Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh,ndugu yangu MosDef, nadhani umeshaeleweka,afu kuna kitu sijakielewa vile humu ndani,ni kama vile tumegawanyika makundi mawili(which is not a bad thing provided that we are all LFC fans)...
 
Last edited by a moderator:
Kuna siku gani ushaona nimeiponda Diamond au xmas tree formation hapa?? Wakati hizo ndo formations ambazo zilileta mafanikio last season!!!, na unajua ni kwa nini BR alianza na 4-3-3 katika game mbili za kwanza????

Unajua kwamba Katika 4-3-3, Hendo huwa anaPerfome vibaya??? The same to coutinho??

And ooooh!!!, unasema nilisema MORENO ni m-bovu last week, Really??..nioneshe sehem niliyosema MORENO ni M-bovu??..ulikuwa unafatilia posts zetu za usajili??..who was so.excited about us signing Moreno?? Apart from akina Pazi, Magnificent, Janjaweed na kina Tores????

Nimeanza kumjua Moreno tangu yupo Seville ya kina Rakitic mwaka Juzi, Tangu kipindi kile RMA walipokuwa so close kumsajili BUT walihairisha kutokana na Coentrao form ya msimu uliopita na Carvaraj..na hayo tushaongea sana na kina Pazi humu..

Nilichosema Week iliyopita Man City was a BIG GAME for Moreno's DEBUT, it was a tough TEST for him, and we both saw that siku ile na kilichonipelekea kusema hivyo ni kutokana na kwamba hatukuwa naye kwenye pre-season yote, mbona sikusema kuwa Lovren na Manquillo ilikuwa ni tough debut kwao against Southampton??? Coz southampton ni Average team..

MAN CITY, was a BIG TEST kwa Moreno, na kama unajua football utakuwa unajua nini maana ya DEBUT katika big games tena AWAY na unacheza na mtetezi wa LEAGUE..

Na huwez kamwe kufananisha approach ya game kama ManCity vs Stoke na ManCity Vs LFC, (hii ilikuwa game kati ya TWO TOP TEAMS katika EPL last season), so usingetegemea Pelegrin aje na mbinu kama za stoke city, Na itabidi ujue inamaanisha nini kwa kocha kushinda katika BIG MATCHES, jana kafungwa na Stoke city kwake Etihad, Lakini in TWO WEEKS, anaenda kucheza na Arsenal pale Emirate...utashuhudia mwenyewe..

Afu kitu kingine kama huwa unasoma Posts zetu kimya kimya, uwe unajitahid kuzisoma kwa umakini sana, kwani tukifungwa na tukiweka mijadala na ideas zetu humu huwa mnakaa kimya TU, na TUKISHINDA, mnajaa humu na kuanza kutoa comments za UONGO kama hizo (eti nishawahi kusema Moreno ni M-bovu!!!!!!)

Me ni shabiki wa LIVERPOOL na LFC hainilipi mshahara wowote kama kina BR, Poscoe, Marsh, Morgan na Players, Na ikiboronga wenyewe watajipoza na mishahara yao MIKUBWA, na mwisho wa msimu wanaenda na wake zao fukwe za IBZA au COPA CABANA kula raha, me nitabaki na Maumivu yangu tu na mwisho wa mwezi nitakatwa kama kawaida HELA katika my A/C kwa ajili ya LFCTV na Ile ya Membership ya Club, for whic hainisaidii chochote kile, Lakini kutokana na mapenzi yangu kwa LFC, nimeamua mimi mwenyewe kufanya hivyo, so ikiboronga kwa makosa ya kipuuzi lazima nilalamike sana humu, coz ni mimi ndiye ninayeumia zaidi kama Mshabiki na siyo kocha wala Players, coz wenyewe wanafanya kazi wapate mshahara, ndo maana leo hii AGGER AMEONDOKA LFC.

Na humu ndani muwe mnajitokeza kila siku kama LFC ipo mioyoni mwenu, IKIBORONGA AU IKISHINDA, muwe mnajaa kama leo humu, kina Pazi, The Magnificent, Tores, Malafyale, osokonoi, Ed, The Boss, Janjaweed Blac kid Gwamahala, +255, Mzee Wa Rubisi Amanijua @Punein wenyewe pia wana shughuli zao kibao za kufanya lakini kila siku wanapitia humu na KUCOMMENT katika mijadala mbalimbali katika kuifanya thread hii kuwa ACTIVE kila siku, lakini nyie wengine mnasoma kimya kimya humu, team ikushinda (which is NOT bad kwa shabikj yoyote yule), lakin kinachoboa mnaquote comments za watu wrong, kwa dhihaka na dharau.

Me nishawahi kusema MORENO ni M-BOVU???

