Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Winning goal
2635ED6100000578-2974376-image-a-35_1425217396038.jpg
 
Hongereni sn wakuu.....

cc: Mr. Wise mmetusaidia kupunguza gape ya points.
 
Last edited by a moderator:
Rentboys wanaweza kupigwa na West Ham mid-week!!

Wakipigwa gap linapungua sana kati yao na walio chini yake...

Tatizo la Rentboys ni kuwa wapo very defensive. Kila mechi wana prioritize kudefend then wanashambulia kwa kubahatisha bahatisha. Kila wanapocheza kiushambuliaji wanashindwa kuondoka na point 3. kitu kingine ushindi wa Liverpool umezidi kuongeza ushindani wa top 4. Sasa hivi Southampton, Arsenal, Man utd, Liverpool, City timu yoyote inaweza kumaliza katika nafasi ya 2.
 
Back
Top Bottom