Mourinho
Ni rahisi sana kum-offload mchezaj ambaye kakulia kwenye System (Academy) kuliko mchezaji ambaye Umemnunua kwa kias ambacho owner ilibid wawe conviced mpaka kukitoa!
Na pia ni rahisi sana kum-offload mchezaji ambaye alisajiliwa na manager mwingine (Kwa LFC, BR alizikuta Signings za Rafa na kenny)..coz ukiulizwa, unaweza ukasema tu, kuwa hazifit katika mfumo mpya ambao kama Manager unataka kuuanzisha!!!
So kwa JS, aliinuka wakat LFC ina midfield crisis...kwa kenny Hakupata playing time ya kutosha, lakin kwa BR alipata muda mwing sana wa kucheza!! lakin media ambazo zikamwita "New SG" zikamfanya ajione ana umuhimu sana kwenye kikosi..loan signing ya Sahin ndo ikazid kumtupa mbali..maelewano yake na BR yakapungua, akaanza kuforce kuondoka, when swansea came in, LFC haikuwa na jinsi, ukitegemea, BR alikuwa kishaamua kumtumia SG kama DM, pamoja na Hendo, huku Lucas na Allen wakicheza kama Back-up, au kwenye "diamond".. Allen alicheza sana!
BR, anapenda kutake control over everything, so mtu kama JS aliibuka kwenye Soccer la UK katika wakat m-baya, wakat wa kocha mwenye "Ego" kuliko makocha wote waliowah kupita LFC, utakumbuka kuwa RS alishawapigwa bench qouter ya mwisho yote msimu wa 2012/2013, baada tu ya kuleta kiburi Melwood..mpaka alipokuja kujirekebisha!!