Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


SG jana alikuwa ni mchambuzi kwenye kituo cha ITV, so alikuwa anatoa opinion yake pamoja na uchambuzi wake!!!

Na aliongea alichokiona, uwanjani, angeongea kipi?? coz host alikuwa kishaanza hilo suala la "disrespect" SG akakazia tu.

Ni kama Carra anavyosemaga kwenye MNF kuhusu SG kuslip au SG legs have gone etc!!! ni mawazo tu ya mtu yanayoreflect realty!!

Jon Barnes, Fowler etc wangesema the same, Kama Host angeuliza kuhusu mario kumdestrespect Hendo!!
 

Wrong AGAIN!

SG hakusema MB disrespected Hendo for taking that Penalty!!

SG alisema, MB disrespected Hendo for taking that ball from hendo's hand!! Coz it was down for Hendo to decide who should take that Pen..

Hii saga wa kulaumiwa ni Danny, ambaye alionesha utoto wa kumlazimisha Hendo akachukue tena mpira kwa MB!!

AGAIN: SG wasn't against the idea of MB taking that penalty.
 


Sijui Gerrard kafikiria nini ila kwa ukweli JH siyo mtu wa kutegemea kwenye penalt.. ila MB yuko vizuri.. sipendi sana tabia ya waingereza ya kuwa wabinafsi... kwangu MB is the best penalt taker next to Steven

na pia kama mmeona mechi hizi mbili MB akiingia anabadilisha mchezo sasa ameanza kujua nini cha kufanya.. na siyo mbinafsi kama dogo mjinga RS..

ukiangalia Coutinho ambaye ni best player kwa sasa amesign mkataba tena bila ubishi huyu anayepambwa na magazeti analeta ubishi.. nadhani kama analeta ubishi liverpool wamuuze tu.... tutapata hela nzuri na tutanunua wachezaji wazuri..

Game ya jana was best Game....
 

Kwa mtazamo wako angepiga nan???
 
Kaniboa sana SG na hiyo kauli yake. Angejifunza kwa BR jinsi alivyorespond alivyoulizwa na media.

Kuhojiwa na kuanalyse mpira ni vitu viwili tofauti!!

Yule ni Captain, host kahoji inakuwaje MB anamnyang'anya mpira Hendo??..

ulitaka ajibu vipi kama Captain?? and the Nation is watching him??

SG angesema alichokifanya MB ni sawa, reaction ya opponents fans ingekuwaje??? Anti-LFC medias za Eng zingereact Vipi???

Coz medias tayari zilikuwa zishalabel kile kitu kuwa ni "disrespect" kwa Hendo!!

kenny Daglish supported Suarez after that Racist Incident kwa Evra, alivalisha wachezaj wote ma-tshirt ya kumsupport Suarez, Outcome yake ilikuwa nini??? unakumbuka??? na katika hizo outcomes, moja wapo ilikuwa ya Kenny kupigwa chini as A coach, coz alifanya club ionekane Inasupport racism!!

MB after Scoring that pen, he knew he made a mistake kwa Hendo, thats why he later apologzed kwa Hendo, na hakuishia hapo, mpka Twitter na Insta alifanya the same!!!

huyo SG mnayeMslat hapa, ndo mtu ambaye amefanya MB asettle well, coz kila siku kwenye mazoez ya gym, huwa anachukua muda wa kuongea na MB privately...kina Lucas form zao zingerudi bila motvation wanazozipata kwa SG???..MIGNOLET hawez kumsahau SG mpaka anakufa, coz kipind cha wakat mgumu, SG alikuwa anamsuburia kwenye tunnels au ndani ya dressing rooms kumpa moyo na kumpongeza (unaikumbuka game ya Sunderland?).. Muulize Sakho kuhusu SG..Kwann RS huwa hamletei kiburi SG???

Na lazma SG alimpigia SIMU MB kama Alivyofanya kwa JONJO baada ya kumtukana Ferguson kipind kile wakat anatolewa kwa kadi nyekundu, soon akawaita Talksports and Echo Anfield kuomba msamaha kwa kumtukana Fergie!!!

Kwahyo we ambaye ulifurahishwa na reaction ya Jonjo kumtukana Fergie ulitaka SG aiache ipite???

ndo maana anaitwa "CAPTAIN FANTASTIC"
 

Mkuu still pamoja na kua alikua mchambuzi ITV kwa ile jana, ye anajua fikra ksho anarudi uwanjani, ye si mchambuzi wa kudumu pale. Katika maoni ulazimishwi kukazia simply bcoz mtu kaanzisha tunaona mara kibao watu wana skip kilichoanzishwa na mtu.
Remember that Carra, Jones Barnes na Fowler hata wangeongea isingeharibu kitu hawa wote hawarudi tena kesho uwanjani kukaa na team na kucheza wako kazini kule.