Kwa mfano Arsenal wametoa draw leo na LECESTER CITY, kwahiyo itakuwa dhambi kwa kina Mbu na kina BAK, Kumlaumu WENGER kusuasua kuleta DM na ST mzuri???..kwa kuwa kisa tu ni Wenger??? Ndo asilalamikiwe???

BR akikosea nitaendelea kumkosoa kama kawaida..akishinda nitampongeza yeye na players wote..thats what a REAL FAN who loves his CLUB anafanya! PERIOD.

Mkuu MosDef huyu jamaa alikuelewa vibaya mbona inshu za debut ulishazifafanua vizuri humu, nakumbuka hata lovren na ballo ulsema wao hata ingekuwa big match ya aje wangefit coz tayar wanauzoefu na pressure ya epl, sema tu jamaa hakukuelewa.
 
Last edited by a moderator:
MosDef article yako iko touched sana toka moyoni mwako (I think that)
Kuna ule msemo unasema "If you don't support us at a time of draw or lose, don't support us at a time of winning"
So let us to keep it up mkuu timu lazima ikosolewe ili ijijenge
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MosDef huyu jamaa alikuelewa vibaya mbona inshu za debut ulishazifafanua vizuri humu, nakumbuka hata lovren na ballo ulsema wao hata ingekuwa big match ya aje wangefit coz tayar wanauzoefu na pressure ya epl, sema tu jamaa hakukuelewa.

Ilikuwa ni kosa kumpa Moreno mechi ya mwanza ugenini na Man City siku 3 tu baada ya kusajiliwa na MosDef yupo sahihi

Moreno siku ile angeanzia benchi na Manquillo angecheza!Anyway jamani sisi wote ni YNWA tusamehane tusonge mbele

Rais Lincoln alionya "divided house cant stand alone"! YNWA forever
 
Last edited by a moderator:
nadhan the BIG POSSIBILITY ni ROMERO..

we tried kwa MacArthy but it was TOO LATE..ameenda QPR..

Itakuwa nzuri pia coz tunahitaji sana goalkeeper 'established' ili atoe changamoto kwa Mignolet.
This time around tuna michuano mingi so depth ya golini inahitajika sana.
 
nadhan the BIG POSSIBILITY ni ROMERO..

we tried kwa MacArthy but it was TOO LATE..ameenda QPR..

Perfomance ya Migs golini kwa mechi hizi inaweza mfanya Romero asije akiogopa kukaa benchi milele
 
MosDef with all due respect tukubaliane kutokukubaliana.Pitia posts zangu last season uone kuwa ni UONGO kusema kuwa huwa naandika humu tukishinda tu!Kuhusu Moreno nani kasema kuwa ulisema ni MBOVU?Bottom line ni kuwa sijapenda huu wepesi wa kukosoa timu na hasa kocha just after one defeat tena kwa hoja ambazo hata kwa gem ya leo zingeapply!Mengine ni ya kawaida tu kwa mtu mwenye EGOISM wala sitayajibu.
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa ni kosa kumpa Moreno mechi ya mwanza ugenini na Man City siku 3 tu baada ya kusajiliwa na MosDef yupo sahihi

Moreno siku ile angeanzia benchi na Manquillo angecheza!Anyway jamani sisi wote ni YNWA tusamehane tusonge mbele

Rais Lincoln alionya "divided house cant stand alone"! YNWA forever

Ni kweli kabisa mkuu!
 
Yaani leo vijana wanne back line wamenifurahisha sana...Manquillo, Sakho, Lovren, na Moreno. It was a beautiful display kwakweli...Balotelli naye amekamua vizuri sana sema nahisi aliikamia sana hii gemu.
 
Last edited by a moderator:
Perfomance ya Migs golini kwa mechi hizi inaweza mfanya Romero asije akiogopa kukaa benchi milele

Tumshawishi aje tu ili tuwe a complete package kabisa idara zote...coz so far golini ndo bado hatuna 'msaidizi' wa maana kama idara zingine!
 
Kuna siku gani ushaona nimeiponda Diamond au xmas tree formation hapa?? Wakati hizo ndo formations ambazo zilileta mafanikio last season!!!, na unajua ni kwa nini BR alianza na 4-3-3 katika game mbili za kwanza????

Unajua kwamba Katika 4-3-3, Hendo huwa anaPerfome vibaya??? The same to coutinho??

And ooooh!!!, unasema nilisema MORENO ni m-bovu last week, Really??..nioneshe sehem niliyosema MORENO ni M-bovu??..ulikuwa unafatilia posts zetu za usajili??..who was so.excited about us signing Moreno?? Apart from akina Pazi, Magnificent, Janjaweed na kina Tores????

