Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnanitisha tena? Vijana wanatugeuzia kibao??Corner Sunderland dakika ya 74 na wanakosa bao la wazi!Mignolet anacheza
Sunderland wanacheza vyema sasa
Kaka yangu Malafyale leo unareport vizuri hadi raha,big up!!!! Omba tu Wasisawazishe naona kasi yenu imepungua sana......
Du unanitisha malafyale
Mtani tuombeane dua.
Br yan sijui anajin gan...dk mbil kashaharibu timu
Kocha wetu mwehu dada!
Kumtoa SG ambaye ndiye alikuwa composer kumewapa Sunderland mabeki wao waende mbele kusaidia mashambulizi!Wangekuwa hawana kadi nyekundu wangeshinda game hii
Nanusa sare hapa
Balotel vp ndugu...
BR kachemsha sana kumtoa SG, SG alikuwa ana mchango mkubwa sana na hata game lilichangamka,kweli Sunderland wasingekuwa pungufu wangewatoa nishai ila mimi naona point 3 ni zenu....