Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tatizo hatuna utaratibu wa kufukuza makocha. Huyu alitakiwa apitilizie huko huko. Nilimwangalia alivyokuwa kakaa kwenye benchi utafikiri timu inaongoza kwa magoli nane.

Khe khe khe hamna utaratibu wa kufukuza lakini mna utaratibu wa kudhulumu! Alikuwa kwa Cottagers na mwaka jana walifanya vizuri tu kwa nafasi yao nyie mkafikiri mmepata tende kutoka Baghdad khe khe kheeeee dhuluma hiyo haibanduki.


Khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Khe khe khe hamna utaratibu wa kufukuza lakini mna utaratibu wa kudhulumu! Alikuwa kwa Cottagers na mwaka jana walifanya vizuri tu kwa nafasi yao nyie mkafikiri mmepata tende kutoka Baghdad khe khe kheeeee dhuluma hiyo haibanduki.


Khe khe kheeeeeeeeeeee
lione kwanza
 
lione kwanza

Nice one!





newcastle_1182398a.jpg



Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
 
doctors_pushing_gurney.jpg


..maskini wee, 'mgonjwa' karudishwa wodini?
 
Pamoja na matokeo ya kukatisha tamaa
hatuhami na hatutishiki
na mwaka huu lazima tutakuwa kwenye tano bora

Anayeelkea kulazwa sasa ni chelsea
mambo yamemzidia jinamizi la kufungwa/droo limemkalia kooni
 
Kaazi kwelikweli kwa Liver msimu huu! mid table imekuwa kama permanent position ya Liver.
 
Pamoja na matokeo ya kukatisha tamaa
hatuhami na hatutishiki
na mwaka huu lazima tutakuwa kwenye tano bora

Anayeelkea kulazwa sasa ni chelsea
mambo yamemzidia jinamizi la kufungwa/droo limemkalia kooni

...ha ha ha, wenyewe wakikusikia! wakali hao...!

Kaazi kwelikweli kwa Liver msimu huu! mid table imekuwa kama permanent position ya Liver.

...he he, mwendo mdundo na Ambulance mlangoni!
 
Nawatakia wadau wote wa soka Christmas njema na mwaka 2011 wenye mafanikio.

Wazee wote wa darajani Stamford, Rev Masa, EL NINO, Rev Kishoka, Sanda Matuta, Ab-Titchaz, AljuniorTz na Invisible, bila kusahau wakongwe wa Old Trafford, Manda, Belo, Eqlypz, Idimi na Ngongo, pia washika bunduki wa Emirates, Arsene Wenger, Mbu, Kweli, Wacha1, Balantanda, Baba Mkubwa, Genekai, Questt, Bubu Ataka Kusema na Ng'wanza Madaso,....mzee Shedafa wa WHL na Acid wa Anfield na wengine wote ambao sikuweza kuwakumbuka kwenye post hii, I wish you and your loved ones a Merry Christmas and Happy New Year.
stock-photo--apos-merry-christmas-apos-santa-claus-rings-christmas-bells-in-the-village-a-circa-2128030.jpg
 
A_Man_Struggling_To_Lift_A_Barbell_Royalty_Free_Clipart_Picture_090725-190099-943042.jpg


...ama sikio la kufa kweli halisikii dawa!
 


...wazee wa jukwaa hili wameingia mitini. Anyway, kimya chenu kimesikika lakini si angalau mngetuwekea bango basi wenyewe hampo?


Page%20Cannot%20Be%20Displayed[3].jpg


...:A S-rap::A S 109:.... :A S-rap::A S 109: ....:A S-rap:!!!
 

Wakuu, the site is temporary under major repair, please contact the administrator... we shall be back in action after woy is fired and New man takes over or most likely during the Manure game

Happy New Year
 
Just remember that we were the one tuliovunja bukira ya chelsea na mpaka sana kwakweli wameshagawa sana tu,

on my way back to hibernation

Acid... Mzee wa Memkwa
 
Wakuu, the site is temporary under major repair, please contact the administrator... we shall be back in action after woy is fired and New man takes over or most likely during the Manure game

Happy New Year

...ha ha ha haaa! e bana weee..anyway, bora umeukata mzizi wa fitna!
Happy New year kwako, ndugu jamaa na marafiki wote!

images


...'nasikia' kwa hali mlokuwa nayo, mnahitaji muujiza wa kifimbo kama cha Mchonga :rip: !
Heri tupu!
 
Wakuu, the site is temporary under major repair, please contact the administrator... we shall be back in action after woy is fired and New man takes over or most likely during the Manure game

Happy New Year
Hatutakubali
 
Hayahaya......... site inandelea na majore repair na moja ya updates ni hii hapa chini

Liverpool Set to Sack Roy Hodgson and Turn to Frank Rijkaard Within Days Liverpool are set to be sack Roy Hodgson and replace him with Dutchman Frank Rijkaard after the current Anfield boss was left bemoaning yet another limp display as his side lost to a struggling Wolves side at home. The club's are ready to axe the 63 year old former Fulham boss and will do so within the next 48 hours.

Hodgson's cause will not have been helped by his slamming of Liverpool supporters after last night's game and owners New England Sporting Ventures will act fast to prevent the club from slipping further into the mire. The Merseyside club are now just three points from the relegation zone having lost an unprecedented eight matches out of their opening 18 fixtures.

Bookmakers William Hill have cut their odds on Frank Rijkaard becoming the next permanent boss to just 8/15 and Liverpool owner John W Henry will know that handing January transfer funds to embattled boss Hodgson makes little sense if he is then removed from his post shortly after so therefore the club will look to swing the axe in the very near future.

With the games coming thick and fast during the busy holiday period, with games against Bolton and Blackburn on the 1st and 5th of January respectively, the board at Liverpool will decide whether to wait until after those fixtures are completed or look to act in the next 48 hours. Their main fear being that having no one at the helm for the crucial upcoming games could be even more damaging than sticking with Hodgson.

Therefore it appears that the club is in deep deliberation as to whether tp wait until those two games have been played and then act to replace the former Fulham manager with former Barcelona boss Frank Rijkaard who is on the look out for a new post having been sacked by Galatasaray earlier in the season, or instead axe Roy Hodgson within the next 48 hours, which currently appears to be the more likely scenario.

Nasikitika sana kwamba Rijkaards naye ni famba, bora tungemuangukia Paco Ayesterman aliyemnyanyua Rafa
 
Back
Top Bottom