Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Najaribu kulinganisha kikosi hatari kwa kesho
na hii sasa where is sterling
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu kulinganisha kikosi hatari kwa kesho
mechi ni ngumu but this is where ricky lambert shinesBalo anaumwa nn tena?Maana nasoma hapa kama atacheza ingawaje ni mgonjwa!
Mechi rahisi hii hata Lambert atatupa bao
mechi ni ngumu but this is where ricky lambert shines
jamaa knows where the goal is
Mechi rahisi? We jamaa huwajui vizuri A.villa,baada ya mechi nadhani utakuja kubadilisha kauli yako
mechi ni ngumu but this is where ricky lambert shines
jamaa knows where the goal is
Mi natamani Lovren aumie ili BR aone kuwa amefanya makosa kumuuza Daniel Agger na kumtoa kwa mkopo Sebastian Coates.
mkuu, one of BR's tough opponent in Paul Lambert, unless hufuatilii stats, just google uone head to head recordsSiyo mechi ngumu hii mkuu!BR kaibadili team kawa kama enzi za Ferguson maana mechi hizi ambazo sisi ni favourite anazibamiza hatanii!
Dakika ya 70 Balo anatoka anaingia Lambert mechi isha imaliza 3-0
mkuu, one of BR's tough opponent in Paul Lambert, unless hufuatilii stats, just google uone head to head records
EPL haina timu ina tactics.. ndio maana stoke walimla kichwa citeh na lambert ameshatula tatu na ku-droo mbili-mbili anfield last season
tuache ushabiki, tuwe makini
Balo anaumwa nn tena?Maana nasoma hapa kama atacheza ingawaje ni mgonjwa!
Mechi rahisi hii hata Lambert atatupa bao
mkuu, one of BR's tough opponent in Paul Lambert, unless hufuatilii stats, just google uone head to head records
EPL haina timu ina tactics.. ndio maana stoke walimla kichwa citeh na lambert ameshatula tatu na ku-droo mbili-mbili anfield last season
tuache ushabiki, tuwe makini
Mi natamani Lovren aumie ili BR aone kuwa amefanya makosa kumuuza Daniel Agger na kumtoa kwa mkopo Sebastian Coates.
In short ni kwamba BR atapanga kikosi kile kile kilichoifunga Spurs isipokua two changes zitafanyika ambapo Lambert ataanza kumliplace Daniel na Lalana atachukua nafasi ya Joe Allen.
Mi natamani Lovren aumie ili BR aone kuwa amefanya makosa kumuuza Daniel Agger na kumtoa kwa mkopo Sebastian Coates.
Mi natamani Lovren aumie ili BR aone kuwa amefanya makosa kumuuza Daniel Agger na kumtoa kwa mkopo Sebastian Coates.
ha ha ha mwaka huu hamna chenu.....huwezi kuuza FERRARI ukanunua FIAT BRAVO mbili utegemee perfomance ile uliouza..............salama lakini watani zangu
MosDef The Magnificent
ha ha ha mwaka huu hamna chenu.....huwezi kuuza FERRARI ukanunua FIAT BRAVO mbili utegemee perfomance ile uliouza..............salama lakini watani zangu
MosDef The Magnificent
Mkuu hata S'oton walitupiga Anfield mwaka jana!Nina uhakika mkubwa BR kaitayarisha team vyema na depth hii!
Liverpool ya mwaka jana siyo hii!Liverpool ya mwaka jana akiumia mtu roho juu lkn mwaka huu mwendo mdundo!
Mkuu bila Suarez mechi 3 bao 6 bado hauna imani?Villa anakaa mapema tu