Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LFC chini ya BR imekuja kuwa ya kiswahili sana, Jamaa EGO yake inaweza ikaicost team, Yaan Kumruhusu SUSO aende AC MILAN ni kosa kubwa sana LFC wanalifanya, tena permanent with NO buy-back clause..Nlitegemea angepata nafas kwa sasa ukizingatia PC is struggling to regain his form..Illori, Coates, Ibe, origi, Texeira wote wapo OUT on loan, and nw we're selling SUSO, Usishangae next year kina Yesil, Ojo na Rossiter wakauzwa pia!!!

Tatizo kocha wetu kazungukwa na wasaidiz wa ajabu sana, kina Marsh na kina poscoe sjui wanamshauri nn jamaa???

Au hapend kufata ushauri, ni kocha aina ya MOURINHO tu ndo angeweza kumuuza SUSO moja kwa moja!!!

talent nyingne inaondoka LFC, mwakan mdogo wetu TEXEIRA anaweza akatuaga kwa hali jins ilivyo!!!
 
Tunachofanya watakuja kuona matokeo yake baada ya kumpiga Man City! Man utd tumemuacha nyuma points 7 Loserfool points 6! Sasa Man city tutamuacha points 8 weekend hii ili tukae vzr kwa EPL!

You haven't tested yet!Goals melee on below avarage teams like Burnley and Leicester does not mean nothing!

Jumapili hii ndiyo uonyeshe na usidhani kama utapata tena goal kama lile la Hart alivyo mpa Torres la bure
 
MosDef,Suso hauzwi,anaondoka bure kbs,make kuanzia jan atakuwa free agent..BR hana hata kakikombe ka mbuzi afu anakuwa na EGO ya hatari! Sipati picha akipata hata ka league cup,itakuwa shida!
 
Last edited by a moderator:
MosDef,Suso hauzwi,anaondoka bure kbs,make kuanzia jan atakuwa free agent..BR hana hata kakikombe ka mbuzi afu anakuwa na EGO ya hatari! Sipati picha akipata hata ka league cup,itakuwa shida!

Benitez sjui anawazaje sahiv!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Gwamahala...

Defence…Mo & Ma wametuonyesha how modern fb’s should play. And that is why utashangaa kusikia/kuona aliyepiga cros ya goli la kwanza ni Moreno na aliyekosa goli la wazi dk za mwanzo na kusababisha penalt dk za mwisho ni Manquillo. Sijaona makosa mengi kwa Lov ila Sakho bado anajigongagonga

Lovren failed to intercept the ball which was well within his reach, aliamua kuuacha ausindikizie kwa kipa and the ball was faster and the keeper respodned late

to me, Lovren gave away the goal by letting the ball pass him... He did also positioned himself several times on SG path and SG didnt show any reaction, in addition, his long passes are not as good as Sakho's passes

Our weakest link is still holding midfield, anaexpose team and his two pillars Henderson and Phillipe do very little to cover

BR needs to review his tactics and decide on marksmen as well, we cant always let sterling, countinho, balo, lallana, markovic ans sturridge all try to score all the time... even Manquilo and Moreno now are more focused on getting goals... that disintegrate the team discipline

strikers should be primary goal getters, and midlfieders should finght the highest nummber of assists and not goals, they can score yes, but that should not be their primary targets

Well said Mkuu Janjaweed

Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa isipokuwa hapo ulipopawekea red, plus mazingira ya goli la Ludo.

Sakho has been dominant on air na passing accuracy yake imekuwa juu ila kujigongagonga kumekuwepo. Nafikiri utakumbuka incidence ambayo ali-loose possession kwa namna ambayo ni ngumu kuielezea thenn akipigwa tobo na tukaishia kupigishiwa post…you can not come closer than that.

