Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ndo maana huwa naulizaga uhalali wa Hendo kuwa Vice-Captain na Future Captain!

Mkuu MosDef, wanachofanya waingereza hapo ni kumpa sifa Henderson za kuwa Captain in reality hana sifa ya kuwa captain. Mi nadhani Lucas au Skrtel mmoja wao alikuwa anafaa kuwa vice au future captain.

Sturridge naona anataka kurudia madudu yake alipo kuwa chelsea. Kuna chances alitakiwa awatengee wenzie maana yeye tayari alikuwa ameisha banwa.

Sterling anafanya watu waonekane kama wanamchukia ila ni yeye kuwa na poor final decision kama aliyofanya sturridge leo halafu amekosa huyu dogo anachotaka kufanya na Agent wake ni uhuni.

Kwangu kwenye game ya leo Man of the match ni Mario Balotelli, ndo maana nilisema kwa uchezaji wetu tunahitaji striker wawili to easy pressure on each other. Alichofanya Balo mi naona ni sawa tu maana kuna msimu tulipata penalty kama 8 hivi na SG alikuwa majeruhi tulipata nahisi 2 tu mpaka SG aliporudi ndo tukaanza funga penalty, Henderson, Sturridge na suarez walikuwepo wote na kumbuka sturridge alipaisha moja ya hizo penalty tangu siku hiyo huwa hana mpango na penalty

Jordon Ibe, alikuwa na game nzuri sana kwa umri wake, ana future nzuri sana if he stay put asije anza ringa tu.

Allen kuwa kwenye midfield hakuweza kabisa na hivi Lucas yupo nje week 6, nadhani BR ametambua hilo ndo maana aliwahi kumtoa na kumpandisha Emre Can kwenye midfield
 
Balotelli anstahili pongezi kwa kufunga hili goli, ila nyuma ya pazia lazima ataambiwa kua aliingilia kazi ya Captain. Hawa ma pundit wanadai kwa Henderson ile ni kama kadharauliwa, yani kapokonywa jukumu lake la ku pick mtu kinguvu.

Henderson hakutaka kupick MTU, yeye ndo alitaka KUPIGA penalty, ukifatilia mazungumzo ya SG, anasema BR alisema Hendo ndo atakuwa mpiga penalty kama ikitokea!!!

Ndo maana akauchukua ule mpira, but MARIO wanted to take it, na he was confident, Hendo hakuwa confident kabisa, ndo maana aliuachia mpira, kama kweli alikuwa anataka kupiga Pen ile, asingeachia mpira..ni kwamba Hendo ALIMUACHIA MB APIGE PENALTY.
 
Dany mnafiki sana, kachochea ishu hii, he thought he will be picked by Hendo, he is selfish!!Kuna mpira Balo aliomba alone kabisaa ye akatoa nje

Danny, didn't want to take that pen, but u could see it clearly kuwa alikuwa anamwambia Hendo auchukue mpira kwa MB, ile yeye (Hendo) apige!!

Hata kwenye celebration, hakujoin sana, Angalia Replay utaona EMRE CAN is shouting kwa Danny aende kumpongeza MB!!!
 
GERRARD NI NAODHA ILA KAKOSEA SANA KUROPOKA KWENYE TV KUA HENDO NDIYE ALIPASWA KUPIGA ILE PENALTY HAPO AMECHOCHEA MEDIA KUONGEA BAD SIDE YA MARIO ANAYE STRUGGLE KUKAA VIZURI!!!haya mambo yalipaswa yaongelewe ndani huko wenywe kwa wenyewe

Medias Misquoting SG again!

SG said, MB disrespected Hendo kwa kuuchukua ule mpira kwa nguvu, coz hendo was the captain and ye ndo alikuwa na maamuzi ya mwisho, kama apige yeye au ampe MB, na Hendo hakuwa na Guts za kupiga ile Pen, ndo maana aliachia mpira kirahisi!!!

At the end of the SG Alimpongeza MB kwa kusema "Amefunga Goal muhimu"...

PENALTY TAKERS WA LFC, Kwa OPINION yangu (Pecking order).

1. SG
2. LAMBERT
3. MB
4. BORINI
5. EMRE CAN
6. GLEN JOHNSON
7. LUCAS
 
mak89;

MORENO is very Underrated LFC player at the moment!!

but IBE though!!!!! ImageUploadedByJamiiForums1424409453.835378.jpg
 
Last edited by a moderator:
mie sio Anti RS pia but i dont like his sitaki nataka zake... he should mna up and make deicision

Ibe was phenomenon and he is bigger and younger...

