Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kamanda, Kolo has rights too, and he has been a good servant

Ings?? so tutakua na Origi, Ings, Balo wote hao back and Sturridge is is playing like a sissy, ina maana tutakua full strikers wote back up??

Ings is way behind, ni level ya sinclair
 
POLL:

Kati ya GJ na Jose Enrique ni nani ambaye unaona anafaa kuondoka summer inayokuja????

Jose sidhani kama anahitajika, Ila Kolo apewe mwaka tena. Tumeona tunapokua na majeruhi nyuma ama ktk viungo uwa anatumika na CAN anasogea, Johnson akubali kukatwa mshahara nahisi kuna game tutajitaji experience yake.
 
kamanda, Kolo has rights too, and he has been a good servant

Ings?? so tutakua na Origi, Ings, Balo wote hao back and Sturridge is is playing like a sissy, ina maana tutakua full strikers wote back up??

Ings is way behind, ni level ya sinclair

Origi hatakiwi kurudi next season, form yake ipo Chini sana!!!

But i'd take Ings as a backUp for Lambert!!!

Sturridge Pace yake imepungua coz ya majeruhi, but anahitaji competition kubwa sana, ili apunguze ule uMimi kama Last year!!!

KOLO huyo hapo chini!!!!! bro nae anataka regular starts!!! HAHAHAHAHAHA!!

kamanda, Kolo has rights too, and he has been a good servant

Ings?? so tutakua na Origi, Ings, Balo wote hao back and Sturridge is is playing like a sissy, ina maana tutakua full strikers wote back up??

Ings is way behind, ni level ya sinclair

Binafsi sioni ubora wa Origi, labda kama atakuja kuni prove wrong huku LFC, nahisi kama tumenunua Dany Pachecco ama Ngog mpya aisee. Plz BR let us go for Lacazzete ama Icard, Tabia ya Sturridge itatunyima mengi
 
Origi bado sans jamani!Tuingie sokoni tumlete mtu wa maana

Pedro wa Barca kama tunamfuata sasa tunamchukua yule na anajua bado kufunga sana

CC MosDef Janjaweed
 
Last edited by a moderator:
Aiseee!!! Mzee wetu KOLO nae anataka awe anaanza mara kwa mara eti!!!!!!

Hahahahahahaha!!!!!

Mzee Kolo bhana!!!

H ah ha ha ha Koloooo!!! kwakua swala la kujifikiria before ku sign contract ni haki ya kila mwajiriwa/mchezaji, mwache ajifikirie tu ila swala la kua regular hapa LFC alisahau, labda aende uko team za mid-table eg QPR, Burnley, Sunderland nk
 
Jose sidhani kama anahitajika, Ila Kolo apewe mwaka tena. Tumeona tunapokua na majeruhi nyuma ama ktk viungo uwa anatumika na CAN anasogea, Johnson akubali kukatwa mshahara nahisi kuna game tutajitaji experience yake.

GJ is Finished Aisee!!!

bora abaki JE tu..
 
Origi bado sans jamani!Tuingie sokoni tumlete mtu wa maana

Pedro wa Barca kama tunamfuata sasa tunamchukua yule na anajua bado kufunga sana

CC MosDef Janjaweed

Kama tupo serious basi option nzuri ni Edin Dzeko ama Jovetic ambaye naamini kumpata kwasasa ni simple, hawa hawatahitaji muda kuzoea league kama yule Falcao wa United maana wapo uku uku epl
 
Origi bado sans jamani!Tuingie sokoni tumlete mtu wa maana

Pedro wa Barca kama tunamfuata sasa tunamchukua yule na anajua bado kufunga sana

CC MosDef Janjaweed

Kama tusingekuwa na Markovic, Ibe au Lallana, nadhani Pedro angefaa!!!

Lakin Lallana/Markovic/ibe wanabana uwezekano wa Pedro kuja LFC, coz hawez kucheza kama ST au namba 10, huwa anatokew pembeni zaid..kushoto/kulia!

But itakuwa ni Good Move though, Ila ndo utakuwa mwisho wa Ibe, me nadhan tulete main ST!!!

Dyabala/Lacazette/Icard, kama alivyosema mr.wise
 
Last edited by a moderator:
Kama tupo serious basi option nzuri ni Edin Dzeko ama Jovetic ambaye naamini kumpata kwasasa ni simple, hawa hawatahitaji muda kuzoea league kama yule Falcao wa United maana wapo uku uku epl

Lkn hawa akina Dzeko hawajazoea Tik-taka football maana Mancin na baadae Pelle wao ni 4-4-2tu

Pedro ataenda na mfumo kiurahisi sana au unasemaje?
 
Kama tupo serious basi option nzuri ni Edin Dzeko ama Jovetic ambaye naamini kumpata kwasasa ni simple, hawa hawatahitaji muda kuzoea league kama yule Falcao wa United maana wapo uku uku epl

JOVETIC ni easy sana kumpata sahiv!!!!! but it's FSG Aisee!!!
 
Lkn hawa akina Dzeko hawajazoea Tik-taka football maana Mancin na baadae Pelle wao ni 4-4-2tu

Pedro ataenda na mfumo kiurahisi sana au unasemaje?

Pedro ni Wide Player, katika 3-4-3 ataishia kucheza kama Markovic au Ibe tu kama WingBack..

Si unaona Hata Sahiv, Raheem anachezeshwa kama WingBack ili kuwaAcomodate Sturridge na Lallana???
 
Lkn hawa akina Dzeko hawajazoea Tik-taka football maana Mancin na baadae Pelle wao ni 4-4-2tu

Pedro ataenda na mfumo kiurahisi sana au unasemaje?
Mkuu Pedro ni mzuri, ila Pedro kihasilia amezoea kutokea pembeni kazi za wakina Sterling, Lallana, Markovic kwasasa kingine hajazoea kukaa jukumu la kua main man infront of the goal, mbaya zaidi tayari ameshapoteza ule ubora wake plus next summer anakua 28yrs old wakati kwa Jovetic next November atakua 26yrs old bado anakamuda. Dzeko stil yupo ktk ubora ukiacha umri wake
 
Jana wakati hii droo inaendelea nilitamani semi tupate Arsenal aiseeee
 
JOVETIC ni easy sana kumpata sahiv!!!!! but it's FSG Aisee!!!

Jovetic ana fit kwenye mfumo wetu directly, anaweza kucheza kama Suarez ana weza kutengeneza nafasi kwa wenzake tofauti na Sturridge na mkupata ni rahisi.

Lacazette ni kama Jovetic, msimu uliyipita alikuwa anacheza namba 10 ndo aliuwa anamchezesha Gomis ana alikuwa anafunga, msimu huu amepewa majukumu ya kufunga (No. 9).

Tatizo letu ni Sturridge hacreate chance kabisa kama Suarez na kutoa assist. Last season kabla ya Sturridge kuumia yeye ndo alikuwa main striker wakati Suarez alikuwa anashuka deep kutafuta mipira. BR Alisema kwenye press conference why Suarez was playing as a second striker.

Sturridge inatakiwa ajue kuwa sasa hivi anacheza na watu wa3 mbele. Wanatakiwa wa create chances to each other.
 
Well Said mak89

Spot On!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…