Olympiacos ya kina Rivaldo wakati ule, SG alisema, nanukuu "sitaki kuamka asubuhi na kwenda kucheza Europa League"

Alichokifanya kwenye ile game na kwenye kampeni yote ile ya CL mpaka fainali, rudi kwenye history, na huwezi kukiona kwa kina Dalglish or Rush.


View: https://youtu.be/LgMjNN88m5o?si=L9itbiFKj8L3m3Ri
 
Back
Top Bottom