Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu Full Moon striker ni muhimu tena wa kiwango kinachoeleweka…kutokana na system ya sasa sioni uwezekano wa Cavani wala Falcao…probably Lavezzi.

Kwa marko na Lalla wote wanaweza kuanza kwasababu BR anaweza kuwatumia kwa nafasi tofauti. Marko anaweza kucheza wing ama ST. Lalla anaweza kucheza wing ama namba 10

I think kabla sijampanga kati ya Manq/Flano kwanza nitaangalia timu pinzani wanacheza mpira wa aina gani na kama tuko home au away. I might decided to go defensive while playing against Manshit at Etihad and for that I will go for Flano. I will go Manq if plays Arsenal at Anfield

Hapo umeongea..lakini Lallana na Markovic wote wakianza, sasa Coutinho atacheza wapi? Kumbuka, BR ameshasema kuwa huu ni msimu wa Coutinho, yeye ndo atakuwa focal point ya attack formation yetu.

Mimi kati ya Flano au Javier sijali sana, wote viwango...simtaki tu Glen Johnson. Yule wamuuze kabisa.
 
Liverpool Football Club Lineup Jumapili nafikiri itakuwa hivi: Mignolet, Manquillo, Skertel, Lovren, Johnson, Katikati Henderson, Steven Gerrad, Can, Coutinho Mbele Raheem na Sturidge. LFC YNWA!
Mimi nadhani nipo mwenyewe lakini naona kama Gerrard awekwe bench hivi msimu huu? U captain apewe Sktrel( kama akianza) au Henderson( Huyu nadhani ndo future captain).
lfc.png

click hiyo image hapo juu na uone. Kwa kuwa kesho Markovic na Moreno wapo injured basi wacheza Enrique na Ibe. Mnaonaje?
 
Mimi nadhani nipo mwenyewe lakini naona kama Gerrard awekwe bench hivi? U captain apewe Sktrel au Henderson.
View attachment 177978

click hiyo image hapo juu na uone. Kwa kuwa kesho Markovic na Moreno wapo injured basi wacheza Enrique na Ibe. Mnaonaje?
. Moreno haijaumia karatasi zake zilichelewa kufika ofisini ili kucheza kesho kushoto ataanza Johnson ikifikia time ya Captain apewe nani nafikiri Henderson ila naamini Lovren akifanya vizuri ndio wakupewa.
 
Ubaya wa Gerrard ni kwamba miguu imechoka. Can anacheza hiyo defensive cover noma kabisa.
 
Du leo nikasema ngoja nitembelee jukwaa na man utd du balaa nimekuta jamaa kasema bora moyes kuliko van gaal in reference to today's result.nimejifunza kitu hapo.
 
Hahahahahaha! Mkuu ume-note kitu gani ktk iyo kauli?
 
Du nilichojifunza hapa na hata kops wenzangu atunabudi kujifunza ktk hili swala zima. ni UVUMILIVU tu wakuu.sisi kops tumevumilia sana na sisi ni wavumilivu sana ila kwa sasa the glory is in our hands......kualibu kwa man utd ni furaha yetu.....ila msimu huu lazima tunyanyue makwapa kwenye epl.tumevumilia sana tokea 1990.this is our time.I will always trust BR.
 
Kweli kabisa mkuu, YWNA.
 
BR is not a man to be trusted rather he should be believed.

Nasema hivyo kwa kua hana tactics za kubadili mbinu za mchezo hasa pale PLAN YAKE INAPOFELI.
Ni kocha mzuri kwa kua ametufikisha hapa tulipo sasa lakn hana mbinu za kubadili matokeo ya gemu tunazozidiwa.
Kingine ni kwamba hawezi kufanya mabadiliko yanayocorrespond na mapungufu yaliyopo uwanjani!!!!.
Ukitaka kuthibitisha hili review mechi tulizofungwa chini ya uongozi wake.BR anategemea aanze gemu kwa speed kubwa sana ili apate magoli ya mapema then baada ya hapo timu inalegea.
 
Mkuu hiyo yote sababu alikuwa na kikosi kifinyu msimu huu tegemea makubwa ynwa.
 
alberto Moreno kashatangazwa rasmi www,liverpoolfc,com LFC YNWA! Game ijayo atacheza kwenye majaliwa ya Kuwa hai.
 
Back
Top Bottom