mak89
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 1,072
- 914
hahahahahahahahah!!!!
me mwenzako nasubiria kuona Kama akiflop lawama atatupiwa nan...BR or Committee..
kwangu mm nadhan priority ingekuwa ni KEEPER..
japokuwa Shaqir inaweza kuwa ni great addition pia...
Rumourz zinasema LFC wanaconsider kumrudisha IBE kutoka Derby county...manake naona McClaren analalamika huyo, IBE kawa mchezaji muhimu sana kwenye team yake..
Oooooh! nlisahau kama kuna Luis Alberto...
Swala la kumrudisha teenager kutoka kwenye mkopo eti ndo aje kuwa ''suarez'' ni kumchosha tu Ibe. BR kafanya blunder kwenye summer transfer window kama alikuwa na shida na striker kama back ni bora angemrudisha aspas kuliko kumleta lambert na kwenye beki kwa game nilizo muona tiago illori alizocheza spain (grenada) he is far better than lovren,sakho,toure na skrtel funny enough he was loaned to bordeaux where he has just played only 4 games.
Kwasasa timu inahitaji striker mwenye pace and can hold the ball upfront waiting for support from his team mates, i was thinking these two guys would have been good addition (jackson martinez or Luiz adriano wa shankhter) ila we are being linked na jermaine defoe(lambert v.2)
Halafu hizi ngojera zake kuwa hakuna striker sokoni hatutaki hakuna timu inamuweka mchezaji sokoni kama anaperform vizuri kama vipi tuendelee hivi hivi na kina balo na lord lambert mpaka msimu unaisha
kwa issue ya gerrard(thanks for the memories, that header 2005 and those two beautiful goals in 2006) mi naona its a high time for him stay aside mi ningependa astaafu soka akiwa liverpool ila kaamua mwenye kwenda kwingine(japo maneno yake yanaonyesha ni kutokukubaliana na BR na owners) ndo wakati wa kutengeneza timu kwenye defensive midfield akae Emre Can/Lucas na Henderson