Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Anorld kwenye kukaba leo alikuwa vizuri

Szobo kanifurahisha pia kazi imepigwa

Nunez na Elliot bahati imewakuta njiani wakaifanyia kazi

Kati kati tumepwaya mnooo

Tukipata DM wa maana Robbo bado ni mzuri

Diaz na Jota leo siku imeenda vibaya mnoooo

Allison nakosa cha kuandika kwa alichokifanya leo

Slot ndie mwenyewe ama tumsubirie mwingine?

Slot bado ananichanganya changanya

Ila tumekutana na kati ya makocha bora kwa sasa Duniani Luis Enrique sishangai sana kwa moto tuliokutana leo, japo sikutegemea iwe hivi

Ubingwa na Bahati huwa ni mapacha

Kwa hiyo ili uwe bingwa lazima bahati kama kwenye mechi ya leo ikufuate na vijana wakaifanyia kazi
Punguza uswahili game ilikuwa ngumu
 
History inaonesha Ian & Dalglish walicheza kwenye best & most dominant LFC sides in our Club's history.

Kwenye his LFC career, best & dominant side aliyocheza SG at LFC, ni ile ya 2007-09, & that was it, apart from that, history inaonesha, SG alianza kuibeba hii team akiwa na 23 years, because hakuwa na bahati ya kucheza kwenye LFC dominant sides kama za wakati wa Rush & Dalglish au hii modern LFC, so wajibu wake mkubwa kwenye his PRIME years ilikuwa ni KUTUBAKIZA kwenye League & make us competitive, na alifanikiwa on his own.

Akiwa na miaka 24, kipindi ambacho tulikuwa tupo on the verge ya kuenguliwa kwenye CL, na kwenda europa league, na Olympiacos ya kina Rivaldo wakati ule, SG alisema, nanukuu "sitaki kuamka asubuhi na kwenda kucheza Europa League"

Alichokifanya kwenye ile game na kwenye kampeni yote ile ya CL mpaka fainali, rudi kwenye history, na huwezi kukiona kwa kina Dalglish or Rush.

View: https://youtu.be/LgMjNN88m5o?si=L9itbiFKj8L3m3Ri

I will never forget hiki kipindi…. He carried LCF pakubwa sana
 
Kops mkumbuke team ilicheza kwa kuwaheshimu sana PSG mfumo aliotumia slot ni kukaba ila pale tunapopata mpira ni kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kutumia nafasi kwa usahihi ,bahati mbaya PSG wakakaba katikati na kufanya Diaz ,Jota na Salah kukosa nafasi kwa kujiamini ...mpira unamatokeo manne KUSHINDA ,SALE ,KUFUNGWA NA BAHATI .Leo tulikuwa na bahati sana .
 
Heheh bisha kwa hisia tu kaka, Numbers never liesa, lakini ndio uhalisia huo Jota is a clinical finisher than Salah, sasa hizo ni namba za wataalam wa mpira sio zangu.

Sijamlingisha Jota na kina Daiz, Nunez na Gakpo pekee yake, mpaka Salah nimemuweka in term of "CLINICAL FINISHER"

Leta mahali number zime mislead,. Debate

Sasa huko mwisho unaniambia ni google maana ya clinical finisher wakati bandiko langu linajieleza.

Clinical finisher anapimwa kwa conversion rate (big chances na xG) yake. Hii ni tafsiir nayaojua mie. Leta wewe maana ya clinical finisher.

Kutafuta clinical finisher hizo inconsistency and average player wala haihusiki, isipokuwa conversion rate yako ya chances yako na XG yako basi.

Sawa kaka, Namba za Salah zinaongea,

Leta namba zake za Chnces conversion rate na XG leta na Jota same then tutaona.

Kusema namba zinaongea tu wakati hauleti sio afya ya mjadala huu, mie nilete namba zitakazo define that Salah is much clinical finisher than Jota,

Yaani simple tu;

1. Prove that Jota vs Salah conversion rate debate is INVALID.

Karibu.

Ynwa"
Mkuu, huyu achana nae alikuwa anapumzika tu. Umeeleza kila kitu na kwa ufasaha mkubwa
 
Kops mkumbuke team ilicheza kwa kuwaheshimu sana PSG mfumo aliotumia slot ni kukaba ila pale tunapopata mpira ni kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kutumia nafasi kwa usahihi ,bahati mbaya PSG wakakaba katikati na kufanya Diaz ,Jota na Salah kukosa nafasi kwa kujiamini ...mpira unamatokeo manne KUSHINDA ,SALE ,KUFUNGWA NA BAHATI .Leo tulikuwa na bahati sana .
PSG waliizidi Liverpool midfielders..alipoingia Jones baada ya kutoka Diaz...Liver kidogo wakaanza kupiga hata pasi nne.. kwakuwa walikuwa na midfielders wanne tayari
 
Kwa mara ya kwanza last night nilikumbuka tulivyopenya miaka ile ya 2004/5 tukiwa na akina biscan, diaw, carra, smicer, baros, finnan, kewel etc

Tulikua tunashinda lakini moyo ulikua nje ya shati….. and we won Ucl vilevile
Ikiwa tutashinda CL msimu huu, basi performance ya Alisson vs PSG at Parc de Franceitakumbukwa sana, kama ile save vs Napoli msimu tuliobeba CL.

Ynwa
 
History inaonesha Ian & Dalglish walicheza kwenye best & most dominant LFC sides in our Club's history.

Kwenye his LFC career, best & dominant side aliyocheza SG at LFC, ni ile ya 2007-09, & that was it, apart from that, history inaonesha, SG alianza kuibeba hii team akiwa na 23 years, because hakuwa na bahati ya kucheza kwenye LFC dominant sides kama za wakati wa Rush & Dalglish au hii modern LFC, so wajibu wake mkubwa kwenye his PRIME years ilikuwa ni KUTUBAKIZA kwenye League & make us competitive, na alifanikiwa on his own.

Akiwa na miaka 24, kipindi ambacho tulikuwa tupo on the verge ya kuenguliwa kwenye CL, na kwenda europa league, na Olympiacos ya kina Rivaldo wakati ule, SG alisema, nanukuu "sitaki kuamka asubuhi na kwenda kucheza Europa League"

Alichokifanya kwenye ile game na kwenye kampeni yote ile ya CL mpaka fainali, rudi kwenye history, na huwezi kukiona kwa kina Dalglish or Rush.

View: https://youtu.be/LgMjNN88m5o?si=L9itbiFKj8L3m3Ri

I do agree regardless sijawaon Ian & King Kenny ila point hapo ni "Dominant team" na hapa ni on and off the field. Miaka hiyo ndicho kipindi LFC ilibeba makombe mengi zaidi.

Ynwa
 
Back
Top Bottom