Well, tunaongelea gemu yetu na Ludo lakini neno bado hapo kwenye red, linaashiria kwamba ni tukio ambalo limekuwa likijirudia. Nafikiri tunakumbuka alipozubaa na kukosa kujiamini pale alipokabiliwa na agbon na matokeo yake kuwazawadia Villa kona…kilichotokea tunakifahamu. Naomba nieleweke kwamba siyaandiki hayo kwasababu ya kumponda, makosa hayo hayafuti uwezo wake especially his aerial dominance

Wakati Dani Abalo anaelekea kufunga goli you could see that, manquillo was like rcb na hii ni kutokana na gap lililokuwa limeachwa upande wa kushoto. Ni dk ya 90+ mnaongoza kwa goli 1, more anafanya nini kwenye box ya Ludo? Beki aliyemny’ang’anya raheem mpira aliupitisha mbele ya macho ya Lucas na Sg kwanini hawaku-intercept? Sakho was out of position sababu alikuwa anacover pengo lilioachwa na more. Definitely was hard kwa Lovr kucheza position mbili at a time. Mig positioned himself wrongly. Kwa maoni yangu goli was a result of collective mistakes
 
Kwa mujibu wa ESPN here is the Champions League Team of the week

------------------------------Hart(Man City)-----------------------------

-------Dum(Dor)-----Lomberts(Zen)----Boateng(Mun)----Moreno(Liv)-------

----------Brahimi(Por)--------Bender(Dor)--------Pjanic(Roma)------------

-------Gervinho(Roma)--------Teves(Juve)-------Bale(Mad)------------


Interesting, hakuna cha Neuer, kompany, Yaya, James rodriguez, Neyma, Ronaldo, Messi naaa costa???
 
“It was their first Champions League game back for many, many years. Maybe that caused a bit of complacency in the performance and Aston Villa took full advantage of it,”...

Naona Big Sam anataka kutengeneza distractions...
 
INJURY UPDATE AHEAD OF WEST HAM CLASH

“Young Jon Flanagan, unfortunately, has just had an operation that will probably have him out for a few months – which is disappointing,”

“Martin Skrtel is back training with the team, which is great news for us. Glen Johnson should be back training over the course of the weekend.

“Daniel Sturridge should hopefully be back training at some point next week. Joe Allen is still out and he’ll be out for a few weeks yet.”

Emre Can remains sidelined for the Reds, and won’t return until around mid-October
 
Well said Mkuu Janjaweed

Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa isipokuwa hapo ulipopawekea red, plus mazingira ya goli la Ludo.

Sakho has been dominant on air na passing accuracy yake imekuwa juu ila kujigongagonga kumekuwepo. Nafikiri utakumbuka incidence ambayo ali-loose possession kwa namna ambayo ni ngumu kuielezea thenn akipigwa tobo na tukaishia kupigishiwa post…you can not come closer than that.

Well, tunaongelea gemu yetu na Ludo lakini neno bado hapo kwenye red, linaashiria kwamba ni tukio ambalo limekuwa likijirudia. Nafikiri tunakumbuka alipozubaa na kukosa kujiamini pale alipokabiliwa na agbon na matokeo yake kuwazawadia Villa kona…kilichotokea tunakifahamu. Naomba nieleweke kwamba siyaandiki hayo kwasababu ya kumponda, makosa hayo hayafuti uwezo wake especially his aerial dominance

Wakati Dani Abalo anaelekea kufunga goli you could see that, manquillo was like rcb na hii ni kutokana na gap lililokuwa limeachwa upande wa kushoto. Ni dk ya 90+ mnaongoza kwa goli 1, more anafanya nini kwenye box ya Ludo? Beki aliyemny'ang'anya raheem mpira aliupitisha mbele ya macho ya Lucas na Sg kwanini hawaku-intercept? Sakho was out of position sababu alikuwa anacover pengo lilioachwa na more. Definitely was hard kwa Lovr kucheza position mbili at a time. Mig positioned himself wrongly. Kwa maoni yangu goli was a result of collective mistakes

Lovren is eager to impress at any cost, kiasi kwamba anaigia position ya Sakho na ya Gerro, which makes the defence line loose and without discipline, Sakha ana shida ya kutaka perfection while EPL you just have to butua if need be... but to me Sakho has been more useful because he has won more balls by intercepting aerial balls na diagonal balls, hata kona Sakho is disciplined na atatulia na mtu wake... Lovren ana njaa ya sifa but they will all come good

