mak89
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 1,072
- 914
Ndo maana huwa naulizaga uhalali wa Hendo kuwa Vice-Captain na Future Captain!
Mkuu MosDef, wanachofanya waingereza hapo ni kumpa sifa Henderson za kuwa Captain in reality hana sifa ya kuwa captain. Mi nadhani Lucas au Skrtel mmoja wao alikuwa anafaa kuwa vice au future captain.
Sturridge naona anataka kurudia madudu yake alipo kuwa chelsea. Kuna chances alitakiwa awatengee wenzie maana yeye tayari alikuwa ameisha banwa.
Sterling anafanya watu waonekane kama wanamchukia ila ni yeye kuwa na poor final decision kama aliyofanya sturridge leo halafu amekosa huyu dogo anachotaka kufanya na Agent wake ni uhuni.
Kwangu kwenye game ya leo Man of the match ni Mario Balotelli, ndo maana nilisema kwa uchezaji wetu tunahitaji striker wawili to easy pressure on each other. Alichofanya Balo mi naona ni sawa tu maana kuna msimu tulipata penalty kama 8 hivi na SG alikuwa majeruhi tulipata nahisi 2 tu mpaka SG aliporudi ndo tukaanza funga penalty, Henderson, Sturridge na suarez walikuwepo wote na kumbuka sturridge alipaisha moja ya hizo penalty tangu siku hiyo huwa hana mpango na penalty
Jordon Ibe, alikuwa na game nzuri sana kwa umri wake, ana future nzuri sana if he stay put asije anza ringa tu.
Allen kuwa kwenye midfield hakuweza kabisa na hivi Lucas yupo nje week 6, nadhani BR ametambua hilo ndo maana aliwahi kumtoa na kumpandisha Emre Can kwenye midfield