Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Lucas is Picking Up his Form now, sidhan kama tunatakiwa kumuuza, ndo maana naona LFC wamekuwa Linked na Ilaramend kama Back Up nadhani!!!
Kuhusu Wisdom, akirud LFC atazid kudumaza kiwango chake now, i think hii 3-4-3 itamwacha nje sana, ndo maana nataka abaki WestBrom azidi kukolea..mpaka hapo BR atakapokuja na Formation nyingine (well hatujui atakuja na nini next season)
Reus ningependa sana Aje LFC, but ni ndoto tu hizo, ndo maana kwa Dyabala nimeweka alama ya (/) it means mwingine yoyote yule, but huwez jua though!!!!
Kama tukiwa tunasign Another recognized ST, stakuwa na tatizo na Ings, as long as anakuwa kama BackUp tu..lakin kama ndo main Target, Akafie Mbele!
Kolo, juzi Echo wamereport kapewa offet ya one year deal, naye eti anajifanya kujiuliza...ndo hapo nnapoborekaga Aisee..kama hatak Aondoke, We got Young Dagger Coming Up..
kamanda, Kolo has rights too, and he has been a good servant
Ings?? so tutakua na Origi, Ings, Balo wote hao back and Sturridge is is playing like a sissy, ina maana tutakua full strikers wote back up??
Ings is way behind, ni level ya sinclair