Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I have never been a fan of Allen aisee, huyu mtu hana hata sifa ya kucheza hizi team kubwa za big four. Kakosa vitu vingi sana, nafasi yake ni sawa na kiungo wa kusupport, make sure una kiungo mzuri kisha yeye awe kama msaidizi wa kiungo uyo katikati

Yaa GAME is over aisee
Nyumbani hapakaliki leo maana wife ni Arsenal,heri nifungwe na yyt sio Arsenal

Anyway nitashinda Bar nirudi home usiku wa manane kaisha lala ingawaje nitakuta kitandani katandika mashuka ya Arsenal

BR siyo kocha msaidizi tu wa mazoezi
 
Huwezi kuwa kocha wa mafanikio kama ww kuifunga ni Sunderland na teams are likes

Why Kolo leo?Why?

Mkuu kwa BR tunahitaji kuwa ni watu wa kusubiri sana, mpaka atakapojifunza mbinu za kushinda michezo migumu inayohitaji mbinu, Niliwahi mwambia shabiki mwenzangu wa LFC kua BR aliomba 5yrs ila iyo 5yrs itapita tukisubiri
 
Mna average players wengi mchezaji akiumia/kufungiwa hamna wachezaji wa kuziba nafasi.Leo pengo la Sturidge na Skirtel yanaonekana wazi kabisa.Sioni kama bench kuna mchezaji wa kubadilisha matokeo
 
Ona sasa BR alivyo mwehu!3-0 DS anaingia wa nn?Mechi imeisha hii na huyu katoka kwenye majeruhi muache apumzike
 
Yani Arsenal walio katika nafasi nzuri ya kua top 4 wana fight hii mechi kwa bidii kuliko sisi tulio nafasi mbaya
 
Yaa GAME is over aisee
Nyumbani hapakaliki leo maana wife ni Arsenal,heri nifungwe na yyt sio Arsenal

Anyway nitashinda Bar nirudi home usiku wa manane kaisha lala ingawaje nitakuta kitandani katandika mashuka ya Arsenal

BR siyo kocha msaidizi tu wa mazoezi

Usikate tamaa,njoo leo ulale kwa dada yako, nipo kaka yangu kukufariji usipate shida ya kushinda baa,lol
 
Poleni sn lfc . michezo ijayo ni migumu sn kwenu! Maana Skrtel hatokuwepo na Can pia sasa sijui mtamuweka nani hapo ktk beki zenu?
 
Sterling na Hendo hawataki kusaini mikataba yao.Liverpool wawaachie waondoke

Madudu tu hawa
 
Back
Top Bottom