Lovren sio mzuri hewani, as well as Skertel but sakho is, we need aerial and low balss presence

Personally i think Skertel and Sakho are more likely to give us clean sheet that LOvren, although Lovren will be our best defender akishajua kwamba his job is to play for a team and not his glory
 
Wakuu, tuko pamoja sana! Kamchina kangu kananilazimisha kuingia hapa kama mgeni maana mara nyingi nikijaribu ku-post inakataa! Very boring, but...YNWA.
 
Ynwa..........tulien wakuu moto tunauanza kwa westham.....hatuwez rud enzi zilizo pita...never never...
 
RPOOL ONE FAMILYTHE GREAT AFRICAN KOPITESLIVERPOOL DOCUMENTARY: JE UNA MOYO WA KI LIVERPOOL: DATE: 17/09/2014Inawezekana leo mkashangaa kidogo nimekuja na documentary ya kitofauti,najuawengi mmezoea kuona documentary ikiwa inaelezea mchezajiau wachezaji na makocha au viongozi au kitu chochote kinachohusiana na timu yetu,leo nimekuja na swali kwa kila moja.je mna moyo wa ki Liverpool? Na je moyo wa ki Liverpool ni upi?Mnamo September 2 mwaka 1913 ndio siku alozaliwa,na 29 september ndo siku alofariki,huyu si mwingine bali ni William Bill Shankly,wengi tunamchukulia kama babu wa Liverpool,huyu ndie alikuwa msingi wakujenga moyo wa ki Liverpool,moyoambao kila mwana Liverpool popote duniani anatakiwa atembee nao,sit u katika Nyanja ya michezo bali pia hatakatika Nyanja ya kimaisha,shankly alijenga spirit kubwa kuanzia kwa wachezaji,staffhadi mashabiki kiasi spirit hiyo ilianza kuenea miaka na miaka,kizazi hadi kizazi,bara hadi bara,nchi hadi nchi hadi leo hii Tanzania sisi mashabiki wa Liverpool tumekuwa tofauti sana na mashabiki wa timu nyingine.Moyo wa ki Liverpool ni ule ambao unamtaka kila mwanaliverpool kuamini kwamba yeye ni sehemu ya mafanikio ya timu,kwa kuishangilia pale inaposhinda,kuisupport pale inapo droo na pia kuwapa moyo wachezaji pale timu inapofungwa,bill shankly hakuwahi kuwafundisha mashabiki kuwatukana wachezaji au kuwazomea pindi wanapofanya vibaya.Si hivyo tu bali bill shankly aliwafanya hata wachezaji waliovaa au wanaotarajia kuvaa jezi ya Liverpool kujiona kwamba wao ni sehemu ya familia kubwa ya wana Liverpool duniani kote,kuna mchezaji aliitwa tomsmith,kuna mwaka alikuwa ameumia na bandage alikuwa amefungwa na kulikuwa mechi ya muhimu ya ligi daraja la kwanza kipindi kile,tom alienda uwanjani lakini alikuwa benchi,timu ilikuwa na mapungufu mengi,bill akamwinua,akamwambia uko hapa kwa ajili ya Liverpool,vua hizo bandage nakuingiza uwanjani ukaitetee timu,na kweli tom alivua bandage akavaa jezi akaingia uwanjani na akacheza vizuri mno hadi mwisho timu ikashinda,baadaya mechi bill akamuuliz tom,how do u feel,tom akajibu I feel more great thanbefore,this is my team,I would rather die than seeing my team lost the match,ile spirit iliwaingia watu wengi kuanzia wachezaji wenzake hadi mashabiki.Kuna mtu aliitwa Graeme sounes,huyundie captain fantastic halisi mbali ya steven Gerard,huyu alikuwa mwanaume wa shoka,aliipigania Liverpool,kuna mifano mingi ya watu ambao wamepita Liverpool na wakaingiwa na moyo wa ki Liverpool,mnakumbuka saga la king Kenny dalgish na luis suarez baada ya sakata la kudaiwa kumbagua evra,mnajua kwanini dalgish aliwavisha tshirt za kum support suarez wachezaji wa liver,si kwamba alikuwa akimtetea suarez tu,bali alikuwa akiitetea Liverpool coz alijua kwamba kukubali suarez alibagua means image ya timu pia ingechafuka kwa kuonekana ni timu ya kibaguzi,japo alilaumiwa sana lakini alikuwa akijua