Hongereni loserfools kwa kutupunguzia gap ya kugombania nafasi ya pili...
Msijali Europa mtashiriki tu...
Team ipi ya kushika nafasi ya 2???
hii manchester inayovaa jersey nyekundu??????
Why BR bro???
Henderson, Coutinho etc, wangecheza leo, energy ya kuifunga City ingetoka wapi???
And after all, ni Europa league bro!!!!...
haina HAJA ya kuMoan!!
City HATOKI Anfield!!!
Mark hii Post!!!
Rentboys wanaweza kupigwa na West Ham mid-week!!
Wakipigwa gap linapungua sana kati yao na walio chini yake...
Asante sana!!Kila la kheri kwenye final yenu
COU!!!! "The Brain"