Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mechi ya leo na ile CL final 2022. Utofauti ni timu leo ni PSG vs Liverpool. Na ile ilikuwa,
Liverpool vs Madrid

One Chance na wakalibeba. Knockout Stage it's not a big deal, what matter the most is a progression.

World Class goal keeping from AB1.
Nunez Nunez Nunez, he bullied Macquinhos and give us a rhythm.

Endo Japanese Samurai Wataru.

Ynwa'
YNWA!
 
hivi naomba kuuliza

did the size of the pitch affected our performance kwenye mechi ya jana???
It didn't brother.

San Siro 105m by 68m
Old Trafford 105m by 68m
Fly Emirates 105m by 68m
Parc dea France 105m by 68m
Anfiled 101m by 68m

Vipimo vya uefa ni 100m by 65m hii ni baada ya research za wataalamu kuwa uwezo wa wanaume 22 kumudu, pasipo uonevu wa kiafya ya mwili.

Hivyo kigezo cha ukubwa wa kiwanja kimetuathiei kwangu ni Big No.

PSG wana quality kubwa walifunga magoli 15-16 hivi mpaka kufikia jana na walichezana timu nzuri. Arsenal, Atletico Madrid, Man City, Bayern kama sijakosea unaona sasa ni timu nzuri sana.

Slot told his boys hey we can't dominate them in term of possession they have top quality, when it comes to pressing, their Wings on 1v1 they have top quality possession they are good. Haya ni manenno ya Alisson na Slot mwenyewe baada ya game ya jana. Mengi hawakuyasema but i think kuna tactical issues aliwaonesha jinsi ya kudeal na timu za hivi.

Solution ilikuwa kukaa nyuma na kusubiri counters. I said it yesterday before game kuna uwezakano wa ku approach game vs PSG kama ile ya City na ikawa hivyo.

What went wrong? It was
1. Home advantage
2. Quality in the middle of the park
3. Liverpool lack rhythm kwa sababu kuna chances we had on counters but our started front three were not that good enough to capitalize those chances. Salah Jota and Diaz both had poor passing game, poor decision making. It's happen in football.

Slot alijaribu kuwazuia PSG wasipitie katikati bali pembeni ambapo walikuwa wakatili zaidi. Point ambayo naona ilitumeza zaidi ni "uchovu wa akili na mwili" PSG mbali ya tactical battle nzuri battle nyingine ilikuwa physic game.

Again Slot amekuwa mzuri with his subs throughout this season, Jones, Endo, Nunez and later Elliot

Nunez & Endo walileta physical battle nxuri kwa defender & MF, hapo ndipo kidogo ahueni ikaanza kuja upande wa LFC. Jones uwezo wake wa kuhold mpira ukafanya miguu ipumue mwili upate utulivu, hapo pressing ya PSG ikaanza kumezwa hasa baada ya kurudi kwenye 4-4-2 but we were tired enough.

We will change tactics next week, we will go toe to toe with them,,

Ywna.
 
kwa jinsi tulivyopwaya in our build up nilidhani uwanja umechangia
 
Kabisa nadhani 433 ugenini haikuwa na manufaa kwetu ndio maana baada ya Jones kuingia kuongea mtu kati akawa anatuliza zaidi mpira na Hendo kuja kati style tofauti ikawatuliza PSG. Ila ukweli hata kabla ya Game nilitegemea PSG watakuwa wamoto sikushangaa sana labda tu nilidhani tungeongeza viungo tu ili kuwapunguza speed maana ni wepesi na fullback zao kutwa walikuwa wana support mbele. Mimi nadhani ni team chache zinaweza kwenda PSG na kupata matokeo ni lazima tujipongeze.
 
Unfortunately we were not on our day.

Hope for the best 2nd leg.