Congrats Balo, Moreno, Ibe, Ibe, Ibe, Moreno, Can, Mignolet, Ibe, Ibe, balo, Ibe an dIbe:heh::yo::yo:

Mkuu umepongeza wachezaji 12 au waine?
 
Steven Gerrard accused Mario Balotelli of showing "disrespect" by taking Liverpool's winning penalty against Besiktas ahead of Jordan Henderson.
Balotelli scored from the spot in Thursday's Europa League last-32 tie at Anfield to secure a 1-0 first-leg win.

That came after a disagreement with captain Henderson and Daniel Sturridge over who should take it.

Gerrard said: "Henderson is the captain and Balotelli showed Jordan a bit of disrespect there."
The midfielder, who is currently injured, was working as a pundit on ITV's coverage of the game.

Gerrard said that Balotelli was being "a bit mischievous" after the Italian striker took the ball off Henderson, who was set to to take the spot kick.
Henderson stood in as Liverpool's captain against Besiktas, and Gerrard believes he should have taken the penalty.

"Rules are rules," he said. "Credit to Mario, he's scored, but it's not nice to see when footballers are arguing. I think Jordan has handled the situation very well."

Liverpool boss Brendan Rodgers would not clarify who should have taken the penalty after the game.
How the incident unfolded

With less than 10 minutes to go, the impressive Jordon Ibe was fouled inside the area and referee Szymon Marciniak immediately awarded the penalty.
Henderson picked up the ball and walked towards the spot...

What now boss?

...Balotelli took the ball from Henderson and appeared to get in a disagreement with both the Liverpool midfielder and striker Daniel Sturridge. Henderson looked over to the bench...
I've only missed two

...Balotelli had scored 26 of his 28 penalties before Thursday's game and appeared determined to take the spot kick, placing the ball on the penalty spot...
..and scored.

Best of friends

Balotelli celebrated with his team-mates including Henderson, who initially acknowledged the goal by tapping the striker on shoulder, before Balotelli pulled him back for a hug.

"It was a big goal," Henderson told ITV.
"I wanted the penalty, Mario felt confident and he has taken big penalties before. Everyone wants to take them. I felt confident in Mario, he has taken big penalties before and he got the nod."

Balotelli posted on Instagram after the game: (external) "Thank you hendo for let me take the penalty.. Stop drama now. We won that's what it count. We are a team and especially we are Liverpool. Come on guys."

Asked to clarify who should have taken the penalty after the game, Rodgers said: "I am clarifying we won the game 1-0.

"I have a number of outstanding penalty takers with Jordan [Henderson] and Mario [Balotelli] and Rickie Lambert.
"It was the perfect result and sets up for the second leg next week."
 
mie sio Anti RS pia but i dont like his sitaki nataka zake... he should mna up and make deicision

Ibe was phenomenon and he is bigger and younger...

Congrats Balo, Moreno, Ibe, Ibe, Ibe, Moreno, Can, Mignolet, Ibe, Ibe, balo, Ibe an dIbe:heh::yo::yo:

Nadeclare,me ndo ant RS wa kwanza humu,nitaanza kumkubali siku atakapoamua kuwa kama Ibe,asiwe mbinafsi,mchoyo,asikimbiekimbie hovyo na mpira,at the moment Ibe ananipa raha sana,
 
Nadeclare,me ndo ant RS wa kwanza humu,nitaanza kumkubali siku atakapoamua kuwa kama Ibe,asiwe mbinafsi,mchoyo,asikimbiekimbie hovyo na mpira,at the moment Ibe ananipa raha sana,

Me sijui niwe wa pili ila hapana me nikuzidi i hate this guy much now kiukweli na wala siombei arudi uwanjani haraka .... na atazidi kupata kiburi tu maana niliona Bescombe anamsurport kupata 100k per tena akadai its better kama akapewa 120k per week .. SHIITTTT
 
mie sio Anti RS pia but i dont like his sitaki nataka zake... he should mna up and make deicision

Ibe was phenomenon and he is bigger and younger...

Congrats Balo, Moreno, Ibe, Ibe, Ibe, Moreno, Can, Mignolet, Ibe, Ibe, balo, Ibe an dIbe:heh::yo::yo:

Hahaha mkuu

Its all about Ibe :thumbup::thumbup:
 
Deeply inside my heart nimeipenda spirt ya Ballo kujiamini kwake its the best ever huwezi muachi apige penalty mtu ambaye yuko 40/100 kupata hiyo penalty

My thumb up to Super Mario
 
Medias Misquoting SG again!

