Wacha
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 1,052
- 287
tatizo hatuna utaratibu wa kufukuza makocha. Huyu alitakiwa apitilizie huko huko. Nilimwangalia alivyokuwa kakaa kwenye benchi utafikiri timu inaongoza kwa magoli nane.
Khe khe khe hamna utaratibu wa kufukuza lakini mna utaratibu wa kudhulumu! Alikuwa kwa Cottagers na mwaka jana walifanya vizuri tu kwa nafasi yao nyie mkafikiri mmepata tende kutoka Baghdad khe khe kheeeee dhuluma hiyo haibanduki.
Khe khe kheeeeeeeeeeee