Ynwa
 
Kwa anayefahamu French Language, huyu commentator alikuwa anaimba nini?
Kwasababu tumeifunga Timu ya kwao Ufaransa so, nipo very curious kutaka kujua haya maneno aliyokuwa akiimba yana maana gani.
View attachment 3261066
Spaniola anaimba pasi imetoka kwa darwin amefunga elliot ee ndio hilo ni goli goli toka kwa elliot
 
Wale ni wapuuzi tuu,walikua wanamlenga tuu AB.Lakini watu wanawasifia ujinga Kushinda mpira ni magoli sio pasi Wala mbio.Slot ana akili.Alison kasevu moja tuu na huo ndo ukweli,hizi zingine ni pasi tuu
 
Kops mkumbuke team ilicheza kwa kuwaheshimu sana PSG mfumo aliotumia slot ni kukaba ila pale tunapopata mpira ni kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kutumia nafasi kwa usahihi ,bahati mbaya PSG wakakaba katikati na kufanya Diaz ,Jota na Salah kukosa nafasi kwa kujiamini ...mpira unamatokeo manne KUSHINDA ,SALE ,KUFUNGWA NA BAHATI .Leo tulikuwa na bahati sana .
Wewe sio Liverpool,ni man u.uko negative na timu yetu
 
hivi naomba kuuliza

did the size of the pitch affected our performance kwenye mechi ya jana???

BINGO.

Sitoenda deep sana, maana nimekuwa muuza articles kwa kipindi kizuri kidogo, so kwenye kuelezea tactical side ya game/footie kwenye open forums nakuwa makini kidogo, because internet ina mambo mengi sana, especially kwa hawa tunaowauzia hizi articles, (Maana unaowauzia articles, huwa wanaongeza/boresha some pieces na pia ku-place their "penning signature", but kwa kuwa unawauzia so wanakuwa wanajua kwa 100% style yako ya uandishi & word-crafting skills, so inakulazimu kuwa makini kidogo ili kutopoteza clients (ugali)).

So, kuna article, nilishwahi kuuza, a long time-ago, na niliandaa kwa kuzingatia inspirations/tactical-points nilizokuwa naziona/note kutoka kwenye set-ups/game states za Pep Guardiola.

Article yangu, ilikuwa inahusiana na "Pressing patterns between structural phases". though jamaa ameipa another name, meaning hata wewe unaweza ipa jina lako pia.

See, kwenye football (my personal view) huwa nasema/perceive generally, kuna 2 main set-ups za pressing (sio aina za pressings, bali ni set-ups), kuna structural zonal pressing, na kuna individual/body-powered pressing (meaning, a body for a body). Structural zonal pressing, ni space/void eater, ambayo inatumika ku-retain possession/ball and dictate oppositions transtional/ball progression threats kwenye your half, sometimes it can be shaped kama ni mid-bock, depends na numbers/bodies ambazo manager anatumia kutengeneza zonal-spacing between the "thin" defensive lines, BUT in reality, zonal-pressing, siyo na haiwiani na mid-block structure, then you have a body-powered pressing, wengi wanapenda kui-term kama a BODY for a BODY pressing, hii ni ile ambayo imekuwa coined kama high-up the pitch pressing structure, this is where unatumia your front, pacey & agressive transitional players to press the opposition build-up from their own half (This is common kwa Coaches/teams nyingi), why? kwasababu kui-perfect zonal pressing, unahitaji ELITE ball progressing defenders, unahitaji ELITE OOP (out of possession) beasts/wolves/eaters in the middle, unahitaji a space cheater (mara nyingi wanakuwa na unique trait za kuwa elite press resistants) a space eater & to an extent a technical ball winner (siyo agressive), namaanisha mwizi wa mipira kwenye transitional pockets. sasa kwanza its hard kama huna ELITE players ku-combine these 2 pressing patterns, hence teams nyingi huwa zinatumia tu "front-foot" pressing (high-up the pitch), but NOW, teams nyingi sana hasa EPL wanatumia hii combination, but standard ya players huwa inazi-let hizi teams/coaches down, but that is where football is heading kaka, (na niliuza hii article back in 2023, prophet eeeh). (kuna vitu vingi SANA hapa nimeviacha kwa maksudi, brother, a lot of pieces, hope ukisoma kwa juu juu kama ulivyo unaweza uka-google zaidi)

Sasa, jana nilisema Slot got outcoached, but i'll give him a pass, kwasababu Luis ni one of the best technical coaches in the game, Slot amei-perfect OOP defensive structure, mtego wa ku-concede/surrender possession, defend spaces & hit the opposition kwenye transtions, amekuwa aki-tweak hiyo set-up kulingana na opponents, but jana, haikutakiwa kutumika, Why? nitakupa 2 reasons.