nini anafanya huyo ndo king keny,mnakumbukamashabiki walisemaje kipindi kile,bora timu ishuke na mfalme keny kuliko roy hodgson,si king tu pekee,kuna mtu kama didi hamman hadi leo anaongeamazuri kuhusu liver,juzi tumeona danny agger akikataa offer za timu za uingereza na ulaya na kuamua kurudi kwao,akisema kwake itakuwa ni dhambi kuhamia timu nyingine ya England baada ya kutoka Liverpool,kuna watu wanasema suarezalikuwa na moyo wa ki Liverpool,mm nasema no,suarez alipigana kwa nafsi yake,hata kama kile alichokifanya kilisaidia timu lakini zaidi alipigania nafsi yake ndo maana alikuwa kitoa kauli nyingi tata za kuhsuu kuhama kwake kuanzia ishu ya arsenal hadi barca,Michael owen japo kalelewa anfield lkn hakuingia kwenye moyo waki Liverpool,aliituponda akisema tulimharibia kipaji chake na mbaya zaidi akasajiliwa na scums hii ilikuwa ni doa kubwa sana kwake.Kuna mifano mingi ya kuzungumza kuhsuu kuwa na moyo wa ki Liverpool,atka alikuwa akipigana mwananyamala kwa ajili ya kuitetea Liverpool,je tujiulize humu ndani huwatunagombana kwa kuitetea Liverpool au kwa kumtetea mchezaji wa Liverpool? Wanasema players can come and go but team will remain there,mnamkumbuka hiery henry,sikumoja alishangaa,alisema kama kuna uwanja ambao huwa nautamani kwenda kucheza au kushuhudia mechi basi ni anfiedl,mashabiki wa Liverpoolhuwa huwexi kuwatofautisha kama wamefungwa au wameshinda,je sisi tuko hivyo? Au tukifungwa na aston villa tunatukana then tukimfunga ludogorets tunashangilia,ikiwa ni hivyoje ule msemo wa bill shankly alosema if u cant support us when we lose or draw then don’t celebrate with us when we win sisi tunauchukulia vipi,Yule mzee aliona ,mbali,alijua kwamba timu haiwezi kushinda kila mechi,na timu haiwezi kutoa sare kila mechi,lakini pia timu haiwezi kufungwa kila mechi,so tunapaswa kuwa katikati na kui support timu,huo ndio moyo wa ki Liverpool,simaosabrosa alisimama dakika tano akishangaa mashabiki wa Liverpool wakishangilia mara baada ya mechi kati yetu na benfica kuisha huku wakiwa wametutoa kwenye kombe la ulaya,alipoulizwa alijibu this was amazing na natamani ningekuwa sehemu ya timu ya Liverpool,ukiingia anfield kabla ya kuingia uwanjani kunakibao kimeandikwa this is anfield,pale wachezaji hukigusa kabla ya kuingia uwanjani,kile kina maana kubwa sana,kinawakumbusha wachezaji kwamba wanakwenda kutoa kila kitu kwa ajili ya kuitetea timu.Juzi Gerard amesema akifa anatamani azikwe anfield,huyu ana moyo wa ki Liverpool,kwa mimi baada ya king keny,ian rush yeye ndo mtu anaefatia kwa umaarufu lakini hii ni kwa mawazo yangu tu.Mmemuona baloteli,je balo wa man city na ac Milan ni sawa na balo wa Liverpool,alivyosajiliwa alikaa masaa manne na Brendan Rodgers wakiongea,br akamwambia Liverpool hakuna star,lakini Liverpool kila mtu nistar,penat anapiga Gerard,faulo Gerard wewe utapiga kwa maelekezo maalum,unatakiwa kuonyesha kwamba uko tayari kuipigania timu,nadhani jbu mmeliona tayari moyo wa ki Liverpool ushaanza kumuingia.Inawezekana kuna wengine hawatanielewa leo,lakni naamini ukiisoma tena na tena mtajua namaanisha nini,then baada ya kuisoma na kuielewa documentary hii kila mmoja kwa nafsi yake ajiulize ana moyo wa ki Liverpool? Then kila mmoja amuulize mwenzake kama anamoyo wa ki Liverpool,ukihisi hauna jibu basi anza kusoma historia ya Liverpool taratibu naamni kuna hisia zitakuingia na hautakuja kujuta kuchagua kuipenda Liverpool.Mimi nina moyo wa ki Liverpool,je wewe?
 