Nimeanza kumjua Moreno tangu yupo Seville ya kina Rakitic mwaka Juzi, Tangu kipindi kile RMA walipokuwa so close kumsajili BUT walihairisha kutokana na Coentrao form ya msimu uliopita na Carvaraj..na hayo tushaongea sana na kina Pazi humu..

Nilichosema Week iliyopita Man City was a BIG GAME for Moreno's DEBUT, it was a tough TEST for him, and we both saw that siku ile na kilichonipelekea kusema hivyo ni kutokana na kwamba hatukuwa naye kwenye pre-season yote, mbona sikusema kuwa Lovren na Manquillo ilikuwa ni tough debut kwao against Southampton??? Coz southampton ni Average team..

MAN CITY, was a BIG TEST kwa Moreno, na kama unajua football utakuwa unajua nini maana ya DEBUT katika big games tena AWAY na unacheza na mtetezi wa LEAGUE..

Na huwez kamwe kufananisha approach ya game kama ManCity vs Stoke na ManCity Vs LFC, (hii ilikuwa game kati ya TWO TOP TEAMS katika EPL last season), so usingetegemea Pelegrin aje na mbinu kama za stoke city, Na itabidi ujue inamaanisha nini kwa kocha kushinda katika BIG MATCHES, jana kafungwa na Stoke city kwake Etihad, Lakini in TWO WEEKS, anaenda kucheza na Arsenal pale Emirate...utashuhudia mwenyewe..

Afu kitu kingine kama huwa unasoma Posts zetu kimya kimya, uwe unajitahid kuzisoma kwa umakini sana, kwani tukifungwa na tukiweka mijadala na ideas zetu humu huwa mnakaa kimya TU, na TUKISHINDA, mnajaa humu na kuanza kutoa comments za UONGO kama hizo (eti nishawahi kusema Moreno ni M-bovu!!!!!!)

Me ni shabiki wa LIVERPOOL na LFC hainilipi mshahara wowote kama kina BR, Poscoe, Marsh, Morgan na Players, Na ikiboronga wenyewe watajipoza na mishahara yao MIKUBWA, na mwisho wa msimu wanaenda na wake zao fukwe za IBZA au COPA CABANA kula raha, me nitabaki na Maumivu yangu tu na mwisho wa mwezi nitakatwa kama kawaida HELA katika my A/C kwa ajili ya LFCTV na Ile ya Membership ya Club, for whic hainisaidii chochote kile, Lakini kutokana na mapenzi yangu kwa LFC, nimeamua mimi mwenyewe kufanya hivyo, so ikiboronga kwa makosa ya kipuuzi lazima nilalamike sana humu, coz ni mimi ndiye ninayeumia zaidi kama Mshabiki na siyo kocha wala Players, coz wenyewe wanafanya kazi wapate mshahara, ndo maana leo hii AGGER AMEONDOKA LFC.

Na humu ndani muwe mnajitokeza kila siku kama LFC ipo mioyoni mwenu, IKIBORONGA AU IKISHINDA, muwe mnajaa kama leo humu, kina Pazi, The Magnificent, Tores, Malafyale, osokonoi, @Ed, The Boss, Janjaweed Blac kid Gwamahala, +255, Mzee Wa Rubisi Amanijua @Punein wenyewe pia wana shughuli zao kibao za kufanya lakini kila siku wanapitia humu na KUCOMMENT katika mijadala mbalimbali katika kuifanya thread hii kuwa ACTIVE kila siku, lakini nyie wengine mnasoma kimya kimya humu, team ikushinda (which is NOT bad kwa shabikj yoyote yule), lakin kinachoboa mnaquote comments za watu wrong, kwa dhihaka na dharau.

Me nishawahi kusema MORENO ni M-BOVU???

Kwa mfano Arsenal wametoa draw leo na LECESTER CITY, kwahiyo itakuwa dhambi kwa kina Mbu na kina BAK, Kumlaumu WENGER kusuasua kuleta DM na ST mzuri???..kwa kuwa kisa tu ni Wenger??? Ndo asilalamikiwe???

BR akikosea nitaendelea kumkosoa kama kawaida..akishinda nitampongeza yeye na players wote..thats what a REAL FAN who loves his CLUB anafanya! PERIOD.

waaambie hao,....😛op2:​
 
Labda atanyonya damu ya Man City tarehe 13/09 ngoja tusubiri tuone!

Vipi mkuu issue ya Blind mmefikia wapi?

Mkuu mie ni mwanakop mwenzako inshu za man nasoma ambazo ni released hadi kwa media za kawaida.
 
Looks like Coates will be joining Sunderland on loan (kama itaHappen)..na Borini pia anaweza akaondoka (inter wants him on loan lakin LFC wanataka permanent deal, Sunderland bado wapo interested)..amereport GARY JACOB sahiv..

Pia PAUL JOYCE anasema We wants VALDES..
 
Back
Top Bottom