First, Luis ana elite players kwenye kila position, so ku-combine, Zonal pressing structure & front foot (body for body) pressing at the same exact time, bila ku-leak any weakness ilikuwa ni suala dogo kwa Luis, so structure ya Slot isingeweza kufua dafu, because PSG were pressing us kwenye half-space in numbers & they were pressing us kwenye our half aggressively, they denied us SPACE & TIME, see, ukiwa unacheza kwenye back-foot, huku opposition akiwa anatumia kimoja tu kati ya zonal or front-foot pressing, unakuwa na uwezo mkubwa sana wa ku-cheat/evade the press, na pia unakuwa na TIME ya ku-recycle the ball kwa kutumia your ball playing CBs & fullbacks, but inakuwa harder kama umekutana na ELITE team, alafu inakuchezea katikati mpaka kwenye half yako, kwa same pace & body-power, kwenye ku-evade zonal press mara nyingi huwa tunamtumia, Szobo kwenye ku-cheat opponent pressing structure kwa kutumia his off-ball movements & runs, but jana we tried, lakini PSG had us kwenye kila zone/line.

Second, how can you manipulate set-up kama ile ya PSG? by going long, so yeah, Slot was right, kwa kuamua kwenda long, kila tukipata a breather, but, kosa la Slot ni lipi? using Jota & Diaz as his transitional threats, ambao hawakuwasumbua hata kidogo akina Pacho/Mariquinhos, (mimi siyo muumini sana wa coaches ambao wanafata narratives za kwenye mitandao), game-state ya jana ilikuwa inahitaji a flat-bully ST upfront, kama umeamua ku-manipulate set-up ya opponent kwa kwenda long from the back, why asitumike Nunez? hafungi, but kwenye gams-stats ya jana, you need a player ambaye ni mzuri kwenye front/behind runs & transitional beast, yes, Nunez angekuwepo bado PSG wangekuwa on top of their game, but ingekuwa rahisi kwa Szobo ku-manipulats zonal pressing ya PSG na walau kumu-engage Salah kwenye attacking pockets, game isingekuwa even (i know), but tusingekuwa bullied, maana Backline ya PSG, ingekuwa ina-struggle ku-retain transitional threats/runs/stretching ball movements za mara kwa mara za Nunez, na hivyo at times ku-waforce PSG ku-abandon zonal-pressing kwenye baadhi ya "combination plays", na kutupa a big breather between those two structural phases. so Nunez or any flat-bully ST angekuwa ni bit of a breather.

Then, kwenye OOP defending structure, kuna 3 basic objects, ambazo nadhani ni very known, kwa kila mpenda mpira.

1. pressing
2. Dictate, Delay, Deny
3. Emergency defending

Meaning; Press ikifail, you resort kwenye "Delay, Deny, Dictate" maana yake hapa ni mid to low block, emergency defending ndiyo ile unasikia/unaambiwa "Keeper tuepushe na hiki kikombe"

Sasa against PSG, our OOP defensive structure, failed kabisa our 424 OOP defensive shape was a disaster, our press died, then when we resorted to D-D-D, bado tulifail kutengeneza a strong mid-low block structure because bado PSG walikuwa wanafika kwenye our zone na kupata time & space za ku-shoot/kumuona Alisson with ease na mara kwa mara, meaning our D-D-D failed miserably, baada ya hapo hauna cha kufanya zaidi ya kumuachia mikoba Alisson, (emergency defending) ndiyo maana tukisema Alisson won us the game, technically tunamaanisha hivi. everything wasnt working, so he had to step up.