SG said, MB disrespected Hendo kwa kuuchukua ule mpira kwa nguvu, coz hendo was the captain and ye ndo alikuwa na maamuzi ya mwisho, kama apige yeye au ampe MB, na Hendo hakuwa na Guts za kupiga ile Pen, ndo maana aliachia mpira kirahisi!!!

At the end of the SG Alimpongeza MB kwa kusema "Amefunga Goal muhimu"...

PENALTY TAKERS WA LFC, Kwa OPINION yangu (Pecking order).

1. SG
2. LAMBERT
3. MB
4. BORINI
5. EMRE CAN
6. GLEN JOHNSON
7. LUCAS

Kama mmoja wa wachezaji wa LFC akustahili kuongea ilo neno la blue kwa Media huo ni uchonganishi tu ama kukuza jambo, asingeongea hayo iyo media isinge mis quote chochote from him, iyo ilibidi aiongelee nyuma ya pazia!!Jaribu kuwaza Balo atajisikia vipi na Hendo atajisikia vip baada ya iyo kauli.....Mkuu Everyone ameshuhudia tukio la Balo kum disresepect wala haikuitaji mmoja wa wachezaji wa LFC kuongea ili tujue Hendo amekua disrespected.
Hekima ni muhimu
 
Kaniboa sana SG na hiyo kauli yake. Angejifunza kwa BR jinsi alivyorespond alivyoulizwa na media.
 
Medias Misquoting SG again!

SG said, MB disrespected Hendo kwa kuuchukua ule mpira kwa nguvu, coz hendo was the captain and ye ndo alikuwa na maamuzi ya mwisho, kama apige yeye au ampe MB, na Hendo hakuwa na Guts za kupiga ile Pen, ndo maana aliachia mpira kirahisi!!!

At the end of the SG Alimpongeza MB kwa kusema "Amefunga Goal muhimu"...

PENALTY TAKERS WA LFC, Kwa OPINION yangu (Pecking order).

1. SG
2. LAMBERT
3. MB
4. BORINI
5. EMRE CAN
6. GLEN JOHNSON
7. LUCAS

Labda niweke clear hili swala la jana la kugombea kupiga penati.....maana limekua ni gumzo sana.... na hii drama au storms yote kwenye media kuanzia jana mpaka leo... chanzo kikuu ni comments za captain G8 alipokua akianalyse game ya jana akiwa na ITV 1 alipom-acuse MB kwa kuonyesha disrespectful for taking the penalty. Yaani Captain alichemsha kwa koment zake za kijinga.

Akumbuke kua baada ya MB kufunga ile penati alifanyakitu fulani pale very important....sijui kama wenzangu mlinotce Aliapologize kwa Hendo, which he did as part in celebrating.....

Dunia nzima kila mtu anajua kua G8 is the first choice penalty taker kwa liverpool.....na kiukweli G8 anajua kua MB naye ni mbaya kwenye maguu 12....trust me....

Kama mnakumbuka G8 kwa mdomo wake mwaka jana mwezi wa 8.....alisema kua i'm aware MB is terrific penalty taker na ana uhakika kua MB atapata nafasi ya kupiga penati kwa club/team. vilevile manager kwa maana BR he told him if he is not on the pitch he will take them.

Mimi binafsi....nashanga kwa nini alilopoka jana...???? alafu mwisho wa siku eti anasema MB aliscore a very important goal.....MMMhhhh!!!!! kama si uzushi nini??? siku zote hua nakua upande wa G8 lakini kwa hili alichemsha ....sipati picha km MB angekosa ile penati???

I`ve seen too many penalty misses by DS in the past and JH should`nt even have been on at the time of the penalty. Bet you with G8 on, MB would never have done this. Our next Captain should be Emre Can, did you notice that he was about the only player who went up to MB, with a thank you......

vilevile JH anapaswa kujua kua Part of being a leader understands the strengths of individuals within your team. And using them to deliver the best possible performance and results. Hendo needs to be wise to the bigger picture. Being captain doesn't mean you control everything all the time. You cannot win a game on your own....

Namalizia kwa kusema....The best penalty taker should take the penalty.

YNWA!!
 
Angekosa ile penati umu wote lawama lingeangukia kwa Balotel wala msingekua upande wa balotel na kumtetea....cha msingi nyie furahieni ushindi basi lakini mkisema muanze kulaumu uyu kafanya hivi uyu kafanya vile ingekua hivyohivyo kwenu wenyewe kama balotel angekosa ile penati...hongereni kwa ushindi mambo mengine club kama club itayaweka sawa
 
Back
Top Bottom