I have never been a fan of Allen aisee, huyu mtu hana hata sifa ya kucheza hizi team kubwa za big four. Kakosa vitu vingi sana, nafasi yake ni sawa na kiungo wa kusupport, make sure una kiungo mzuri kisha yeye awe kama msaidizi wa kiungo uyo katikati
Kuna mtu hapa KOPS anajua why Toure anacheza badala ya Lovren?BR kocha hovyo kabisa
Huwezi kuwa kocha wa mafanikio kama ww kuifunga ni Sunderland na teams are likes
Why Kolo leo?Why?
Yaa GAME is over aisee
Nyumbani hapakaliki leo maana wife ni Arsenal,heri nifungwe na yyt sio Arsenal
Anyway nitashinda Bar nirudi home usiku wa manane kaisha lala ingawaje nitakuta kitandani katandika mashuka ya Arsenal
BR siyo kocha msaidizi tu wa mazoezi
Yani Arsenal walio katika nafasi nzuri ya kua top 4 wana fight hii mechi kwa bidii kuliko sisi tulio nafasi mbaya
Kiherehere chote kimeniisha, hawa watu hawadhaminiki.
Sterling na Hendo hawataki kusaini mikataba yao.Liverpool wawaachie waondoke
Madudu tu hawa