Kuna mtu hapa KOPS anajua why Toure anacheza badala ya Lovren?BR kocha hovyo kabisa
Katika kupata kwake matokeo yote mazuri, cjawahi M-trust BR. Never
Naona Arsenal inanyonyoa manyoya ya Majogoo yako. Nimewasikia wakimaliza manyoya, wanakata mbawa zao.Kuna mtu hapa KOPS anajua why Toure anacheza badala ya Lovren?BR kocha hovyo kabisa
sturridge aanzie benchi, anaua sana moves
aje second half kama impact player