The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
tuliza mshono dogo... ngoja tukupotezee tu
read my signature
Eh bwana eeh,safi sana kijana mpuuzi hujibiwa kipuuzi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuliza mshono dogo... ngoja tukupotezee tu
read my signature
Yah... Muache ajifunze typingEh bwana eeh,safi sana kijana mpuuzi hujibiwa kipuuzi!
Watafutaji mimba za kiume wengi na dawa kumtizama tu mjini hapa Kama inamsumbua miti mingi ya maembe au akanywe soda ila maembe bure kibada! Safi sana uchungu Unamsumbua vibaya.Eh bwana eeh,safi sana kijana mpuuzi hujibiwa kipuuzi!
Naomba awe striker anayekokota mpira na kwenda nao vizuri game nimetizama highlight Sturidge anaonekana Lonely na Mabeki wa pembeni muhimu na SG muda wa bench lazima LFC nafikiri sign ya Nguvu itafanywa wakirudi Liverpool!BR kasema bado yupo sokoni anatafuta wachezaji,hopeful watakuwa LB na Striker
Eh bwana eeh,safi sana kijana mpuuzi hujibiwa kipuuzi!
watafutaji mimba za kiume wengi na dawa kumtizama tu mjini hapa kama inamsumbua miti mingi ya maembe au akanywe soda ila maembe bure kibada! Safi sana uchungu unamsumbua vibaya.
Watafutaji mimba za kiume wengi na dawa kumtizama tu mjini hapa Kama inamsumbua miti mingi ya maembe au akanywe soda ila maembe bure kibada! Safi sana uchungu Unamsumbua vibaya.
Watafutaji mimba za kiume wengi na dawa kumtizama tu mjini hapa Kama inamsumbua miti mingi ya maembe au akanywe soda ila maembe bure kibada! Safi sana uchungu Unamsumbua vibaya.
don't force me to do bad things to you..lets talk football, only football:A S-eek:
hafai hata kwa service...
Kolo Toure most own goals next season..:wacko:
hana influence yoyote, yuko frustrated tuIAGO ASPAS AMSHAURI ALBERTO MORENO ASIHAMIE LIVERPOOL.
Mshambuliaji wa Iago Aspas wa Liverpool alieko kwa mkopo Sevilla amemshauri mchezaji mwenzie wa Sevilla, Alberto Moreno asihamie Anfield.
Aspas amesema;
"Alberto Moreno kamwe hatajisikia kama anavyojisikia Sevilla akiwa Liverpool".
"Nimekuwa hapa kwa siku tatu au nne. Sasa ni nipo Sevilla, napenda abakie hapa".
As Liverpool fan.....Huyu dogo kaniaribia siku sitaki ata kumsikia....yaani yeye badala ya kua balozi mzuri kwa liverpool.....yeye anakua balozi wa kuaribu.
Anastahili adhabu kali sana.......either kumkata mshahara au kumfungia kabisa ....... maana tokea aondoke Liverpool kwa mkopo....amekua kama msemaji wa timu yetu na kama amekua mtovu wa nidhamu.
YNWA
Ni kweli ila pia mtu akija powa asipokuja pia poa atakuwa kasaidia ukweli hatutaki mtu aje roho yake haipo kwenye timu Naomba waje wachezaji wanamachungu na kucheza game kwenye chama la Liverpoolfc! Huyo Aspas Kama Joe Cole, Joe Cole alikuwa akicheka akifurahi mpaka Pre Season alivyorudi Lille alijuwa ataendelea kucheza Liverpoolfc Kumbe Brendan Rogers alishawajuwa ndio walioharibu timu aliumia namna LFC walivyompaisha ndio kabakia najuta kusema LFC ni small Team kwamba LFC sio Big team akamalizia Kama LFC big team basi Nottingham Forest Big team ina 2 CL Cup! Ila sasa small Club Mwenye akili anajuwa Nottingham Forest imeshuka miaka mingapi daraja la chini? Lazima historia ipotee ila LFC miaka yote historia inatamba mpaka kesho aende Tour nje na LFC aone mashabiki wanavyojaza uwanja asifananishe na timu alizochezea mafanikio ya LFC hayakuisha 80's Kama watu wanavyojidanganya wala haya kuanza mwaka 2000! Britain hata for the Next 5 yrs LFC na Man United zisibebe kombe lolote haifanyi madamu bado watakuwepo ligi Kuu EPL Kuwa ni Small team hizi timu mbili heshima yake ipo pale pale itachukuwa muda kufutika tizama Ac Milan au Bayern Munich nayo siilififia imerudi watafute jengine lakuongea ila pia hawajakatazwa kuongea ila sio kuongea pumba. Man City kushinda EPL haifanyi ndio bigger Club than Man United.hana influence yoyote, yuko frustrated tu
Moreno hawezi kumsikiliza failure
Aspas hana influence yoyote kwa Moreno... its people like Xabi, Arbeloa, Nunez, Morientes, Enrique, Torres who can influence young playersAspas katuchongea kwa Moreno kumshauri kama asiendw eti ataua kipaji chake!
Aspas bana wakati Suarez kafungiwa yy ndiyo alikuwa tegemeo pale mechi 6 alianza bila bao hata moja!
agosti 8 with all due respect hapa tunajadili mustakabali wa Team yetu kaka!Tunapokea changamoto lkn sio kejeli