Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamaaa walichelewa kutoa mpunga khe khe kheeeeeeeeeeeee ngoja tusubiri next games ... .... tuone moto wa hii recovery ambayo iko mikononi mwa wazulumaji.
 
Bola timu ikose kocha kuliko hv yani hana hata munkar kwa timu hv 2tafika kwel?
 
STOKEsplash2_1163970a.jpg

The road to recovery ni kumrudisha kocha kwa wana Cottagers
... .... khe khe kheeeeeee dhuluma hailipi.

_49930491_010640000-1.jpg

Du! Wenye nyumba wamekimbia, ndio ukubwa huo.
Mwaka huu you will walk alone.
 
Duh sijui kuna mkono wa mtu hapa bwawani,maana hii ni nuksi,sijui balaa gani,yani mwaka wa 20 bila kombe la premier england inakimbilia sasa,yani hadi kizazi cha bongo fleva kikiambiwa hii ndio timu yenye mafanikio makubwa england wanaweza kukataa na kukubishia maana hadhi inashuka sasa inakuwa hadhi ya kina wigan,nadhani kuna mtu bwawani wamemkosea kaacha laana inawezekana,maana kama Real Madrid walivyomfukuza Del Bosque,robo fainali walicheza mara 1 tu 2004,mpaka leo hawajavuka zaidi ya raundi ya 2,labda Mourinho anaweza kuwaondolea huo mkosi,hatujui?
 
Hakuna mkosi wala nini...ni mazingira ya soccer industry ndiyo yaliyobadilika during the last 20 years. Money craze.

Wakati Liverpool ikicheza enzi hizo, mpira ulijulikana kwa jina lake halisi, yaani mpira. Tunaweza kusema mafanikio ya Liverpool then ndiyo yaliyokuwa mafanikio halisi ya ki-football. Mpira mzuri na mipango mizuri katika Liverpool ndiyo ilikuwa inawavutia wachezaji wakubwa kama Keegan, Clemence, Dalglish, Souness, etc waende Anfield.
Walipojitokeza akina Man U mwanzoni mwa 1990's kirusi kinachoitwa "pesa" kikaingia kwenye football. So... Man U, Chelsea, and other similar pretenders...mafanikio yao yako kipesa zaidi.

Hivyo tuacheni jamani Kops tuendelee kufurahia historia yetu ya football ya ukweli (siyo hii yenu artificial ya mahela-hela).
 
Du! Wenye nyumba wamekimbia, ndio ukubwa huo.

Mwaka huu you will walk alone.

...ha ha haaaaa haa, eti ni kweli kina QUEMU, ACID, FMES na Wengineo mmeingia mitini?
aaah, polepole ndio mwendo,...Liverpool kidogo kidooogo inapanda,...

Tunawaona waleee nafasi ya kumi sasa kwenye msimamo wa ligi.
Winter likishamalizika hili sia ajabu tukawaona kwenye nne bora.

BTW, nimeupenda mwonekano mpya (utangulizi) wa thread...Big Up!
 
...katika jitihidi za kumfufua tena huyu mgonjwa Intensive Care;

Invisible.... kwa hesima ya the kops naomba hii sredi uipeleke kule kwetu ili kuleta uhai, tumepoa sana

071210_r16884_p465.jpg

...hapa Acid sijui ulikuwa unakusudia nini bro. Nijuavyo mimi Invisible ni Chelsea, au ndio mnataka COALITION?

Chel-Pool Special thread?
 
...katika jitihidi za kumfufua tena huyu mgonjwa Intensive Care;

071210_r16884_p465.jpg

...hapa Acid sijui ulikuwa unakusudia nini bro. Nijuavyo mimi Invisible ni Chelsea, au ndio mnataka COALITION?

Chel-Pool Special thread?

Khe khe kheeeeeeee ngoja tuwaone Loserfools leo wanakwaana na manager wao wa zamani ....
 
Nasri is on the top form kwenye premier! Atawasaidia akibaki hivyo hivyo hadi Mwisho wa msimu.
 
Loser fools 2 - 0 Aston Villa dakika ya 44 .... .....
 
...ha ha haaaaa haa, eti ni kweli kina QUEMU, ACID, FMES na Wengineo mmeingia mitini?
aaah, polepole ndio mwendo,...Liverpool kidogo kidooogo inapanda,...

Tunawaona waleee nafasi ya kumi sasa kwenye msimamo wa ligi.
Winter likishamalizika hili sia ajabu tukawaona kwenye nne bora.

BTW, nimeupenda mwonekano mpya (utangulizi) wa thread...Big Up!
swahiba

wanasema kama huna cha kusema basi kaa kimya... ndivyo nilivyokua mwenzako, hakuna cha kusema wakati we are being battered like chelsea against asamoah gyan

nimekua bubu

nothing to say

we are inconsistent and our road trips have been quite bad

we are excellent at anfiled, kama vile fulham ilivyokua kali kwao, we have just turned into the cottagers

but i am still hopeful that we will be in top four
 
Inshaallah kaka,
Nawaaminia kwenye top four, kama kawaida.
 
Dk 86 Newcastle 2 - LIverpool 1

To be honest i think Roy time is over

No creativity whatsoever
 
Dakika za majeruhi ..... New Castle 2 - 1 loser fools ......
 
3-1

Bye bye Roy

tatizo hatuna utaratibu wa kufukuza makocha. Huyu alitakiwa apitilizie huko huko. Nilimwangalia alivyokuwa kakaa kwenye benchi utafikiri timu inaongoza kwa magoli nane.
 
Back
Top Bottom