Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fair play to Nunyezzz
 
Mechi ya leo na ile CL final 2022. Utofauti ni timu leo ni PSG vs Liverpool. Na ile ilikuwa,
Liverpool vs Madrid

One Chance na wakalibeba. Knockout Stage it's not a big deal, what matter the most is a progression.

World Class goal keeping from AB1.
Nunez Nunez Nunez, he bullied Macquinhos and give us a rhythm.

Endo Japanese Samurai Wataru.

Ynwa'
 

Ngwaba.

Hakuna player ambaye amefanya zaidi ya SG at LFC.

He's the greatest LFC player of all time.

Nipo tayari kwa huu mjadala.
 
Ngwaba.

Hakuna player ambaye amefanya zaidi ya SG at LFC.

He's the greatest LFC player of all time.

Nipo tayari kwa huu mjadala.

Huo mjadala unatupa changamoto kwasababu Daglish sikuwahi kumuona akicheza.
Ian Rush sikumuona katika his prime bali nilimuona akiwa anamalizia mpira wake mwishoni kabisa.
 
Huo mjadala unatupa changamoto kwasababu Daglish sikuwahi kumuona akicheza.
Ian Rush sikumuona katika his prime bali nilimuona akiwa anamalizia mpira wake mwishoni kabisa.
History inaonesha Ian & Dalglish walicheza kwenye best & most dominant LFC sides in our Club's history.

Kwenye his LFC career, best & dominant side aliyocheza SG at LFC, ni ile ya 2007-09, & that was it, apart from that, history inaonesha, SG alianza kuibeba hii team akiwa na 23 years, because hakuwa na bahati ya kucheza kwenye LFC dominant sides kama za wakati wa Rush & Dalglish au hii modern LFC, so wajibu wake mkubwa kwenye his PRIME years ilikuwa ni KUTUBAKIZA kwenye League & make us competitive, na alifanikiwa on his own.

Akiwa na miaka 24, kipindi ambacho tulikuwa tupo on the verge ya kuenguliwa kwenye CL, na kwenda europa league, na Olympiacos ya kina Rivaldo wakati ule, SG alisema, nanukuu "sitaki kuamka asubuhi na kwenda kucheza Europa League"

Alichokifanya kwenye ile game na kwenye kampeni yote ile ya CL mpaka fainali, rudi kwenye history, na huwezi kukiona kwa kina Dalglish or Rush.


View: https://youtu.be/LgMjNN88m5o?si=L9itbiFKj8L3m3Ri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…