Its over!!we wanted a win!!tumeshinda
 

Bado sio right, BR amekuwa neutral kwenye media hiyo hiyo and nobody pinned him down. So, even if it was right, but it wasn't necessary.
 
Fans are moaning kwa SG kumsema Vibaya MB, lakin hawafikirii reaction ya opponents (fans and medias) ingekuwaje kama angesema MB alifanya sawa kumnyang'anya mpira Captain Hendo!!!

Maana SG kukubali tu kuwa MB "kamdisrespet" hendo imekuwa HABARI, je angekataa???

And Carra ni pundits n' not LFC footballer anymore, opinions zake zinasimama kama pundits tu, Hazina uzito wowote kwa medias!

Ndo maana sahv huwa anaweza kuongea chochote kuhusu Man utd na Everton!!!
 
Bado sio right, BR amekuwa neutral kwenye media hiyo hiyo and nobody pinned him down. So, even if it was right, but it wasn't necessary.

Henderson angekosa ile penalty, lawama zingeenda kwa nan??
 
mr.wise sorry for this, but inaonekana mpaka sasa bado hujamjua Captain wako Vizuri!!

Mfanyie Research zaid kuhusu Mambo yake kwenye dressing rooms na Melwood!!!
 
Last edited by a moderator:

Kaka iko hivi.... captain kama captain yaani G8 alitakiwa asikomet chochote ambacho kingeashilia kukosoa au critisizing mchezaji dhidi ya mchezaji ambao wako tim moja ama kwa kuchukua mpira mikononi mwa mwenzie au taking penalty kwa lazima HAZARANI kwa maana ya kukosoa publically....kama kiongozi G8 angekosoa kosa lolote akiwa dressing room au hata privately basi....lakini G8 kwa kufanya vile amemkosea heshima MB vilevile.Kama kiongozi unatakiwa kujua kudeal na issues.....

mtu mwenye makosa makubwa pale kwenye pitch jana alikua JH.....amabaye anahisi being a captain ni kufanya kila kitu.....km kweli ndugu zangu mnafuatilia games zetu zote mtakubaliana na mimi kua mara nyingi G8 hasipocheza ... JH hua anataka kupiga free kick zote....Contihno mara nyingi hua anaomba kupiga free kick lakini hua JH anamtolea nje.....binafsi hua na mmnind sana we hacha.....

YNWA
 
Henderson angekosa ile penalty, lawama zingeenda kwa nan??
Hii ni outcome ambayo kwa sasa haina umuhimu maana haijatokea na haitatokea. Kwangu mie kauli ya SG haina makosa, lakini kwa status yake kama mchezaji bado na capteni haikuwa na umuhimu kuisema mbele ya public. Angeisema kny dressing room its fine, au angeisema Carragher its ok.
 
mr.wise sorry for this, but inaonekana mpaka sasa bado hujamjua Captain wako Vizuri!!

Mfanyie Research zaid kuhusu Mambo yake kwenye dressing rooms na Melwood!!!

Mkuu namfahamu Gerrard vzuri, ila katika ili amekosea!!Ebu tuache ile kasumba ya kibongo ukiwa bora kwa kila kitu basi eti uwezi kukosea, ama ukikosea usiambiwe.
Yea ni Legend, ni nahodha, ni kila kitu but wht he did was wrong
 
KOPGIRL1971
Forum Tolstoy


Join DateApr 2005Posts40,346​



Today,10:31

Because the club captain opened his gob when he shouldn't have. What he said could cause far more damage than the on-pitch spat, which would have been forgotten about - at least, in the public eye - instead of it being splashed all over the telly and the papers.

First lesson in management, Stevie, don't slam your players on national TV. I hope Rodgers gives him a bollocking.

besides, didn't Gerrard say some months back that, when he's not on the pitch, Balo is the pen-taker?!​





Issue sasa kila mahali
 

Hendo angekosa Penalty, lawama zote zingeenda kwa BR!!!

hiyo ndo fact!
 
Hapa Gerrard angemkomalia Dany tena nje ya media, Captain ndio muamuzi wa kugawa mpira, na Hendo alishagawa kwa Mario bila Mario kuuchukua kinguvu mikononi mwake, sasa Dany alipoingilia yeye ndio alim disrespect Hendo, yani aliona kama uamuzi wa naodha Hendo kumuacha mpira Mario si sahihi
 

Jana usiku wakat naangalia Games, Nikacomment hapa kwann Hendo ana-mbania MB kupiga penalty!

Lakin after seeing SG's Analysis, SG akasema kuwa BR alimwambia (SG) kuwa kwenye hii game ya Beskitas mpiga penalty atakuwa Henderson! na wakakubaliana hivyo!

Hendo alionyesha ujinga ndiyo, coz syo mpigaji pen kabisa! but yalikuwa ni maelekezo kutoka kwa BR!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…