BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Endelea kucheka mkuuHahaha ila mashabiki tunachekesha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kucheka mkuuHahaha ila mashabiki tunachekesha sana
Punguza uswahili game ilikuwa ngumuAnorld kwenye kukaba leo alikuwa vizuri
Szobo kanifurahisha pia kazi imepigwa
Nunez na Elliot bahati imewakuta njiani wakaifanyia kazi
Kati kati tumepwaya mnooo
Tukipata DM wa maana Robbo bado ni mzuri
Diaz na Jota leo siku imeenda vibaya mnoooo
Allison nakosa cha kuandika kwa alichokifanya leo
Slot ndie mwenyewe ama tumsubirie mwingine?
Slot bado ananichanganya changanya
Ila tumekutana na kati ya makocha bora kwa sasa Duniani Luis Enrique sishangai sana kwa moto tuliokutana leo, japo sikutegemea iwe hivi
Ubingwa na Bahati huwa ni mapacha
Kwa hiyo ili uwe bingwa lazima bahati kama kwenye mechi ya leo ikufuate na vijana wakaifanyia kazi
History inaonesha Ian & Dalglish walicheza kwenye best & most dominant LFC sides in our Club's history.
Kwenye his LFC career, best & dominant side aliyocheza SG at LFC, ni ile ya 2007-09, & that was it, apart from that, history inaonesha, SG alianza kuibeba hii team akiwa na 23 years, because hakuwa na bahati ya kucheza kwenye LFC dominant sides kama za wakati wa Rush & Dalglish au hii modern LFC, so wajibu wake mkubwa kwenye his PRIME years ilikuwa ni KUTUBAKIZA kwenye League & make us competitive, na alifanikiwa on his own.
Akiwa na miaka 24, kipindi ambacho tulikuwa tupo on the verge ya kuenguliwa kwenye CL, na kwenda europa league, na Olympiacos ya kina Rivaldo wakati ule, SG alisema, nanukuu "sitaki kuamka asubuhi na kwenda kucheza Europa League"
Alichokifanya kwenye ile game na kwenye kampeni yote ile ya CL mpaka fainali, rudi kwenye history, na huwezi kukiona kwa kina Dalglish or Rush.
View: https://youtu.be/LgMjNN88m5o?si=L9itbiFKj8L3m3Ri
2024/2025 au ni 2004/2005Kwa mara ya kwanza last night nilikumbuka tulivyopenya miaka ile ya 2024/25 tukiwa na akina biscan, diaw, carra, smicer, baros, finnan, kewel etc
Tulikua tunashinda lakini moyo ulikua nje ya shati….. and we won Ucl vilevile
CheersEndelea kucheka mkuu
hivi naomba kuulizaKuanzisha kitu na kukikuza ni HARD, but kukiinua na kukikuza TENA hicho kitu ni HARDER.
Unless we're building the as Arsenal do; it's ok....Haha.
A 32 years-old Salah over Lamine? Lamine Yamal?
I'd say no if Salah was 25-28, but at 32?
C'mon, Ngumbuke.
Wazee wa next episodeUnless we're building the as Arsenal do; it's ok....
Mkuu, huyu achana nae alikuwa anapumzika tu. Umeeleza kila kitu na kwa ufasaha mkubwaHeheh bisha kwa hisia tu kaka, Numbers never liesa, lakini ndio uhalisia huo Jota is a clinical finisher than Salah, sasa hizo ni namba za wataalam wa mpira sio zangu.
Sijamlingisha Jota na kina Daiz, Nunez na Gakpo pekee yake, mpaka Salah nimemuweka in term of "CLINICAL FINISHER"
Leta mahali number zime mislead,. Debate
Sasa huko mwisho unaniambia ni google maana ya clinical finisher wakati bandiko langu linajieleza.
Clinical finisher anapimwa kwa conversion rate (big chances na xG) yake. Hii ni tafsiir nayaojua mie. Leta wewe maana ya clinical finisher.
Kutafuta clinical finisher hizo inconsistency and average player wala haihusiki, isipokuwa conversion rate yako ya chances yako na XG yako basi.
Sawa kaka, Namba za Salah zinaongea,
Leta namba zake za Chnces conversion rate na XG leta na Jota same then tutaona.
Kusema namba zinaongea tu wakati hauleti sio afya ya mjadala huu, mie nilete namba zitakazo define that Salah is much clinical finisher than Jota,
Yaani simple tu;
1. Prove that Jota vs Salah conversion rate debate is INVALID.
Karibu.
Ynwa"
PSG waliizidi Liverpool midfielders..alipoingia Jones baada ya kutoka Diaz...Liver kidogo wakaanza kupiga hata pasi nne.. kwakuwa walikuwa na midfielders wanne tayariKops mkumbuke team ilicheza kwa kuwaheshimu sana PSG mfumo aliotumia slot ni kukaba ila pale tunapopata mpira ni kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kutumia nafasi kwa usahihi ,bahati mbaya PSG wakakaba katikati na kufanya Diaz ,Jota na Salah kukosa nafasi kwa kujiamini ...mpira unamatokeo manne KUSHINDA ,SALE ,KUFUNGWA NA BAHATI .Leo tulikuwa na bahati sana .
Unajibu post ya lini wewe?La tatu au sio
Watu wana mu underrate SG kisa eti hakuwin PLNgwaba.
Hakuna player ambaye amefanya zaidi ya SG at LFC.
He's the greatest LFC player of all time.
Nipo tayari kwa huu mjadala.
Ikiwa tutashinda CL msimu huu, basi performance ya Alisson vs PSG at Parc de Franceitakumbukwa sana, kama ile save vs Napoli msimu tuliobeba CL.Kwa mara ya kwanza last night nilikumbuka tulivyopenya miaka ile ya 2004/5 tukiwa na akina biscan, diaw, carra, smicer, baros, finnan, kewel etc