Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

"Welcome to LA LA Land, I have been a long time fan of yours for a very, very longtime"- Kobe Bryant to lfc legend Steven G.

Thread ipo kasi sana tangu SG atangaze kuondoka huu ubishani kati ya PS na SG umekaa kishabiki fulani hivi ingawa kila wazo la mtu huwa ni sahihi ila tu mara nyingi huwa linakuwa limetolewa mahala ambapo siyo sahihi hivyo linakuwa halina mashiko kutokana na some facts. sitaki kuamini SG ni yuko under PS

Tukisema tukubali kwa kuangali polls inaweza leta shaka mfano hata hapa kwetu wakati maximo anamtema kaseja watu walipinga sana kila siku lakini sitaki kuamini kuwa kaseja ni bora zaidi ya manyika/mwameja kwakua wao watu hawa kuwalilia warudi.

Watu wengi wanamshusha SG kwakua hajashinda EPL title hasa mashabiki wa man u nakumbuka hata game yetu na Chelsea ambayo SG aliflop (kama kumbukumbu yangu ipo sahihi) kuna mtu alipitisha ndege kabla mechi haijaanza ikiwa na kibango kilicho-andikwa "manchester united 20- Gerrard 0" sidhani kama hichi ni kigezo cha kukishusha kiwango chake kilicho bora kabisa katika kipindi chake.

Haya kayasema SG

"I'm leaving Liverpool to LA galaxy to win trophies"

All the best legend
 
Polls hii inasema SG anamzidi Scholes!Anaye amini polls kama hizi kuacha fact ni mtu wa ajabu anakuwa
Nzi nahisi haukumuona SG enzi za ujana wake!Hiyo polls juu unakubaliana nayo au lzm polls itoke Great Manchester?

Tatizo watu wa loserfools mna stress na kiji mid-table team yenu...mnataka kumaliza stress kwa Bwana Nzi...

Tatizo Bwana Nzi ni mtu wa kuchukulia mambo poa tu..mnamtusi, kumkejeli na kila namna lakini yeye hata hajali!

Sawa basi, mimi nimeanza kuangalia ligi mwaka jana pale SG alivyotoa pasi ya ushindi wa EPL kwa Demba..kwa kutoa title winning assists, SG hana mpinzani, kwani ashawahi kutoa moja kwa Didier pia..

Mimi napenda ushambenga sana, tatizo nyiye watu wa loserfools hampendi. Sasa, naomba nistop hapa maana sina wa kushambenga naye...

Hivyo basi, SG ni bora zaidi ya fundi a.k.a red-hair, zeruzeru Paulo Scholesy.
 
Last edited by a moderator:
Zile tetesi za Shaqir zimefika tamati baada ya inter kumchukua.Mancini pia anamtaka Lucas Leiva.
 
BR ni mngese sana, huyu dogo sio sawa na lambert, borin ama Aspas

AC Milan will only make a move for Liverpool midfielder Suso once he becomes a free agent this summer, according to club administrator Adriano Galliani.
Reports in Italy claim the 21-year-old, whose current deal with the Reds expires in July, has agreed a four-year contract with Milan and could even join the San Siro club this month.
_80140606_getty.jpg
 
Tatizo watu wa loserfools mna stress na kiji mid-table team yenu...mnataka kumaliza stress kwa Bwana Nzi...

Tatizo Bwana Nzi ni mtu wa kuchukulia mambo poa tu..mnamtusi, kumkejeli na kila namna lakini yeye hata hajali!

Sawa basi, mimi nimeanza kuangalia ligi mwaka jana pale SG alivyotoa pasi ya ushindi wa EPL kwa Demba..kwa kutoa title winning assists, SG hana mpinzani, kwani ashawahi kutoa moja kwa Didier pia..

Mimi napenda ushambenga sana, tatizo nyiye watu wa loserfools hampendi. Sasa, naomba nistop hapa maana sina wa kushambenga naye...

Hivyo basi, SG ni bora zaidi ya fundi a.k.a red-hair, zeruzeru Paulo Scholesy.

Mr Flip-Flop

Kwa hiyo kwenye individual Awards kati ya SG na PS umeshindwa sasa unataka tuanze kujadili siku wachezaji hawa wawili walipokuwa na bad games?

EPL team of the year 8 times unataka kutuaminsha awe sawa na mediocre wako aliyechaguliwa kwenye kikosi hicho hicho mara 2 tu tena yy akicheza miaka mingi zaidi EPL?

EPL player of the League na asiyewahi hata kufikiriwa kwenye tuzo hiyo?

Kwa hili umeonyesha sana jinsi ulivyo nweupe!Fungua sasa thread mpya tujadili bad games za SG the greatest na mediocre PS
 
Hivi hata kusoma hujui ama?! Si nimeandika SG ni bora kuliko Paulo...

Nimefunga mjadala...Paulo ni mediocre, na Steven ni superior..
 
Hadi huu msimu ukiisha mtakuwa mmeshakunywa panadol za kutosha sana. Kwa hicho kikosi hapo mshakula bao kabla hata ya haijaanza.
Ova
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mkuu mechi yetu ya kesho versus sunderland itakua saa ngap
 
Style ya sunderland siku hizi ya kujazana golini itawapa ugumu sana liverpool kama wakiendelEa nayo maana sunderland hawatak kuruhusu mabao mengi kama walivofanyiwa na man city + saints in the first round
 
BR ni mngese sana, huyu dogo sio sawa na lambert, borin ama Aspas

AC Milan will only make a move for Liverpool midfielder Suso once he becomes a free agent this summer, according to club administrator Adriano Galliani.
Reports in Italy claim the 21-year-old, whose current deal with the Reds expires in July, has agreed a four-year contract with Milan and could even join the San Siro club this month.
_80140606_getty.jpg

Yaani BR anashangaza sana kumwachia huyo dogo aende, nadhani atakuja kujuta siku moja. Katika wachezaji wote wa Liver kwa sasa huyo dogo ndo mwenye uwezo mkubwa zaidi wa kumiliki mpira. Ball control yake inakaribiana na Coutinho, lakini huyu ana uwezo mkubwa zaidi wa kupiga chenga. Hata sielewi tu ni kwanini BR hampi nafasi ya kucheza. Too bad that a talent like Suso is let go so easily.
 
Back
Top Bottom