Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
"Welcome to LA LA Land, I have been a long time fan of yours for a very, very longtime"- Kobe Bryant to lfc legend Steven G.
Thread ipo kasi sana tangu SG atangaze kuondoka huu ubishani kati ya PS na SG umekaa kishabiki fulani hivi ingawa kila wazo la mtu huwa ni sahihi ila tu mara nyingi huwa linakuwa limetolewa mahala ambapo siyo sahihi hivyo linakuwa halina mashiko kutokana na some facts. sitaki kuamini SG ni yuko under PS
Tukisema tukubali kwa kuangali polls inaweza leta shaka mfano hata hapa kwetu wakati maximo anamtema kaseja watu walipinga sana kila siku lakini sitaki kuamini kuwa kaseja ni bora zaidi ya manyika/mwameja kwakua wao watu hawa kuwalilia warudi.
Watu wengi wanamshusha SG kwakua hajashinda EPL title hasa mashabiki wa man u nakumbuka hata game yetu na Chelsea ambayo SG aliflop (kama kumbukumbu yangu ipo sahihi) kuna mtu alipitisha ndege kabla mechi haijaanza ikiwa na kibango kilicho-andikwa "manchester united 20- Gerrard 0" sidhani kama hichi ni kigezo cha kukishusha kiwango chake kilicho bora kabisa katika kipindi chake.
Haya kayasema SG
"I'm leaving Liverpool to LA galaxy to win trophies"
All the best legend