I wish starting XI yetu leo iwe..........

.......................................Mignolet(Japokuwa anazingua sana siku hizi)........................


Manquillo...............Lovren................Sakho...............................Moreno



........................Lucas(anajua kukaba).....................SG......................


.....................................Henderson............................................



Sterling.................................................................Lallana/Markovic.......


..................................................Ballotelli............................................
 
Komredi
Dharif
umeusisimua moyo yangu,umetutia moyo
 

Attachments

  • 1411198077700.jpg
    1411198077700.jpg
    83.8 KB · Views: 63
Last edited by a moderator:
RPOOL ONE FAMILYTHE GREAT AFRICAN KOPITESLIVERPOOL DOCUMENTARY: JE UNA MOYO WA KI LIVERPOOL: DATE: 17/09/2014Inawezekana leo mkashangaa kidogo nimekuja na documentary ya kitofauti,najuawengi mmezoea kuona documentary ikiwa inaelezea mchezajiau wachezaji na makocha au viongozi au kitu chochote kinachohusiana na timu yetu,leo nimekuja na swali kwa kila moja.je mna moyo wa ki Liverpool? Na je moyo wa ki Liverpool ni upi?Mnamo September 2 mwaka 1913 ndio siku alozaliwa,na 29 september ndo siku alofariki,huyu si mwingine bali ni William Bill Shankly,wengi tunamchukulia kama babu wa Liverpool,huyu ndie alikuwa msingi wakujenga moyo wa ki Liverpool,moyoambao kila mwana Liverpool popote duniani anatakiwa atembee nao,sit u katika Nyanja ya michezo bali pia hatakatika Nyanja ya kimaisha,shankly alijenga spirit kubwa kuanzia kwa wachezaji,staffhadi mashabiki kiasi spirit hiyo ilianza kuenea miaka na miaka,kizazi hadi kizazi,bara hadi bara,nchi hadi nchi hadi leo hii Tanzania sisi mashabiki wa Liverpool tumekuwa tofauti sana na mashabiki wa timu nyingine.Moyo wa ki Liverpool ni ule ambao unamtaka kila mwanaliverpool kuamini kwamba yeye ni sehemu ya mafanikio ya timu,kwa kuishangilia pale inaposhinda,kuisupport pale inapo droo na pia kuwapa moyo wachezaji pale timu inapofungwa,bill shankly hakuwahi kuwafundisha mashabiki kuwatukana wachezaji au kuwazomea pindi wanapofanya vibaya.Si hivyo tu bali bill shankly aliwafanya hata wachezaji waliovaa au wanaotarajia kuvaa jezi ya Liverpool kujiona kwamba wao ni sehemu ya familia kubwa ya wana Liverpool duniani kote,kuna mchezaji aliitwa tomsmith,kuna mwaka alikuwa ameumia na bandage alikuwa amefungwa na kulikuwa mechi ya muhimu ya ligi daraja la kwanza kipindi kile,tom alienda uwanjani lakini alikuwa benchi,timu ilikuwa na mapungufu mengi,bill akamwinua,akamwambia uko hapa kwa ajili ya Liverpool,vua hizo bandage nakuingiza uwanjani ukaitetee timu,na kweli tom alivua bandage akavaa jezi akaingia uwanjani na akacheza vizuri mno hadi mwisho timu ikashinda,baadaya mechi bill akamuuliz tom,how do u feel,tom akajibu I feel more great thanbefore,this is my team,I would rather die than seeing my team lost the match,ile spirit iliwaingia watu wengi kuanzia wachezaji wenzake hadi mashabiki.Kuna mtu aliitwa Graeme sounes,huyundie captain fantastic halisi mbali ya steven Gerard,huyu alikuwa mwanaume wa shoka,aliipigania Liverpool,kuna mifano mingi ya watu ambao wamepita Liverpool na wakaingiwa na moyo wa ki Liverpool,mnakumbuka saga la king Kenny dalgish na luis suarez baada ya sakata la kudaiwa kumbagua evra,mnajua kwanini dalgish aliwavisha tshirt za kum support suarez wachezaji wa liver,si kwamba alikuwa akimtetea suarez tu,bali alikuwa akiitetea Liverpool coz alijua kwamba kukubali suarez