United made it....8 to go...
Naona leo Loserfools ndiyo wamepona kupata kipigo cha aibu...shukrani kwa LvG...
Ulikuwa sahihi kabisa. Man United haijapata sare kabisa, ila imepata ushindi na kuondoka na points 3..
I bet you are 'eating' your own words now....
Keep on dreaming dreamer...don't wake up please...
Surely, the 90 mins decided the game....
Naona kweli mnakuja kimya kimya....
Future impossible tense....
United is your worst nightmare, which was waiting to haunt you again....
Naona matarajio yako yalikuwa ni sare....sasa United imeondoka na zaidi ya sare, points 3...
Mh! Ebu rudia tena kusema haya....
Whatever you wrote, it is now haunting you lad...
Umejaribu kuwa objective, lakini umeshindwa kuficha unazi wako...hizo poor decisions zilikuwa in both ends ama?