Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool hatufanyi lolote la maana kipindi cha pili!
Mabadiliko haya yameua team
 
Corner Sunderland dakika ya 74 na wanakosa bao la wazi!Mignolet anacheza
Sunderland wanacheza vyema sasa
 
Kaka yangu Malafyale leo unareport vizuri hadi raha,big up!!!! Omba tu Wasisawazishe naona kasi yenu imepungua sana......
 
Last edited by a moderator:
Kaka yangu Malafyale leo unareport vizuri hadi raha,big up!!!! Omba tu Wasisawazishe naona kasi yenu imepungua sana......

Kocha wetu mwehu dada!
Kumtoa SG ambaye ndiye alikuwa composer kumewapa Sunderland mabeki wao waende mbele kusaidia mashambulizi!Wangekuwa hawana kadi nyekundu wangeshinda game hii

Nanusa sare hapa
 
Kocha wetu mwehu dada!
Kumtoa SG ambaye ndiye alikuwa composer kumewapa Sunderland mabeki wao waende mbele kusaidia mashambulizi!Wangekuwa hawana kadi nyekundu wangeshinda game hii

Nanusa sare hapa

BR kachemsha sana kumtoa SG, SG alikuwa ana mchango mkubwa sana na hata game lilichangamka,kweli Sunderland wasingekuwa pungufu wangewatoa nishai ila mimi naona point 3 ni zenu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…