alibagua means image ya timu pia ingechafuka kwa kuonekana ni timu ya kibaguzi,japo alilaumiwa sana lakini alikuwa akijua nini anafanya huyo ndo king keny,mnakumbukamashabiki walisemaje kipindi kile,bora timu ishuke na mfalme keny kuliko roy hodgson,si king tu pekee,kuna mtu kama didi hamman hadi leo anaongeamazuri kuhusu liver,juzi tumeona danny agger akikataa offer za timu za uingereza na ulaya na kuamua kurudi kwao,akisema kwake itakuwa ni dhambi kuhamia timu nyingine ya England baada ya kutoka Liverpool,kuna watu wanasema suarezalikuwa na moyo wa ki Liverpool,mm nasema no,suarez alipigana kwa nafsi yake,hata kama kile alichokifanya kilisaidia timu lakini zaidi alipigania nafsi yake ndo maana alikuwa kitoa kauli nyingi tata za kuhsuu kuhama kwake kuanzia ishu ya arsenal hadi barca,Michael owen japo kalelewa anfield lkn hakuingia kwenye moyo waki Liverpool,aliituponda akisema tulimharibia kipaji chake na mbaya zaidi akasajiliwa na scums hii ilikuwa ni doa kubwa sana kwake.Kuna mifano mingi ya kuzungumza kuhsuu kuwa na moyo wa ki Liverpool,atka alikuwa akipigana mwananyamala kwa ajili ya kuitetea Liverpool,je tujiulize humu ndani huwatunagombana kwa kuitetea Liverpool au kwa kumtetea mchezaji wa Liverpool? Wanasema players can come and go but team will remain there,mnamkumbuka hiery henry,sikumoja alishangaa,alisema kama kuna uwanja ambao huwa nautamani kwenda kucheza au kushuhudia mechi basi ni anfiedl,mashabiki wa Liverpoolhuwa huwexi kuwatofautisha kama wamefungwa au wameshinda,je sisi tuko hivyo? Au tukifungwa na aston villa tunatukana then tukimfunga ludogorets tunashangilia,ikiwa ni hivyoje ule msemo wa bill shankly alosema if u cant support us when we lose or draw then don't celebrate with us when we win sisi tunauchukulia vipi,Yule mzee aliona ,mbali,alijua kwamba timu haiwezi kushinda kila mechi,na timu haiwezi kutoa sare kila mechi,lakini pia timu haiwezi kufungwa kila mechi,so tunapaswa kuwa katikati na kui support timu,huo ndio moyo wa ki Liverpool,simaosabrosa alisimama dakika tano akishangaa mashabiki wa Liverpool wakishangilia mara baada ya mechi kati yetu na benfica kuisha huku wakiwa wametutoa kwenye kombe la ulaya,alipoulizwa alijibu this was amazing na natamani ningekuwa sehemu ya timu ya Liverpool,ukiingia anfield kabla ya kuingia uwanjani kunakibao kimeandikwa this is anfield,pale wachezaji hukigusa kabla ya kuingia uwanjani,kile kina maana kubwa sana,kinawakumbusha wachezaji kwamba wanakwenda kutoa kila kitu kwa ajili ya kuitetea timu.Juzi Gerard amesema akifa anatamani azikwe anfield,huyu ana moyo wa ki Liverpool,kwa mimi baada ya king keny,ian rush yeye ndo mtu anaefatia kwa umaarufu lakini hii ni kwa mawazo yangu tu.Mmemuona baloteli,je balo wa man city na ac Milan ni sawa na balo wa Liverpool,alivyosajiliwa alikaa masaa manne na Brendan Rodgers wakiongea,br akamwambia Liverpool hakuna star,lakini Liverpool kila mtu nistar,penat anapiga Gerard,faulo Gerard wewe utapiga kwa maelekezo maalum,unatakiwa kuonyesha kwamba uko tayari kuipigania timu,nadhani jbu mmeliona tayari moyo wa ki Liverpool ushaanza kumuingia.Inawezekana kuna wengine hawatanielewa leo,lakni naamini ukiisoma tena na tena mtajua namaanisha nini,then baada ya kuisoma na kuielewa documentary hii kila mmoja kwa nafsi yake ajiulize ana moyo wa ki Liverpool? Then kila mmoja amuulize mwenzake kama anamoyo wa ki Liverpool,ukihisi hauna jibu basi anza kusoma historia ya Liverpool taratibu naamni kuna hisia zitakuingia na hautakuja kujuta kuchagua kuipenda Liverpool.Mimi nina moyo wa ki Liverpool,je wewe?