Mwisho, ON A BIGGER SCALEA tulicho-fail jana, ni ku-allow smooth-ball progression/circulation & distribution kwa PSG, and once ukisha-surrender hiyo in-game adaptability against Elite players & coaches, huwa inakuwa ni ngumu sana kuirudisha game in your favor, hapo ndiyo unapoomba your WC players kukuokoa & thats what happened jana.

At Anfield, game itakuwa ngumu but tuna advantage kubwa sana, and i hope kutakuwa na tactical tweaks kubwa kwa upande wa Slot, and if anyone can do it, its him.
 
Screenshot_20250307_010704_com.twitter.android_edit_24049630616501.jpg
 
Older LFC fans, huwaambii kitu kuhusu Ian Callaghan, hahaha.
Its seasons brother... Now we are witnessing Salah breaking crazy records... We witnessed Gerrard carrying this club almost 'alone'...
Imagine if Gerrard was born to play in that epic era when we topped the perch ...whats a super dope story would have been there.
Gerrard played with mediocre players yet he delivered playing via pain killers injection was..
Gerrard and Ian would have been immortal.

YNWA
 
Clinical finisher is not top goal scorer (not must be).

Umechanganya sana kaka.

Umesema nimewalinganisha Diaz Nunez na Gakpo, wakati nimemuweka mpaka Salah au haujamuona Salah hapo.

Clinical finisher regardless of game play, anapimwa kwa conversion rate yake. Unaweza kucheza dakika nyingi na bado ukawa na poor conversion rate.

Ikiwemo xG, big chances and the likes. Nikupe mf. Jota needs few chances to convert into goals thats why last season second best Clinical finisher EPL kaka sio at Liverpool kama unavyosema nimemlinganisha na Diaz, Gakpo na Nunez. Je kwenye chat haujamuona Salah??

Being clinical finisher doesn't mean to be top goal scorer. Gamebya Fulham unakumbuka this season, Jota alikuwa injury akaja his first chance he scored, game vs NF first chance BOOM scored. Hii ndio inayopima clinical finisher. Hii haimaanishi ucheze dk nyingi au kufunga magoli mengi, the amount of big chances you converting.

Nimeona umesema EPL kuna best clinical finisher 20?? Umekusudia clinical finisher ni ST pekee au ? (Mjadala mwingine)

Touches nyingi na assists nyingi hazi define clinical finisher, Narudia tena clinical finisher anapimwa na amepata chances ngapi na amefunga ngapi basi na matarajio ya yeye kufunga ni yapi ? (xG).

Mf. Unaweza kuwa na magoli mengi ila umeyafunga baada ya chances nyingi sana, wakati mwingine anaweza kuwa na Chances chache zinaendana na magoli machache yake.

Kabla ya mimi kusema "our most clinical finisher" ulisema Jota hajawahi kuwahi kuwa clinical finisher, basi bisha kwa data hata hii kauli yako....

Kaka nakuletea na data zaidi pamoja na Salah ni mfungushaji mabao mengi but again Jota is our most Clinical finisher pale Anfield. Waondoe wote Diaz, Gakpo na Nunez, kisha tubaki na
Jota vs Salah.

MSIMU WA 2023/2024
View attachment 3259765
Umeona sasa Salah hapo?? Usiseme tena nimemlinganisha Diaz, Gakpo na Nunez kwamba hawajawahi kuwa wafungaji bora (kwanza

Usinilishe maneno tena kusema nimemlinganisha na Diaz, Gakpo na Nunez Namuweka na Salah.

MSIMU WA 2022/2023

View attachment 3259782

Msimu wa 2020/2021
View attachment 3259786

Muangalie Jota and Salah pekee.

Hizo no. Map yake hii hapa
View attachment 3259790

Kwa hiyo concept ya Clinical finisher ina rely kwenye conversion rate ya chances na xG na sio wingi wa magoli au mins played. Kwa sababu unaweza kucheza dakika nyingi still ukawa against xG and conversion rate, Good living example ni Nunez.

YNWA.
Kama hajaelewa na hapa hatoelewa kamwe
 
Back
Top Bottom