Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Janjaweed me ndo najaribu kuwaambia watu hapa, BR ana mapungufu yake, Lakin kaubadilisha huu msimu sehem ambayo hatukuitarajia!!

kwanini kila siku awe scapegoat?? kwanini asipewe credits sometimes??
 
Last edited by a moderator:
duh! Niliweka bet kwenye post niliyoku-quote kule kwa goons...

Nilisema liverpool ikimaliza juu ya united msimu huu, nipigwe ban ya mwaka mzima...

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahhhahahahahahahahahahahahh
 
Janjaweed me ndo najaribu kuwaambia watu hapa, BR ana mapungufu yake, Lakin kaubadilisha huu msimu sehem ambayo hatukuitarajia!!

kwanini kila siku awe scapegoat?? kwanini asipewe credits sometimes??

I agree!
For what he did on three last months,BR deserves some credits

BR is a good coach,We (Kops) have to support him 100%!Guys tumetolewa kwa penalty bila wachezaji 5 kikosi cha kwanza(Lucas,Sakho,SG,Cou na Hendo)

BR kocha wetu na mafanikio yatakuja tu
 
Last edited by a moderator:

We do support him
 
Jamani nimeangalia replay...mbona Sturriddge kacheza vizuri sana aisee... Janjaweed!???
 
Last edited by a moderator:

Well said Malafyale
 
Last edited by a moderator:

hakuna ubora mwingine zaid ya huo...na kwakikosi iki tufurahie tu kucheza mpira wa kuvutia ila makombe cdhan.....
 
Poleni sana hii mambo ilitakiwa iishe ndani ya dakika 90 ila uzembe ndo umewagharimu mmefika kwenye matuta,usiku mwema,nirudi Lindon mie.

Hao hao rubbish ndo wakafanya hao wengine na the whole team ionekane haijafanya kitu.Tafadhali na wewe usiliite kombe mbuzi......

Inaonekana we are on the same page. Waliozembea kutokumaliza mpira with in 90mns walikuwa ni Besiktas. Liverpool walikuwa hawana uwezo wowote in that game

...leo mko na vibonde nyumbani kwenu...Mungu awape nini
 
Hii EPL ilivyovaa kimini ambacho chamtega mtu yeyote hakuna timu kibonde, lakini mcheza kwao hutuzwa naamini tutashinda ushindi mnono tutafuta machozi ya last week.
 
Jamani nimeangalia replay...mbona Sturriddge kacheza vizuri sana aisee... Janjaweed!???

Mkuu!!Ulitazama mechi ipi iyo??kapoteza nafasi tatu na wala hakujituma plus ubinafs. Okay ebu soma hapa chini
[h=1]Besiktas 1-0 Liverpool: Player Ratings[/h]Besiktas 1-0 Liverpool
(Besiktas win 5-4 on penalties)
Europa League, Last 32, Second Leg
Ataturk Stadium, Istanbul, Thursday 26th February 2015
SIMON MIGNOLET (out of 10)- 7
KOLO TOURE- 6.5
MARTIN SKRTEL- 7
DEJAN LOVREN- 5
JOE ALLEN- 6.5
EMRE CAN- 6.5
ALBERTO MORENO- 7
JORDON IBE- 5.5
RAHEEM STERLING- 4
MARIO BALOTELLI- 6
DANIEL STURRIDGE- 4

Substitutes
JAVIER MANQUILLO (on for Ibe '77)- 6
ADAM LALLANA (on for Balotelli '82)- 6.5RICKIE LAMBERT (on for Sturridge ‘105)- 5.5
 
Janjaweed me ndo najaribu kuwaambia watu hapa, BR ana mapungufu yake, Lakin kaubadilisha huu msimu sehem ambayo hatukuitarajia!!

kwanini kila siku awe scapegoat?? kwanini asipewe credits sometimes??

.....you can say that again!
 
Last edited by a moderator:

Thanks mkuu, ila wala haukua na haja ya kumjibu jamaa kwa stats, alikua anadhihaki tu!!!

Sturridge, Sterling and Lovren were cr@p
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…