Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wiki ijayo unapigwa kama hizi pale emirate, pole sana
Congrats NziUnited made it....8 to go...
Naona leo Loserfools ndiyo wamepona kupata kipigo cha aibu...shukrani kwa LvG...
Ulikuwa sahihi kabisa. Man United haijapata sare kabisa, ila imepata ushindi na kuondoka na points 3..
I bet you are 'eating' your own words now....
Keep on dreaming dreamer...don't wake up please...
Surely, the 90 mins decided the game....
Naona kweli mnakuja kimya kimya....
Future impossible tense....
United is your worst nightmare, which was waiting to haunt you again....
Naona matarajio yako yalikuwa ni sare....sasa United imeondoka na zaidi ya sare, points 3...
Mh! Ebu rudia tena kusema haya....
Whatever you wrote, it is now haunting you lad...
Umejaribu kuwa objective, lakini umeshindwa kuficha unazi wako...hizo poor decisions zilikuwa in both ends ama?
Kimavi zaidi ya mavi
Ungrateful c@nts
Ndiyo kitu cha kujisifia hicho? wakati Rooney aliamua kuwahurumia kupunguza aibu ya bao 3-1.
Hata hivyo tunawashukuru kwa kutukirimia pointi 6 zote kwa msimu huu.
Tunawapongeza kwa kujitunza toka mwaka jana mwezi december mpaka leo tumekutana tena. Sasa ruksa unaweza kufungwa na wengine...
Hahahahaha .......unawasaliti??? nilikwambia chaka hil0..lols