Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km napata mantiki yako Kwa mbali vile Lkn Hebu elezea kidogo ni vp Faby aliminywa?
Ntunzu, asante kwa pole!ni kweli hatujakaa sawa ilo halina ubishi mtani. ILA nakukumbusha safari ndio kwanza imeanza ki bongo bongo wote hata Chalinze hatujafika.
Manquillo should be benched..
kacheza mfululizo sana!..we have Everton next week!!!
itakuwa poa kama McLaughlin akicheza instead of Manquillo kwenye RB!!!
Role alyokuwa anaicheza Fabregas Arsena kipindi kile, ndo anaicheza sahv pale chelsea *kaachwa acheze huru* ni free role, ni kama alvyokuwa anacheza Mata chini ya benitez, but tunajua kuwa fabregas ni hatar sana akiwa Katika Free role, hakucheza hivyo akiwa barca..
Sasa, pale chelsea, Sahv Fabregas ndo anaibeba team, bila yeye team haimove wala kusambaza mipira, team inabanwa, hakuna sehem za kufungua, hapo mnakuwa forced kurud nyuma japokuwa linakuwa syo lengo lenu kurud nyuma..fabregas ndo anampa kiburi COSTA, ni kama alivyokuwa anapewa kiburi Na Koke, chelsea ukim-bana Fabregas mipira inakuwa haimfikii Diego, hapo anakuwa forced kurud chini kuchukua mipira (nadhan uliliona hilo), Na kwa njia hiyo Diego hawez kuwa na threat yoyote coz inakuwa easy kum-Mark, unless kama angekuwa anachezesha strikers wawili mbele, lakin as long as Diego akiwa peke yake mbele, hawez kufurukuta kama Fabregas akiminywa, faby ndo injini ya chelsea kwa sasa, he's responsble kwa points zote mlizozipata this season!!
Kwenye game kubwa karibia zote, nadhan coaches watadeal sana na Faby ili kuzima mashambulizi, lakin team ndogo zitazid kuhangaika na Fabregas...
Kama unakumbuka interview ya Delph wa Aston Villa, alisema kabla ya game na liverpool alisema kocha wake paul lambert na keane, walimwambia asimpe nafas SG ya kucheza hata kidogo, coz SG ndo chazo cha mashambuliz pale LFC, ukimdsturb sana lazma connections ya kiungo na attacking ipotee..
na nyie Aston Vila aliwalaza chali akawapiga vya fastafasta vingapi?
sikudhani kama br anaweza kumnyima Jones na Suso hata leo kuchezaManquillo kacheza mfululizo ila kuna taarifa kwamba McLaughlin ni majeruhi
So probably back line inaweza kuwa...
----------------MIGNOLET--------------
MANQUILLO----JONES----KOLO------ENRIQUE
Hongereni kwa ushindi wa juzi dhidi ya Leicester...Khahhha kha ha Khahaaa😛eep:
20 years umezitoa wapi mkuu??
Tano kavu bado hazijaisha kichwani naona bado unaweweseka hahahahahahaha!
Kuweweseka kwa lipi mkuu?? Huo ni mchezo na umeshapita?? Au labda ulikuwa unamaanisha nini??