Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Daaah collision kat ya sakho na lovren imesababisha lovren aende out kidogo

hii yote inasababishwa na luck of communication kati ya central baki zetu......hakuna maelewano kabisa....hii ni aibu kwa experienced players.....anyway ngoja tumwachie BR atajua cha kufanya.YNWA
 
Loserfools mna kazi...kwa staili hii ya kucheza hata top 10 hampati msimu huu 🙈🙈🙈
 
Daah yani UCL imewafanya Liverpool kuwaachia Wana Jangwani mechi ya Westham hapa na Yanga inapelekwa sio mchezo...
****
HT hapa 2-1
 
Mi nalia na kipa tu jamani.......liverpool hatuna kipa....
 
Loserfools mna kazi...kwa staili hii ya kucheza hata top 10 hampati msimu huu 🙈🙈🙈

Hahahaaaa...!! Sasa Nzi inabidi upunguze makali ya maneno maana utawafanya wenzako walikimbie jukwaa lao
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hivi ni macho yangu ndiyo yatazamayo mechi hii au ...
Naona kama mechi against Aston Villa ilikuwa better kuliko hii. Yaani ni zaidi ya utumbo!!!!
Hakika kwa Soka hili tunazuga tu msimu huu.
 
Wachezaji wazur tunao tatizo ni kocha tu..kila siku anabadilisha watu namba wala sioni wakulaumiwa kwa huu utumbo tunaocheza leo zaidi ya kocha..!!
 
Back
Top Bottom