Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
I have never been a fan of Allen aisee, huyu mtu hana hata sifa ya kucheza hizi team kubwa za big four. Kakosa vitu vingi sana, nafasi yake ni sawa na kiungo wa kusupport, make sure una kiungo mzuri kisha yeye awe kama msaidizi wa kiungo uyo katikati
Yaa GAME is over aisee
Nyumbani hapakaliki leo maana wife ni Arsenal,heri nifungwe na yyt sio Arsenal
Anyway nitashinda Bar nirudi home usiku wa manane kaisha lala ingawaje nitakuta kitandani katandika mashuka ya Arsenal
BR siyo kocha msaidizi tu wa mazoezi