Mkuu,Macho yangu hayaeleweki.....nimeamua kuikuza ili niisome vema....

Hapo kwenye RED inahitaji uwe mwanafamilia kwelikweli,si utani......
 
Asilimia kubwa ye2 tunaishabikia liverpool bila ya kujua misingi yake na historia yk.
 
[4:51pm, 9/16/2014] ‪+255 713 757 133‬: Jordan Henderson confirmed as
Liverpool’s new vice-captain
Jordan Henderson is the new vice-captain of
Liverpool, it was confirmed late on Monday
night.
Latest News
Sep 15, 2014
[4:51pm, 9/16/2014] ‪+255 713 757 133‬: Daaah! Nimefarijika Sana Huyu Jamaa
Kuteuliwa Kuwa Nahodha Msaidizi.
Huyu Ni Jordan Henderson Ambae Wakati
Yupo Sunderland Aliikataa Ofa Ya Manchester
United Na Kupost Kwenye Page Yake Kuwa
Yeye Huvutiwa Na Lfc Na Sio Man U.
Unajua Kilichofuata? Kenny Dalglish Alikua
Anamfuatilia Phil Jones nae Akapost Kuwa
Hana Mapenzi Na Timu Yoyote Zaidi Ya Man
U.
Hapo Ndipo Damian Comoly Na Keny Dalglish
Walipoamua Kumgeukia Jordan Henderson
Ambae Tayari Alishasifiwa Na Jamie Redknapp
Kuwa Ndie Mrithi Sahihi Wa Steven
Gerrad..Kitendo Kile Cha Kuikataa Man U
Kilmfanya Alex Ferguson Aanze Kumponda
Kuwa Sio Mchezaji Aliyestahili Kununuliwa Na
Man U Wala Lfc,ila Bahati Nzuri Kwenye
Benchi La Lfc Kulikua Na M'babe Wa
Ferguson Huyu Ni King Keny Akamjibu
Anaestahili Kucheza Man U Ni Bebe Na
Obatain Ongera Kwa Usajili Bora..
Basi Kile Kitendo Cha JH14 Kuikataa Man U
Na Kujiunga Lfc Kilimfanya Awe Rafiki Wa
Mashabiki Wa Lfc Na Mmoja Wapo Ni Mimi.
Hongera Sana Jordan Henderson Wewe Ndiye
Captain Wa Lfc Ujae..
 
Back
Top Bottom