Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Balo anaumwa nn tena?Maana nasoma hapa kama atacheza ingawaje ni mgonjwa!

Mechi rahisi hii hata Lambert atatupa bao
mechi ni ngumu but this is where ricky lambert shines

jamaa knows where the goal is
 
mechi ni ngumu but this is where ricky lambert shines

jamaa knows where the goal is

In short ni kwamba BR atapanga kikosi kile kile kilichoifunga Spurs isipokua two changes zitafanyika ambapo Lambert ataanza kumliplace Daniel na Lalana atachukua nafasi ya Joe Allen.
 
Mechi rahisi? We jamaa huwajui vizuri A.villa,baada ya mechi nadhani utakuja kubadilisha kauli yako

Hata nusu tu ya perfomance ya Liverpool na Man City au Tottenham hawa Villa tuna close mechi dakika ya 45 tu?

Nimewaona KOPS mechi 2 za ugenini wanatisha sana!Villa bila Benteke namkalisha chini easily kabisa leo
 
mechi ni ngumu but this is where ricky lambert shines

jamaa knows where the goal is

Siyo mechi ngumu hii mkuu!BR kaibadili team kawa kama enzi za Ferguson maana mechi hizi ambazo sisi ni favourite anazibamiza hatanii!

Dakika ya 70 Balo anatoka anaingia Lambert mechi isha imaliza 3-0
 
Mi natamani Lovren aumie ili BR aone kuwa amefanya makosa kumuuza Daniel Agger na kumtoa kwa mkopo Sebastian Coates.

Hapana mkuu kauli hiyo haifai!Kama umeumia ingia Liverpool FC news kwa kutumia google then hapo utaiona site yao ukifungua utajisajili kuwa member kwa fees kidogo!

Then comments kama hizi intellectually zi present hapo!!Hamna haja ya kuombea wachezaji wetu waumie!!Ili tufanye vyema tuombee wote wawe salama
 
Siyo mechi ngumu hii mkuu!BR kaibadili team kawa kama enzi za Ferguson maana mechi hizi ambazo sisi ni favourite anazibamiza hatanii!

Dakika ya 70 Balo anatoka anaingia Lambert mechi isha imaliza 3-0
mkuu, one of BR's tough opponent in Paul Lambert, unless hufuatilii stats, just google uone head to head records

EPL haina timu ina tactics.. ndio maana stoke walimla kichwa citeh na lambert ameshatula tatu na ku-droo mbili-mbili anfield last season

tuache ushabiki, tuwe makini
 
Mkuu hata S'oton walitupiga Anfield mwaka jana!Nina uhakika mkubwa BR kaitayarisha team vyema na depth hii!

Liverpool ya mwaka jana siyo hii!Liverpool ya mwaka jana akiumia mtu roho juu lkn mwaka huu mwendo mdundo!

Mkuu bila Suarez mechi 3 bao 6 bado hauna imani?Villa anakaa mapema tu
 
Balo anaumwa nn tena?Maana nasoma hapa kama atacheza ingawaje ni mgonjwa!

Mechi rahisi hii hata Lambert atatupa bao

Ballo ako fit jana liverpool echo waliripoti kuwa wachezaji ambao watamiss gemu la leo ni sturridge, flanagan, sketo, johnson na can. Allen anakatatzo kadogo usishangae sana kama utamuona pale bench.
 
mkuu, one of BR's tough opponent in Paul Lambert, unless hufuatilii stats, just google uone head to head records

EPL haina timu ina tactics.. ndio maana stoke walimla kichwa citeh na lambert ameshatula tatu na ku-droo mbili-mbili anfield last season

tuache ushabiki, tuwe makini

Well said Janjaweed
 
Last edited by a moderator:
Mi natamani Lovren aumie ili BR aone kuwa amefanya makosa kumuuza Daniel Agger na kumtoa kwa mkopo Sebastian Coates.

Mkuu usiombee majanga bana naamini BR hata naye ashajua albugi make hapo alpo anajiulza kama sakho au lovren akiumia mmoja wapo atakuwa pair na dingi kolo sasa hapo si majanga hayo.
 
In short ni kwamba BR atapanga kikosi kile kile kilichoifunga Spurs isipokua two changes zitafanyika ambapo Lambert ataanza kumliplace Daniel na Lalana atachukua nafasi ya Joe Allen.

Kwa hiyo unahisi na leo coutinho atakalia bench mwanzo mwisho? Nadhani lambert ataingia dakika ya 65 au 70.
 
ha ha ha mwaka huu hamna chenu.....huwezi kuuza FERRARI ukanunua FIAT BRAVO mbili utegemee perfomance ile uliouza..............salama lakini watani zangu
MosDef The Magnificent
 
Last edited by a moderator:
Kol0 Toure?

article-0-1B6F0D5700000578-953_634x435.jpg

Kolo yupo!
 
ha ha ha mwaka huu hamna chenu.....huwezi kuuza FERRARI ukanunua FIAT BRAVO mbili utegemee perfomance ile uliouza..............salama lakini watani zangu
MosDef The Magnificent

Salama mtani.....(nyie ndo watani zetu wa ukweli....sio chelsky,arse5-1(hawa hawajawahi kuwin champions ligi tangu wazaliwe.....cc Wacha1))

Back to the topic...: Luis alitaka kuondoka ndugu yangu,sa sisi tungefanyaje....? Maisha lazima yaendelee...we wish him all the best there at BARCA......

Pengine kuondoka kwake kutawapa chance kina Raheem kushine,Markovic na wengineo......one thing for sure,mwaka huu tuna depth ya kikosi....sidhani kama tutamaliza nje ya top4......sidhani kabisa.....!

Wape Hi Manure wenzio.....na kesho mnachapwa tena na ka-QPR..........hahahahahahahahah...!
#RedOrDead #LFC #YNWA.....

Naenda kuangalia game ya Arse5 na City.....i will be supporting Arsenal Today(namchukia sana Samir Nasri,ana mdomo mchafu kama Diego Costa)....japokuwa droo itapendeza saana kwangu mimi........

Aione agosti 8
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hata S'oton walitupiga Anfield mwaka jana!Nina uhakika mkubwa BR kaitayarisha team vyema na depth hii!

Liverpool ya mwaka jana siyo hii!Liverpool ya mwaka jana akiumia mtu roho juu lkn mwaka huu mwendo mdundo!

Mkuu bila Suarez mechi 3 bao 6 bado hauna imani?Villa anakaa mapema tu

ni kweli, ila si uliona tulivyombwelambwela ile gemu ya s'oton??

we survived ki-TB joshua
 
Actually hata Mimi ingawa siko deep sana, sijaelewa logic ya BR kumruhusu COATES aondoke kwa mkopo, akifahamu fika kuwa Dan angeondoka na alishamruhusu pia Illori!!
Au kuna CB mwingine zaidi ya babu Kolo.
Nini kinachompa jeuri?
 
Back
Top Bottom