Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,325
1st #Liverpool Football Club #YNWA :A S crown-1: 2. Does 3. Not 4. Matter.........
Nimeipenda hii...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1st #Liverpool Football Club #YNWA :A S crown-1: 2. Does 3. Not 4. Matter.........
Mkuu Full Moon striker ni muhimu tena wa kiwango kinachoeleweka kutokana na system ya sasa sioni uwezekano wa Cavani wala Falcao probably Lavezzi.
Kwa marko na Lalla wote wanaweza kuanza kwasababu BR anaweza kuwatumia kwa nafasi tofauti. Marko anaweza kucheza wing ama ST. Lalla anaweza kucheza wing ama namba 10
I think kabla sijampanga kati ya Manq/Flano kwanza nitaangalia timu pinzani wanacheza mpira wa aina gani na kama tuko home au away. I might decided to go defensive while playing against Manshit at Etihad and for that I will go for Flano. I will go Manq if plays Arsenal at Anfield
Mimi nadhani nipo mwenyewe lakini naona kama Gerrard awekwe bench hivi msimu huu? U captain apewe Sktrel( kama akianza) au Henderson( Huyu nadhani ndo future captain).Liverpool Football Club Lineup Jumapili nafikiri itakuwa hivi: Mignolet, Manquillo, Skertel, Lovren, Johnson, Katikati Henderson, Steven Gerrad, Can, Coutinho Mbele Raheem na Sturidge. LFC YNWA!

Nashangaa ana train kila kitu lakini transfer haijawa confirmed.Moreno ametrain na team leo, lakini si kuna.some paperwork hazijakamilika???
. Moreno haijaumia karatasi zake zilichelewa kufika ofisini ili kucheza kesho kushoto ataanza Johnson ikifikia time ya Captain apewe nani nafikiri Henderson ila naamini Lovren akifanya vizuri ndio wakupewa.Mimi nadhani nipo mwenyewe lakini naona kama Gerrard awekwe bench hivi? U captain apewe Sktrel au Henderson.
View attachment 177978
click hiyo image hapo juu na uone. Kwa kuwa kesho Markovic na Moreno wapo injured basi wacheza Enrique na Ibe. Mnaonaje?
Du leo nikasema ngoja nitembelee jukwaa na man utd du balaa nimekuta jamaa kasema bora moyes kuliko van gaal in reference to today's result.nimejifunza kitu hapo.
Hahahahahaha! Mkuu ume-note kitu gani ktk iyo kauli?
Du nilichojifunza hapa na hata kops wenzangu atunabudi kujifunza ktk hili swala zima. ni UVUMILIVU tu wakuu.sisi kops tumevumilia sana na sisi ni wavumilivu sana ila kwa sasa the glory is in our hands......kualibu kwa man utd ni furaha yetu.....ila msimu huu lazima tunyanyue makwapa kwenye epl.tumevumilia sana tokea 1990.this is our time.I will always trust BR.
Du nilichojifunza hapa na hata kops wenzangu atunabudi kujifunza ktk hili swala zima. ni UVUMILIVU tu wakuu.sisi kops tumevumilia sana na sisi ni wavumilivu sana ila kwa sasa the glory is in our hands......kualibu kwa man utd ni furaha yetu.....ila msimu huu lazima tunyanyue makwapa kwenye epl.tumevumilia sana tokea 1990.this is our time.I will always trust BR.
Mmh! Naskia Manure wamekaa!
BR is not a man to be trusted rather he should be believed.
Nasema hivyo kwa kua hana tactics za kubadili mbinu za mchezo hasa pale PLAN YAKE INAPOFELI.
Ni kocha mzuri kwa kua ametufikisha hapa tulipo sasa lakn hana mbinu za kubadili matokeo ya gemu tunazozidiwa.
Kingine ni kwamba hawezi kufanya mabadiliko yanayocorrespond na mapungufu yaliyopo uwanjani!!!!.
Ukitaka kuthibitisha hili review mechi tulizofungwa chini ya uongozi wake.BR anategemea aanze gemu kwa speed kubwa sana ili apate magoli ya mapema then baada ya hapo timu inalegea.
Hahaha, asanane wamejambishwa mida hii, bado chelsick